Kampuni ya TIGO inaelekea kufa!!??

samirnasri

JF-Expert Member
Nov 8, 2010
1,388
213
Kampuni ya simu za mkononi ya tiGO ambayo imejizolea wateja wengi kuanzia mwaka 2005 baada ya kuanza kushusha garama za kupiga simu iko katika hali mbaya na huenda muda wowote ikafa na kuacha kampuni za voda na zain/airtel zikiendelea kutamba. Taarifa zaidi zinaeleza kua kampuni hiyo (tiGO) ambayo imetamba kwa muda mrefu na kuzipiga bao kampuni nyingine za simu za mkononi hapa nchini kwa kua na garama nafuu zaidi kwa kipindi kirefu hivi sasa imeshindwa kuendana na kasi ya ajabu ya kampuni mbili za vodacom na airtel ambazo nazo zimeamua kupunguza garama na kusababisha wateja wengi waliokua ama wameasi au wamepunguza kasi kutumia mitandao hiyo kurejea kundini kwa kishindo na kuanza kuuponda mtandao wa tigo. Inasemekana kampuni ya voda imekua ikikusanya fungu kubwa la pesa kupitia huduma ya M-PESA ambayo imesambaa zaidi vijijini tofauti na huduma ya tigo pesa ambayo iko zaidi maeneo ya mijini. Kitendo cha voda kuzindua huduma ya kupiga simu kwa garama ya nusu shilingi kwa sekunde kuanzia dakika ya kwanza kwa muda wa masaa 24 kumeishtua kampuni ya tigo ambayo inatoa huduma ya kupiga simu kwa nusu shilingi baada ya dakika ya kwanza tena kwa muda wa masaa 20. Wadau wa mitaani wanasema nusu shilingi ya tigo ina mipaka mingi kwa sababu inambana mtu kujiachia kuanzia mida ya sa 11jioni hadi sa 4 usiku vilevile haithamini mazungumzo ambayo hayazidi dakika moja. Wanasema tigo imeshagundua kwamba imeanza kukimbiwa na wateja ndo maa imebandika mabango yanayosomeka "usiache mbachao kwa msaala upitao". Taarifa nyingine zisizo rasmi zinadai tigo wameuza minara mingi na hivi sasa wanatumia garama nyingi sana kukodi minara hiyo kitu ambacho kitaharakisha kuanguka kwa tiGO... Source: habari za street...
 
huna hoja hahahahahahaha.......................hoi..............umetumwa na voda toa data...................hahahahaaaaahhhaaaaahha kha.........
 
Samir

Nakujibu ifuatavyo:

  1. Wewe ni ama "dealer" au "super dealer" wa Vodacom, au mwajiriwa wa Vodacom
  2. Habari hii ni pandikizi kutoka Vodacom, yenye lengo la KUIPAMBA Vodaocom kwa KUIPONDA Tigo, jambo ambalo nimelisoma kuanzia sentensi ya kwanza ya post yako hii
  3. Ukweli ni kwamba, SIO Airtel, Tigo wala Vodacom walioanzisha huma ya kupiga simu kwa nusu shilingi ndani ya mtandao, bali ni SASATEL! Pia, sio wote hao walioanzisha huduma ya kupiga simu kwa shilingi tatu kwa sekunde kwa mitandao yotem, bali pia ni Sasatel! Kampuni zote hizi zimefanya ku-copy and paste, na ZINAIOGOPA sana Sasatel! Lakini hawa wote, ukiondoa Sasatel, ni WAONGO, kwani, gharama hizo HAZIJUMUISHWI na VAT, jambo ambali Sasatel inafanya! HAYA NI MATANGAZO YA UONGO!
  4. Katika kuendelea kuigeza Sasatel, Tigo nayo - eti - sasa imeanzisha huduma ya kupiga simu bure BAADA YA DAKIKA YA KWANZA! Haitawasaidia. Sasatel walianzisha mpango wa kupiga simu bure, ndani ya mtandao, kuanzia saa 3 usiku hadi 1 asubuhi, MIEZI 12 iliyopita!
  5. Kweli, kiwango cha ubora wa huduma za Tigo kimeshuka sana, na hili litailetea matatizo hapo baadaye. Kwa sasa, kasi ya wateja wa Tigo kuuhama mtandao huo sio kubwa, kama ile ambayo imeongezeka baada ya Tigo kuanzisha huduma lukuki mpya, HUSUSAN Tigo Pesa!

Hukumu yangu ni kwamba, Tigo haina nia, sabau wala haijakosa uwezo wa kifedha, wa kuifanya ifunge virago vyake! Tigo bado itakamua, japokuwa MIMI SI MTEJA WAO tena!
 
Kubali kataa tigo inaenda kufa na itajizika yenyewe,tangu lini huduma ya customer care ikalipiwa na ukimwamishia mtu salio kuna % unakatwa kama gharama za huduma.tigo wameflsika
 
Tigo kuuza minara hiyo nnakataa.
So far Vodacom ndo wana hali mbaya more than 100 people wamepunguzwa kazi.makampuni ambayo yalikuwa yanatoa huduma ktk baadhi ya vitengo ndani yavodacom e.g AfriKing imeondolewa kusevu garama.most of Vodashops including ya Mlimani city zimeuzwa kwa watu binafsi.na Pia Vodafone ya UK imenunua sharez nyingine nyingi tu so usishangae pia jina la vodacom likawa replaced na Vodafone.
 
unafanya watu hawana uwelewa hapa, umegonga mwamba, hiyo voda ndo hakuna kitu kabisa,nenda kawaambie hatuhami TIGO ndo mwanzo mwisho
 
kampuni ya simu za mkononi ya tigo ambayo imejizolea wateja wengi kuanzia mwaka 2005 baada ya kuanza kushusha garama za kupiga simu iko katika hali mbaya na huenda muda wowote ikafa na kuacha kampuni za voda na zain/airtel zikiendelea kutamba. Taarifa zaidi zinaeleza kua kampuni hiyo (tigo) ambayo imetamba kwa muda mrefu na kuzipiga bao kampuni nyingine za simu za mkononi hapa nchini kwa kua na garama nafuu zaidi kwa kipindi kirefu hivi sasa imeshindwa kuendana na kasi ya ajabu ya kampuni mbili za vodacom na airtel ambazo nazo zimeamua kupunguza garama na kusababisha wateja wengi waliokua ama wameasi au wamepunguza kasi kutumia mitandao hiyo kurejea kundini kwa kishindo na kuanza kuuponda mtandao wa tigo. Inasemekana kampuni ya voda imekua ikikusanya fungu kubwa la pesa kupitia huduma ya m-pesa ambayo imesambaa zaidi vijijini tofauti na huduma ya tigo pesa ambayo iko zaidi maeneo ya mijini. Kitendo cha voda kuzindua huduma ya kupiga simu kwa garama ya nusu shilingi kwa sekunde kuanzia dakika ya kwanza kwa muda wa masaa 24 kumeishtua kampuni ya tigo ambayo inatoa huduma ya kupiga simu kwa nusu shilingi baada ya dakika ya kwanza tena kwa muda wa masaa 20. Wadau wa mitaani wanasema nusu shilingi ya tigo ina mipaka mingi kwa sababu inambana mtu kujiachia kuanzia mida ya sa 11jioni hadi sa 4 usiku vilevile haithamini mazungumzo ambayo hayazidi dakika moja. Wanasema tigo imeshagundua kwamba imeanza kukimbiwa na wateja ndo maa imebandika mabango yanayosomeka "usiache mbachao kwa msaala upitao". Taarifa nyingine zisizo rasmi zinadai tigo wameuza minara mingi na hivi sasa wanatumia garama nyingi sana kukodi minara hiyo kitu ambacho kitaharakisha kuanguka kwa tigo... source: Habari za street...

nenda kazipeleke hizi habari zako huko huko kwenye vijiwe vyenu
 
samir

nakujibu ifuatavyo:

  1. wewe ni ama "dealer" au "super dealer" wa vodacom, au mwajiriwa wa vodacom
  2. habari hii ni pandikizi kutoka vodacom, yenye lengo la kuipamba vodaocom kwa kuiponda tigo, jambo ambalo nimelisoma kuanzia sentensi ya kwanza ya post yako hii
  3. ukweli ni kwamba, sio airtel, tigo wala vodacom walioanzisha huma ya kupiga simu kwa nusu shilingi ndani ya mtandao, bali ni sasatel! Pia, sio wote hao walioanzisha huduma ya kupiga simu kwa shilingi tatu kwa sekunde kwa mitandao yotem, bali pia ni sasatel! Kampuni zote hizi zimefanya ku-copy and paste, na zinaiogopa sana sasatel! Lakini hawa wote, ukiondoa sasatel, ni waongo, kwani, gharama hizo hazijumuishwi na vat, jambo ambali sasatel inafanya! Haya ni matangazo ya uongo!
  4. katika kuendelea kuigeza sasatel, tigo nayo - eti - sasa imeanzisha huduma ya kupiga simu bure baada ya dakika ya kwanza! Haitawasaidia. Sasatel walianzisha mpango wa kupiga simu bure, ndani ya mtandao, kuanzia saa 3 usiku hadi 1 asubuhi, miezi 12 iliyopita!
  5. kweli, kiwango cha ubora wa huduma za tigo kimeshuka sana, na hili litailetea matatizo hapo baadaye. Kwa sasa, kasi ya wateja wa tigo kuuhama mtandao huo sio kubwa, kama ile ambayo imeongezeka baada ya tigo kuanzisha huduma lukuki mpya, hususan tigo pesa!

hukumu yangu ni kwamba, tigo haina nia, sabau wala haijakosa uwezo wa kifedha, wa kuifanya ifunge virago vyake! Tigo bado itakamua, japokuwa mimi si mteja wao tena!

mzee na wewe dealer au superdealer wa sasatel au pandikizi?????
 
mzee na wewe dealer au superdealer wa sasatel au pandikizi?????

Siyo kweli na huna current data. Tigo wana robo shillingi na kama utafuatilia kwa makini wanaelekea kuwa the cheapest ever na hao waliokutuma waki match ndiyo kaburi lao.
 
Unazungumzia sasatel huo mtandao unapatikana mikoa mingapi? Kubali usikubali TIGO sasa wameka kama CHELSEA yaani wameishiwa mbinu mpya, sio wabunifu tena. Sasa tigo wameku wanatafuta pesa kwa mbinu za ujanja ujanja. Just imagine huduma kwa wateja unalipia sh. 50 na ukihamisha salio unakatwa percentage fulani. Wanasema ongea bure baada ya dakika ya kwanza kuanzia sa sita usiku lakini ukiongea dakika kadhaa wanakata simu ili upige tena wakate pesa za dakika yao ya kwanza. Hizi ni dalili za wazi za kufulia na kama wangejua jinsi gani mambo hayo yanawakera wateja wao wangekwisha yaondoa siku nyingi. Tigo walikua na kigugumizi kupunguza garama za kupiga simu kwenda mitandao mingine baada ya voda na airtel kupunguza wakiamini kua wana wateja wengi wa tigo-tigo lakini walipogundua mapato yameshuka ndipo nao walipopunguza garama siku za hivi karibuni. Tigo ya enzi hizo isingesubiri muda wote huo kujibu mapigo ya voda na airtel. ...wateja wengi wa tigo sasa wamekat tamaa na mtandao wao.
 
Hiyn robo shilingi ya tigo inapatika na mikoa gani na muda upi? Najua wao wana nusu shilingi baada ya dakika ya kwanza inamaana ili ufaidi huduma hiyo lazima uongee zaidi ya dakika moja ha.... ha..... ha...... Voda ni nusu shilingi kuanzia sekunde ya kwanza tena kwa masaa 24 sio masaa 20. Upo hapo!.
 
unazungumzia sasatel huo mtandao unapatikana mikoa mingapi? Kubali usikubali tigo sasa wameka kama chelsea yaani wameishiwa mbinu mpya, sio wabunifu tena. Sasa tigo wameku wanatafuta pesa kwa mbinu za ujanja ujanja. Just imagine huduma kwa wateja unalipia sh. 50 na ukihamisha salio unakatwa percentage fulani. Wanasema ongea bure baada ya dakika ya kwanza kuanzia sa sita usiku lakini ukiongea dakika kadhaa wanakata simu ili upige tena wakate pesa za dakika yao ya kwanza. Hizi ni dalili za wazi za kufulia na kama wangejua jinsi gani mambo hayo yanawakera wateja wao wangekwisha yaondoa siku nyingi. Tigo walikua na kigugumizi kupunguza garama za kupiga simu kwenda mitandao mingine baada ya voda na airtel kupunguza wakiamini kua wana wateja wengi wa tigo-tigo lakini walipogundua mapato yameshuka ndipo nao walipopunguza garama siku za hivi karibuni. Tigo ya enzi hizo isingesubiri muda wote huo kujibu mapigo ya voda na airtel. ...wateja wengi wa tigo sasa wamekat tamaa na mtandao wao.

ushabiki wa vijiweni huo
 
Unazungumzia sasatel huo mtandao unapatikana mikoa mingapi? Kubali usikubali TIGO sasa wameka kama CHELSEA yaani wameishiwa mbinu mpya, sio wabunifu tena. Sasa tigo wameku wanatafuta pesa kwa mbinu za ujanja ujanja. Just imagine huduma kwa wateja unalipia sh. 50 na ukihamisha salio unakatwa percentage fulani. Wanasema ongea bure baada ya dakika ya kwanza kuanzia sa sita usiku lakini ukiongea dakika kadhaa wanakata simu ili upige tena wakate pesa za dakika yao ya kwanza. Hizi ni dalili za wazi za kufulia na kama wangejua jinsi gani mambo hayo yanawakera wateja wao wangekwisha yaondoa siku nyingi. Tigo walikua na kigugumizi kupunguza garama za kupiga simu kwenda mitandao mingine baada ya voda na airtel kupunguza wakiamini kua wana wateja wengi wa tigo-tigo lakini walipogundua mapato yameshuka ndipo nao walipopunguza garama siku za hivi karibuni. Tigo ya enzi hizo isingesubiri muda wote huo kujibu mapigo ya voda na airtel. ...wateja wengi wa tigo sasa wamekat tamaa na mtandao wao.
 
Yetu macho n cha msingi,mtz anaangalia pa urahisi n ht mimi nina tigo na voda,bt nionapo pa urahisi ndio nitakapokimbilia.
Kwaruzaneni ila wtz tunaangalia penye unafuu.
Napenda ushindani uendelee ili sisi wapiga simu tufaidi.
 
Walioo....fuliaaaaaa lazima tukubali tigo inayumba na sina hakika kama mwaka 2011 utaisha tigo ikiwa salama. Anyway time will tell.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom