kampuni ya simu ya TALKTEL imepotelea wapi jamani wadau?

ommy 2

New Member
May 25, 2010
3
0
Kampuni ya simu ya mkononi TALKTEL iliyokuja kwa kishindo kabla haijapata leseni kamili imepotelea wapi jamani?
 
hii kampuni,ilipata watu wakataka kuwapatia pesa za mtaji,lakini wakaleta ubabaishaji.hivi nnavyoandika hipo ICU.so usitegemee one day there will be talktell.
 
sio HITS hiyo ilikuwa na ofc zake pale kwa manji Quality plaza,ilikuja kwa kishindo sana na tulipeleka Applications zetu sasa mpaka leo kimya tunasikia zingine tu,hata pale wamehama hatujui wako wapi kwa sasa
 
Nashukuru sana chipukizi kwa kunifumbua macho maana nilisikia hiyo ni kampuni kutoka kwa Obama kumbe ndio walikuwa wanataka kuwaingiza watanzania mjini?nani hasa ni wamiliki wa hiyo kampuni?je ni wazalendo wenzetu au wageni?
 
Back
Top Bottom