Kampuni ya kutoa mikopo ya nyumba

BAK

JF-Expert Member
Feb 11, 2007
124,792
287,994
Waungwana,

Kuna kampuni ya Tanzania ilitangaza kwamba inakaribia kuanza kutoa mikopo ya nyumba za bei nafuu na bei mbaya. Kama kuna yeyote anayejua namba zao za simu, web site au email address basi naomba anipeperushie. Bahati mbaya sikumbuki jina lao.
 
Nadhani ni T- Mortigage wakishirikiana na Mutual developers, lakini nyumba zao si naffuu kihivyo.
 
Jamani ni kweli kabisa hawa Mutual Dev mmm nyumba si za hali ya chini...maana mradi wa kwanza nyumba ya bei chini ilikuwa 60 mil,sasa hali ya chini ndio hiyo??ingine ni kuanzia 95mi kwenda juu mwaka huu wanajenga zingine za chini ni 95m sasa hapo naikiri si petu...
 
ha ha haaaaaaaaaaaaa, hao ni wajasiliamali jamani simnajua real estate inalipa sana. Chukueni mikopo nyumba between 35 - 45 million kwa bongo itakuwa ni nyumba nziri na inayokubalika kibinadamu ( habitable house) kwa mtu wa chini. Mikopo hii yaweza patikana Azania Bank, CRDB Bank, United Bank of Africa (UBA), etc

All the best guys
 
currently im in the process to develop the project for hydrofoam bricks houses for rent and sell at very cheapest price so stay turned

its me son of landless peasant
 
That's not a new project, already there some projects of that kind going on and still are not cheap to the society.
 
So what option do we have !!! as wananchi wa kawaida tunaopata kipato kama 300,000/- kwa mwezi hivi !!!!??
 
Duh, 300,000/- kwamwezi kwakweli ni uonevu mkubwa hasa kama mtu anaishi Dar maana maisha ya Dar 300,000 ni nauli tu hiyo. Jaribu salaried loan. Bank zinakopesha net salary yako X 36months repayment 3 years. i.e. kama net yako ni 300,000 basi utapata 300,000/- X 36 =10,800,000. Hata hivyo 10 mil kwa Dar ni pesa ya kununulia kiwanja tu, labda uende pembezoni na ukasimamie mwenyewe ujenzi kuanzia kufyatua tofari. Kimsingi mshahara huo wa 300,000 naona haubudgetiki mi nakushauri labda upate mikopo ya nyumba kama zile zinazojengwa na NSSF ambapo unalipa mkopo kwa miaka 15. Mkopo huu nadhani unaweza kuumudu japo total payment itakuwa kubwa sana lakini si haba utaweza kumiliki nyumba mwaisho wa siku.
 
Nimeikuta hii article on T-Mortgage, kuna namba ya simu na email address:
 
Attachments

  • T Mortgage.pdf
    66.3 KB · Views: 154
That's not a new project, already there some projects of that kind going on and still are not cheap to the society.

CHEAP IS RELATIVE MKUU.
Labda useme by cheap unamaanisha nini?
NHC walikuwa wanajenga nyumba Boko na kwingine na kuuza - they ranged kuanzia 30 m na kuendelea - nyumba zilikuwa na vyumba 2, 3 ,4 na bei zilitofautiana kuendana na ukubwa.
 
Nakubaliana na wewe WoS, Watanzania tuna matatizo sana tunapoongelea thamani ya vitu. Huwezi kupata kitu kizuri kwa bei poa. Kuna watu hadi wanajenga nyumba zao kwa vitu vya ajabu ajabu kwa sababu wanakwepa bei. Ila bei ya bia au sigara, hata kiingilio cha kuona onyesho ya mwanamuziki/mechi hakionekani kutisha watu. Kitu ambacho tunahitaji ni kampuni zitakazotoa huduma kwa wateja wenye vipato tofauti. Hao NHC wametuangusha sana. Kwa hiyo kama kuna kampuni zaidi zinazofanya hiyo biashara basi tupeane habari. Kama hakuna basi ndizo fursa hizo kwa wadau wa JF kuzichangamkia. Tusisubiri kama BWM aliyeanza kuona fursa baada ya kufika kwenye nyumba kuu!!
 
Duh, 300,000/- kwamwezi kwakweli ni uonevu mkubwa hasa kama mtu anaishi Dar maana maisha ya Dar 300,000 ni nauli tu hiyo. Jaribu salaried loan. Bank zinakopesha net salary yako X 36months repayment 3 years. i.e. kama net yako ni 300,000 basi utapata 300,000/- X 36 =10,800,000. Hata hivyo 10 mil kwa Dar ni pesa ya kununulia kiwanja tu, labda uende pembezoni na ukasimamie mwenyewe ujenzi kuanzia kufyatua tofari. Kimsingi mshahara huo wa 300,000 naona haubudgetiki mi nakushauri labda upate mikopo ya nyumba kama zile zinazojengwa na NSSF ambapo unalipa mkopo kwa miaka 15. Mkopo huu nadhani unaweza kuumudu japo total payment itakuwa kubwa sana lakini si haba utaweza kumiliki nyumba mwaisho wa siku.

Unashangaa 300,000/= sasa huo ndiyo mshahara wa engineer wa serikali anayesimamia na kutoa vibali vya magorofa yote ya kariakoo!!!!! Kwa maana hiyo hastahiri kuishi Dar maana pesa haitoshi!!!?
 
NHC, NSSF na wengineo wanajenga na kuuza. Je kama nina kiwanja changu na kina hati miliki nikitaka wanijengee kwa terms zile zile za mkopo, yaani nilipe kidogo kidogo, wanakubali?
 
Duh, 300,000/- kwamwezi kwakweli ni uonevu mkubwa hasa kama mtu anaishi Dar maana maisha ya Dar 300,000 ni nauli tu hiyo. Jaribu salaried loan. Bank zinakopesha net salary yako X 36months repayment 3 years. i.e. kama net yako ni 300,000 basi utapata 300,000/- X 36 =10,800,000. Hata hivyo 10 mil kwa Dar ni pesa ya kununulia kiwanja tu, labda uende pembezoni na ukasimamie mwenyewe ujenzi kuanzia kufyatua tofari. Kimsingi mshahara huo wa 300,000 naona haubudgetiki mi nakushauri labda upate mikopo ya nyumba kama zile zinazojengwa na NSSF ambapo unalipa mkopo kwa miaka 15. Mkopo huu nadhani unaweza kuumudu japo total payment itakuwa kubwa sana lakini si haba utaweza kumiliki nyumba mwaisho wa siku.

Mshikaji umeconsider interest? je unajua kutoka kwenye net yako hutakiwi ukatwe na isiwe chini ya 1/3 ya net yako? fanya homework yako upya kabla watu hawajakimbilia huku na wakapata maumivu.......
Nauli ya basi au ya kununua Fuel??????
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom