Kampuni ya kufichua Love cheaters TZ!

analysti

JF-Expert Member
Aug 24, 2009
729
612
Hi JF members!

Nimeanzisha private invastigative firm. Firm hii, inajihusisha zaidi ktk kuwa trace love cheaters na kukolect ushahidi wote, na kisha tunamtafuta mwenza anayekuwa cheated, tunampa options zifuatazo:
1. Atoe kamchango kidogo then tunamkabidhi ushahidi wote tulionao dhidi ya mwenza wake
2. Anatoa advance kidogo kwa ajili ya kuorganise fumanizi ambalo mwenzi wake hatakuwa na namna ya kubisha.

Lengo la hii firm ni

1. Kupunguza kiwango kama si kukomesha udanganyifu wa wapenzi kwenye ndoa
2. Kushusha maambukizi ya ukimwi yaliyojikita kwa watu walio kwenye ndoa ambayo mengi hutokana na kukosekana kwa uaminifu kwenye ndoa
3. kuhakikisha kuwa jamii inazingatia maagizo ya maandiko matakatifu ya kutozini.
4. Kuhakikisha kuwa familia zinakuwa imara na kutoa malezi bora kwa watoto kisha kujenga jamii iliyobora, vitu ambavyo huharibiwa na mifarakano itokanayo na udanganyifu kwenye ndoa.

NINAOMBA USHIRIKIANO WENU WANA JF!!

Regards,
Detective Analysti!!
 
Oohhhh!!! Please give me a break.........alll the best thou
 
Looh hapa sio uzunguni. Mtapigwa nyinyi naona polisi watachoka na kesi zenu.
 
How are you going to be tracing the person who's cheating???

That is something which is indeed not to be disclosed publicly, it is where the technical part of the firm is hinged!!. So excuse me am not going to tell u!. But it is actually possible, because we have quite an extensive network, with young, energetic, educated and very well trained agents, distributed allover the country. We are going to use Dsm as a pilot exercise to help to identify some areas which needs immediate improvement!!. The project is due to start next week on 14 / 11/ 2011. Take care not to fall in a trap!!
 
Looh hapa sio uzunguni. Mtapigwa nyinyi naona polisi watachoka na kesi zenu.

Hii ni kitu iliyokuwa organised kwa kushirikisha washika dau muhimu wote. Na usalama kwa watendaji ni 100%. Kwanza watendaji ni watu waliopata mafunzo muhimu, na wanaujuzi si tu wa kujilinda wao wenyewe, bali pia kulinda watu wengine. So kwa upande wetu that is some thing which has already been taken care of!!
 
Kaka wale wanaoandaa kile kipindi cha CHEATERS wana bonge la mtaji na watu wako tayari ku-appreciate kinachofanywa, bongo labda uanze na wabunge, mawaziri na wa chini yao hadi wa juu yao! Ila lazima wakutoe ngeu maana kwa hapa home sidhani kama kuna mtu atabaki hasa akina Magamba!!
 
It's not gonna work in Tz. mtaumizwa mjute kuzaliwa lakini all the best!
 
Kaka wale wanaoandaa kile kipindi cha CHEATERS wana bonge la mtaji na watu wako tayari ku-appreciate kinachofanywa, bongo labda uanze na wabunge, mawaziri na wa chini yao hadi wa juu yao! Ila lazima wakutoe ngeu maana kwa hapa home sidhani kama kuna mtu atabaki hasa akina Magamba!!

May be true. But ukweli ni kwamba, hiki kitu kimeanza kuandaliwa kwa kipindi cha zaidi ya miaka miwili, na mambo yote hayo yalizingatiwa ktk kupanga, mpaka sasa tunatangaza, taratibu zote zimeshakamilika na watu wameshaanza kulipwa mishahara zaidi ya miezi minne hivi sasa. Na mpaka sasa tumeshafanikiwa kunasa zaidi ya watu 150 Dar es salaam tu.Ushahidi uliopo ni Picha za mgando i.e still pictures, Video, pamoja na sauti bila video. Majina yao tumeshayapata, wenzi wao wameshakuwa identified. Katika hao watu 150, 110 ni wanaume na 40 ni wanawake. Wiki ijayo tunaanza kuwa approach wahusika na kuanza negotiations. Mtaanza kuona kwenye magazeti. Vipindi vya TV bado.
 
Ingependeza mkaanzia kule juu kabisa serikalini halafu mshuke chini taratiiibu. Halafu aproach iwe ni mtu aje kuomba msaada akiwa na wasiwasi sio vinginevyo
 
Tunashukuru kwa ushauri wako, ni mzuri, tutaufanyia kazi!!
 
lengo la firm ni wewe kuweza kupata fedha za kujikimu. Hongera kwa ubunifu ulopata toka Cheaters ya marekani loh
 
mnachunguza walio kwenye ndoa tu au? Maana kwa boyfriends na girlfriends mnatafuta ugomvi, kuingilia privacy za watu.
I should admit ni idea nzuri na hongera sana
 
That is something which is indeed not to be disclosed publicly, it is where the technical part of the firm is hinged!!. So excuse me am not going to tell u!. But it is actually possible, because we have quite an extensive network, with young, energetic, educated and very well trained agents, distributed allover the country. We are going to use Dsm as a pilot exercise to help to identify some areas which needs immediate improvement!!. The project is due to start next week on 14 / 11/ 2011. Take care not to fall in a trap!!

Mh! kila la kheri, wangu ana AK 47, how do you consider this? Pole sana.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom