Kampuni ya Jk na riz!

Jackbauer

JF-Expert Member
Oct 28, 2010
6,038
2,199
Jana katika pitapita zangu nimekutana na staff bus yenye maandishi yafuatayo.
"RIJK ZWAAN Q-SEM"
ukibadilisha hayo maandishi yasomeke
"JK RIZWAAN Q-SEM" basi unaweza kuhisi hii kampuni inamilikiwa na Jk na riziwani.
Tafakari njema wakuu....!

Nani kasema ni Kijaluo? See below:

Rijk Zwaan Q-Sem starts using biogas installation
22.06.2010 | source: RZ TZ

At Rijk Zwaan Q-Sem in Tanzania, one of the ovens in the staff kitchen will be heated by biogas from this week onwards. This fuel is created from WC waste, pulp that is left after seed extraction and crop remains from the glasshouses.

The two biogas installations used for this were designed and built by a local Tanzanian company. Before very long the company will also change the other ovens from burning wood to burning biogas, so that they will be able to provide the 170 employees of Rijk Zwaan Q-Sem with tea and lunch every day.

Thanks to the closed system that has been created, the kitchen of Rijk Zwaan Q-Sem is now self-sufficient in its energy requirement. However, its ambitions for sustainability go even further than that. The waste water from the biogas installations runs through an artificial marsh of ponds and reed beds, where it goes through a series of aerobic and anaerobic processes. Tests have shown that it is possible to purify the water to such an extent that, in accordance with official norms, it can be drained into the nearby river without any problems.

Sasa wandugu watu msima hii inakuwaje ni Jaluo? Sisi hamna luga hii

Sasa kama ni kampuni inayomilikiwa na Jk, wewe kilichokusibu hata hii topic uilete jamvini ni nini? RIJK ni watu sawa na wengine k.v. Bakheresa, Manji, Mengi n.k. kumiliki kitu kama hicho kisiwe ajabu kwao.

Jana katika pitapita zangu nimekutana na staff bus yenye maandishi yafuatayo.

"RIJK ZWAAN Q-SEM"

ukibadilisha hayo maandishi yasomeke

"JK RIZWAAN Q-SEM" basi unaweza kuhisi hii kampuni inamilikiwa na Jk na riziwani.

Tafakari njema wakuu....!

Sasa hutaki watu waanzishe kampuni?
Wakikaa bila miradi mnadai kula kulala na wanakula pesa zenu bure na wakifungua makampuni yao, hampendi.

Labda nikuwee mezani kama hujui sasa jua" RIJK ZWAAN Q-SEM haimilikiwi na huyo jamaa JK! hana huo ubavu, mwanzoni iliitwa QSEM LTD, kama kampuni dada ya QSEM HOLLAND, imepanuka na kufungua shamba jipya linaloitwa Afrisem huko huko Arusha.

Hii kampuni inazalisha mbegu chotara za maua na matunda tuu, ambapo mabaki ya hayo matunda ndo wameweza kutengeneza jikomla biogas na kutumia badala ya umeme wenu wa 10%

Hii campuni ipo ulaya tangu 1985!! so huyo jk si alikuwa bado school na mwanae kiunoni?

Jana katika pitapita zangu nimekutana na staff bus yenye maandishi yafuatayo.
"RIJK ZWAAN Q-SEM"
ukibadilisha hayo maandishi yasomeke
"JK RIZWAAN Q-SEM" basi unaweza kuhisi hii kampuni inamilikiwa na Jk na riziwani.
Tafakari njema wakuu....!

Sasa kama ni kampuni inayomilikiwa na Jk, wewe kilichokusibu hata hii topic uilete jamvini ni nini? RIJK ni watu sawa na wengine k.v. Bakheresa, Manji, Mengi n.k. kumiliki kitu kama hicho kisiwe ajabu kwao.
kwani kujua mali za viongozi wetu ni vibaya?

Kwa upande wangu nawapongeza kwa kuwekeza Tanzania..hii itawapa ajira Watanzania wenzetu na kupunguza outflow direct investment.. Big up JK Rz and the comapany!!!

Sasa kama ni kampuni inayomilikiwa na Jk, wewe kilichokusibu hata hii topic uilete jamvini ni nini? RIJK ni watu sawa na wengine k.v. Bakheresa, Manji, Mengi n.k. kumiliki kitu kama hicho kisiwe ajabu kwao.

Una maana na wao wana pumua kama sisi? acha utani mkuu............

Jana katika pitapita zangu nimekutana na staff bus yenye maandishi yafuatayo.
"RIJK ZWAAN Q-SEM"
ukibadilisha hayo maandishi yasomeke
"JK RIZWAAN Q-SEM" basi unaweza kuhisi hii kampuni inamilikiwa na Jk na riziwani.
Tafakari njema wakuu....!
Japo nadhani sio maala pake,RZ 1 ALIWAHI KUNEGOTIATE KUNUNUA MIGODI HUKO USHIROMBO BUKOMBE,ALIKUWA HUKO MWEZI WA KUMI 2010 KWA KISINGIZIO CHA UCHAGUZI NA ALIFANYA MAJADIRIANO NA WAFANYABIASHARA KADHAA NAMNA YA KUMILIKI MIGODI YA KELESIA ETC,WADAU MILO HUKO TUJUZE KAMA TAYARI KAWEKEZA KWENYE GOLD

Du huyo jamaa ni bongo la bosi mana hata minilisikiaga kuwa anakampuni ya kusafilisha mafuta pili siku za kalibuni nimesikia kagiza mabasi wakati kwetu huku anajenga sheli du mshikaji anatisha

RIZ1 ana miliki supermarket za TSN si unaona zinavyoibuka kama uyoga bamaga,masaki,upanga,mikocheni na tegeta wakati SHOPRITE wanazifunga kwa hasara

Pole sana...
RIJK ZWAAN LTD haina uhusiano wowote na KIkwete wala Riziwani japo mara moja Kikwete ametembelea kampuni yetu makao makuu Holland. RIJK ZWAAN ni kampuni ya Mbegu bora za mboga mboga iliyoanzishwa na jamma aitwae RIJK ZWAAN, alizaliwa mwaka 1924 Holland, sasa ni kampuni inayoongoza kwa mbegu bora za mboga mboga. Iko Dunia nzima, Tanzania tuna branch Tatu sasa, Mbili arusha (RIJK ZWAAN AFRISEM na RIJK ZWAAN Q-SEM), ya tatu ni RIJK ZWAAN MWANZA, na sasa tunaanzisha kituo kingine Bagamoyo (Low land areas)
Tunazalisha mbegu kwa ajiliya masoko ya Afrika na Ulaya.

Karibuni sana na nina uhakika nimejibu dukuduku zenu.......

RIZ1 ana miliki supermarket za TSN si unaona zinavyoibuka kama uyoga bamaga,masaki,upanga,mikocheni na tegeta wakati SHOPRITE wanazifunga kwa hasara

Hii ni kampuni ya Holland, Arusha ipo Tengeru na Chekereni wakuu msitokwe povu hili ni jukwaa la Jokes!!!

Back
Top Bottom