Kampuni ya ajabu katika ujenzi

[FONT=Verdana, Arial, Helvetica, sans-serif] MCHUBANGA ENTERPRISES Details[/FONT]​

[FONT=Verdana, Arial, Helvetica, sans-serif]Registration Number: C7/1688/12/2009-kwenye civil[/FONT]
[FONT=Verdana, Arial, Helvetica, sans-serif]Registration Number: B7/2533/12/2009-kwenye building[/FONT]

[FONT=Verdana, Arial, Helvetica, sans-serif]Telephone Number: 0732 997097/0713 195747???[/FONT]
[FONT=Verdana, Arial, Helvetica, sans-serif]Town/Village:DAR ES SALAAM[/FONT]
[FONT=Verdana, Arial, Helvetica, sans-serif]Postal Address:P.O. BOX 71997[/FONT]
[FONT=Verdana, Arial, Helvetica, sans-serif]Location:UKONGA MAGEREZA [/FONT]
[FONT=Verdana, Arial, Helvetica, sans-serif]Email:mchubanga@gmail.com[/FONT] [FONT=Verdana, Arial, Helvetica, sans-serif]ACTIVE MEMBER[/FONT]
areports.gif

Mobile??:confused:
 
[FONT=Verdana, Arial, Helvetica, sans-serif]MH. EMANUEL MAKOFIA HII 0732 997097
ni wirelesi ya TTCL AMBAYO IMEUNGANISHA NA INTERNET YA OFISINI, KARIBU OFISINI TUPO KWA MANUFAA YA WATANZANIA, PIA NATOA MAELEZO KUHUSU MFUMO WA MALIPO YA KAMPUNI YETU KWAMBA BAADA YA MKATABA UWA TUAANZA UJENZI KWA PHASE NA TUNAPOKAMILISHA PHASE NDIO MALIPO YANAFANYIKA,KWANI KAMPUNI HIPO IMARA KIUCHUMI,

PAMOJA TUTAJENGA NCHI YETU

[/FONT]
 
gharama za ujenzi zinarange kiasi gani kwa ntiumba standard ya vumba vitatu vya kulala sebule , dinning self contained isito na vikorombweza vingi? mi natarajia kuanza ujenzi december, labda wanaweza kunisaidia manake muda wangu i tight sana

Mtu mmoja sasa unaelekea kubaya. Idadi ya vyumba hata ikilingana bado size zitatofutiana na hata material zipo tofauti. Muhimu ni kwamba wametoa namba ya simu, twanga kisha mnapata muda wa kujadiliana na anakuandalia BOQ mnapitia pamoja na unampa kazi. Just ushauri
 
watch out!Kuna mulaa mmoja anajiita Kengele,...ukifanya mchezo atakupigia kweli kengele
 
Mtoa hoja atajuuuuuta kujifaragua.

Fanya homework yako vyema kisha uje jukwaani na kitu chenye mashiko ama la unaweza kuanza kulalama kuwa unatukanwa ilhali weye ndo uliinvite madongo kwa post bogus
 
Mtoa hoja atajuuuuuta kujifaragua.

Fanya homework yako vyema kisha uje jukwaani na kitu chenye mashiko ama la unaweza kuanza kulalama kuwa unatukanwa ilhali weye ndo uliinvite madongo kwa post bogus
nadhani lengo si kulalamika ila ni kuifahamisha jamii juu ya vitu vyema, jamii iliyo huru uwa na mawazo tofauti na hii ni haki yao ya msingi, ila cha muhimu ni kujenga taifa lao na kuthamini vitu bora vitavyoletwa na mzalendo mwenzao,

DAIMA KUMBUKA KUJENGA NA MCHUBANGA
 
"Mchumbanga Civil and Buliding...(......)(company/Contractors/firm/Agency/investments/Limited/Group/Associates/Partners/Estates/...???
 
Watanzania wanaopenda ujenzi wenye kiwango na ubora wa juu, nawapa habari juu ya kampuni ya ujenzi madhubuti itayofanikisha ujenzi wako katika kiwango cha kimataifa kwa bei ya wastani, kampuni yenyewe ambayo inamilikiwa na mtanzania halisi mawasiliano

MCHUBANGA CIVIL AND BUILDING
PO BOX 71997 DAR

AU WASILIANA NA MKURUGENZI MTENDAJI
BWANA VICTOR CHACHA SIMU YAKE NI
O713195747

Na wewe ni kama nani kwenye hii kampuni? Dalali au ndio MD mwenyewe?
Kuna nyumba mlizojenga amabapo tunaweza kwenda kuangalia au kuulizia kuhusu kazi mliyoifanya?
 
Na wewe ni kama nani kwenye hii kampuni? Dalali au ndio MD mwenyewe?
Kuna nyumba mlizojenga amabapo tunaweza kwenda kuangalia au kuulizia kuhusu kazi mliyoifanya?

sawa mkuu kwa sasa tunajenga madarasa ya BAO BAO, na kuna nyumba ambayo imekamilika yenyewe ipo kibaha maili moja ni ya ghorofa moja , na tupo katika hatua ya mwisho katika kuanza ujenzi wa shoping center sehemu ya kinyerezi

Kwanini umeiita kampuni ya ajabu

kwasababu ya malengo yake, kwani kampuni nyingi zina lengo moja tuu ambalo ni faida lakini kampuni hii inamalengo makuu mawili ambayo ni uzalendo na faida, kama mipango yetu ikienda vizuri tuna mpango wa kwenda kujenga nyumba stahili vijijini, na hili inawezekana kama tukiendelea kuwa stable mda si mrefu, ila tunaendelea kusisitiza mwitikio wa wazalendo

JENGA NA MCHUBANGA
 
Haya Kaka...
 
[FONT=Verdana, Arial, Helvetica, sans-serif] MCHUBANGA ENTERPRISES Details[/FONT]​

[FONT=Verdana, Arial, Helvetica, sans-serif]Registration Number: C7/1688/12/2009-kwenye civil[/FONT]
[FONT=Verdana, Arial, Helvetica, sans-serif]Registration Number: B7/2533/12/2009-kwenye building[/FONT]

[FONT=Verdana, Arial, Helvetica, sans-serif]Telephone Number: 0732 997097/0713 195747[/FONT]
[FONT=Verdana, Arial, Helvetica, sans-serif]Town/Village:DAR ES SALAAM[/FONT]
[FONT=Verdana, Arial, Helvetica, sans-serif]Postal Address:P.O. BOX 71997[/FONT]
[FONT=Verdana, Arial, Helvetica, sans-serif]Location:UKONGA MAGEREZA [/FONT]
[FONT=Verdana, Arial, Helvetica, sans-serif]Email:mchubanga@gmail.com[/FONT] [FONT=Verdana, Arial, Helvetica, sans-serif]ACTIVE MEMBER[/FONT]
areports.gif

Mkuu hii detail iko wapi mbona hionekani kwenye web page ya CRB under M?
 
kaka mbona hipo, ukienda katika web ya CRB tafuta kampuni hai(active) class 7 utaona,

JENGA NA MCHUBANGA KAMPUNI MAKINI
 
Mzalendo nakupa pongezi kwa hatua uliyo fikia,ingawaje kwa jinsi ulivyo jitangaza/tuambia wanaJF kuna mapungufu fulani ya kitaalamu kama walivyo elezea/kosoa wana jamii wengine.Binafsi sijapenda walivyo kukosoa kwani ni kukatishana tamaa,hata siku nyingine ukashindwa kutoa hadharani kwa njia hii jambo jema la kushirikiana nasi hata kama ni biashara!
Nawashauri wale wanao fahamu makosa yake wamweleweshe afanye nini ili aweze kueleweka zaidi.Tukubali huu ni utamaduni mgeni kwetu tuelimishane polepole tutafika.
Kwa ufaham wangu elezea Jina kamili la Kampuni,usajili,ofisi na muda wa kazi/uzoefu kwakuwa unatakiwa kutuvuta tuelezee baadhi ya nyumba/kazi ulizo kwisha fanya hata ukaweza kujinadi kama KAMPUNI YA AJABU KWENYE UJENZI!
Keep it up!
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom