Kampuni mpya ya kuajiri imefunguliwa

Shukrani mkuu, naomba kujua kama temporary jobs kwa non professionals like form six leavers and undergraduates who are in college.

ZiPO NDUGU YANGU TUMA CV YAKO TUTAKUPIGIA SIMU NA KAMA UKO NJE YA DSM HUNA HAJA YA KUSUMBUKA TUTAKUINTERVIEW THROUGH SKYPE MARA MOJA

THANKS
 
jamani wadau mie nimetuma na majibu yote juu ya kitakachojiri nitaleta hapa maana tangu mwanzo tunawatupia madongo na hakuna anayesema aliitwa na akaambiwa tofauti,mie ngoja niende huenda ndio bahati yangu

WENGI TUMEWAAMBIA WAJE LEO SIJUI KAMA NA WEWE NI MMOJA WAPO KAMA HUJAPIGIWA SIMU SUBIRI TUTAKUJULISHA LEO HII

ZIKO CV NYINGI SANA NA LEO TUU TUMEITA KAMA WATU HAMSINI SIJUI KAMA WEWE NI MMOJA WAO ILA KAMA HUJAPIGIWA SIMU ENDELEA KUSUBIRI LEO PIA TUTAPIGA SIMU JIONI KWANI KESHO TUNAENDELEA NA INTERVIEWS

TAFADHALI KAMA UKO NJE YA DSM TUAMBIAE KWANI WaTU NI WENGI SANA NA TUNAFANYA KILA NJIA KUWAHUDUMIA HATA KWA KUFANYA INTERVIEW KWA SIMU AU ONLINE
 
Kampuni kubwa na ya kimataifa? who are you kidding? kampuni iwe ya kimataifa na wanatumia gmail accounts? Mimi sijui kama hii kampuni ni fake au sio fake, nisilokubaliana nalo ni kujipachika ufahari wa kimataifa ilhali haijulikana kokote?

UTAJUAJE KAMA HII NI SWOT YETU YA KUKAT KOSTI??UNGEKUWA NA EXPOSHA KIDOGO UNGETAMBUA HILI NENDA AMERCA,CANADA NA UKRAINE,USWIS NA GERMAN MAKAMPUNI MENGI YA KATI SIO MAKUBWA SANA WANATUMIA YAHOO NA HOTMAIL,GMAIL NA AOL ILI KUPUNGUZA GHARAMA,ACHA KUKREM WEWE DUNIA iNABADILIKA WEWE UNABAKI NA UJUHA WAKO
 
Kalagabaho mi nimetapeliwa na wanaweka hadi fake website na link.

SISI HATUUZI WANAWAKE TUNATOA HUDUMA,WANAWAKE HAPA DAR HUHITAJI WEBSITE I CAN TELL GO OHIO STREET,KONA BAR,JOLLY CLUB,BILICANAS,MAISHA CLUB,DIDIS AND JAKIES KUANZIA SAA MBILI USIKU MPAKA ASUBUHI WAMEJAA KAMA ULITAPELIWA NA WEBSITE KUSAKA MALAYA TUUU WEWE UNA MATATIZO AU UNAFIKIRIA KWA KUTUMIA MASABURIII

pole
 
Acha kukurupuka ka umetoka usingizini wewe, soma mfululizo wa muda wa posts kisha jaribu tumia akili ya kawaida CV imesomwa at what time, na maongezi ya cm muda upi na hata kupata muda wa Ku-aknowledge kupitia JF in a minute.....

MPUMBAVU NDIE MPUMBAVU

UNAJIDHALILISHA TUUU KILA KITU KINAKOSEA HAPA DUNIANI WEWE MWENYEWE UMEKOSEA KWA KUTUKANA HAPA IWE MTANDAO??

UPUMBAVU WAKO NDIO UNAOKUSABABISHIA UMASKINI ULIONAO

tuma CV yako tukupe kazi upate hela ukasome usafishe ubongo KUNGURU WA FERI""
 
Mkuu patakazi nakushukuru sana ,na mimi nilianza kuoata mashaka kuwa mbona umetutupa hapa au umebanwa nini kwa kweli leo nimefurahi kwa kuwa umekuja hapa kama nilivyokushauri na umewajibu wadau vizuri sana.

Kwanza nimefurahishwa na uwezo wako wa kupambanua mambo,niliposoma majibu yako kwa wadau hapa nimegundua kuwa wengi waliochangia mada hii umewapita kwa uwezo wa kufikiri mbali sana,wengi walioponda hapa ni wajinga kweli na majibu uliyowapa haki ya nani umewaacha uchi huko waliko wanaona aibu kuu.

Mkuu nikuombe tena usiache kuja hapa kukanusha na kutoa ufafanuzi kwa lolote litakaloletwa hii ni forum yako

mwisho niwaambie wadau mimi sitafuti kazi ,nimejiajiri na ninapata kipato cha kutosha siihitaji kazi ila nawapenda na kuwaunga mkono watanzania wote wanaojitahidi kuwakomboa wenzao

wanafki watakufa na unafki wao,wachapakazi watasonga mbele daima
 
NAKUSHUKURU NDUGU YANGU DONGI DONGI AMARI KWA MISIFA ULIYONIPA NAMI NAIPOKEA KWA MIKONO MIWILI KWANI NAJUA NASTAHILI SANA AHSANTE SANA NA KAMA KUNA KINYAMKERA ANATAKA KUBISHA BASI AJE TUMUUMBUE

NAPENDA KUTAMBUA KUWA JF NI UWANJA MPANA NA UMETUKUKA,WAKATI NAPOST TANGAZO LANGU HAPA NILIKUWA KAMA MAILI 9000 NEVADA MO,LAKINI MWENDELEZO ULIOPO NAUKUBALI NA NIMEFURAHISHWA SANA NA MAJIBU YA WADAU JAPO WENGI WANAPONDA NAFIKIRI NI KWA KUWA WAMEWAHI KUTENDWA SINA SHIDA NAO ILA KWA UHAKIKA WAJE TUWAHUDUMIE

NAKUSHUKURU SANA MKUU AMARI,NAAMINI WIKEND HIII HAPA NAMAANISHA HIII IJAYO BAADA YA KESHO TUTAKUWA PAMOJA MAENEO YETU YA ZAMANI ZILEEEEEEEE

HAHAHA

WANA jf KARIBUNI TUWAHUDUMIE
 
Naona unabipu FAYA wewe 'Amaru Dongo', kwa hiyo wewe ndio unajifanya una akili saaana kuliko mimi Mndengereko?
Mimi naona wewe ndio unajidhalilisha, tena bila huruma na kama umetumwa nenda kawaambie uliowatuma kuwa umekutana na Mndengereko pekee mwenye kujua kutumia Kompyuta ipasavyo kiasi kwamba haoni shida 'kutaipu' siku nzima, huna adabu!

Recruiters Associates wakatumie akaunti ya GOOGLE (Kweli akili nzuri ukiwa nayo)

Je vipi kuhusu huu mchezo, wewe unauelewa umewezekanaje; Suzan (Feki, ambaye ni mmoja wenu) katuma ujumbe 16:52hrs na baada tu ya dakika 1, yaani 16:53 amepost comment nyingine kuwashukuru na kuwaaga baada ya kuongea nao kwenye simu. Hebu nieleze nini kitakuwa kimeongelewa ndani ya dakika moja na Suzan huyo huyo aweze kupost (ndani ya dakika hiyo hiyo) acknowledgements hapa JF kama sio usanii wa kitoto?

Hata muuza maboga wa Rufiji humdanganyi namna hii. Mnataka kuiba huku hamjasoma, wizi wa namna hiyo hata watani zangu wamakonde na uzembe wao huwaibii, labda Wanyamwezi wa Igunga, kwenda zako hapa.

Kama wanatoa 'skola sheep' waombe wakupe moja ya kwenda kusomea utapeli Nigeria other wise mtajapigwa mtaani siku moja na wizi wa kitoto huu. Ah, nilitaka kusahau...PERIOD!

mwambie mkuu.
 
Haha yani huyu jamaa anazidi kujishusha hadhi kwa kutukana, eti intaview watu zaid ya 50, kazi zingekua zinamwagika hivi sidhani kama kungekua na tatizo la ajira , pole tapeli wa kujitegemea..afu eti unatafuta malaya nenda joly? Unafikiri jf kuna wanaume tu?, kama no, kwanini una generalise? Thats pure fallacy!
 
and another thing tangza kwenye t.v upate vijana wengi ili ulipwe na hayo makampun hewa ela nying, si ku2mia mtandao afu unakua ANONYMOUS, NO ONE IS SEEING YOU, ALAAH!
 
kwa ukilaza ulioonyesha nina uhakika asilimia moja moja wewe ni jobless. maana hata kazi ya kujiajiri huwezi. Mchezo amabo hata mtoto wa kindergarten anaweza kuushtukia kati ya pata kazi na huyo anayejiita suzan. Next time jaribu kuwa smart.. Kucheza na watu wanaotatufa kazi ni dhambi kubwa..
 
hata richmond ilikuwa ni kampuni ya kimataifa!hahahahahaha,natania tu jamani kama kuna kazi tupeni tufanya maana hii kazi ya kutafuta kazi nimeichoka mwenzenu.
 
afu ukicheck icho kisuz kimember, na icho patakazi pia kimember, FB, WALINGIA NA FAKE ID ZA WASANII WAKUBWA KAMA DIAMOND, WEMA NA SHILOLE AFU, DIAMOND ANASEMA MF JAMAN MI WAMENISAIDIA, AFU VIMEMBER VYA KIZUSH NAVYO VINACHANGIA, ET OH JAMAN THS THNG IS REAL, WATU WAKIONA WASANI WAKUBWA WAKAWA WANAAMINI KUMBE FEK, WAKAKOMBA ELA ZA WATU NA WAKIJUA UMEWAGUNDUA WANAKUBLOCK, INSHORT WATANZANIA LETS BEWARE BONGO NJAA KALI IVO UTAPEL UNAONGEZEKA.
 
NAKUSHUKURU NDUGU YANGU DONGI DONGI AMARI KWA MISIFA ULIYONIPA NAMI NAIPOKEA KWA MIKONO MIWILI KWANI NAJUA NASTAHILI SANA AHSANTE SANA NA KAMA KUNA KINYAMKERA ANATAKA KUBISHA BASI AJE TUMUUMBUE

NAPENDA KUTAMBUA KUWA JF NI UWANJA MPANA NA UMETUKUKA,WAKATI NAPOST TANGAZO LANGU HAPA NILIKUWA KAMA MAILI 9000 NEVADA MO,LAKINI MWENDELEZO ULIOPO NAUKUBALI NA NIMEFURAHISHWA SANA NA MAJIBU YA WADAU JAPO WENGI WANAPONDA NAFIKIRI NI KWA KUWA WAMEWAHI KUTENDWA SINA SHIDA NAO ILA KWA UHAKIKA WAJE TUWAHUDUMIE

NAKUSHUKURU SANA MKUU AMARI,NAAMINI WIKEND HIII HAPA NAMAANISHA HIII IJAYO BAADA YA KESHO TUTAKUWA PAMOJA MAENEO YETU YA ZAMANI ZILEEEEEEEE

HAHAHA

WANA jf KARIBUNI TUWAHUDUMIE

Kumbe mnafahamiana ktk kupigiana debe!

Mimi swali langu nalirudisha kwenye Intellijensia ya Mkuu Mwana Mtoka Pabaya (ambaye mmemfanyia fitina kapigwa BAN, Mungu amlaze mahali pepa peponi). Imewezekanaje Suzan Minja afanye yooote yale ndani ya dkk moja kama si usanii wako na hawa vibaraka wako wa kuwa na ID nyingi na kujifanyisha amehudumiwa?

16:52 anauliza kazi gani mnazo na utaratibu wenu ukoje
16:53 ameshapiga simu kapata maelezo na appointment na tayari ameshatuma post JF kushukuru. Hivi nyinyi mnadhani watu hapa ni malimbukeni na wakurupukaji kama nyie wenyewe au?

Mwana Mtoka Pabaya, RIP chalii yangu, MODS wakikuachia tuendelee kukamua
 
UNAJIDHALILISHA TUUU KILA KITU KINAKOSEA HAPA DUNIANI WEWE MWENYEWE UMEKOSEA KWA KUTUKANA HAPA IWE MTANDAO??

UPUMBAVU WAKO NDIO UNAOKUSABABISHIA UMASKINI ULIONAO

tuma CV yako tukupe kazi upate hela ukasome usafishe ubongo KUNGURU WA FERI""

Halafu Ndugu Wakala unaonekana una jazba chalii yangu, nini mbaya. Kama vipi GO HAVE SEX (Wapi Erotica akupe ushauri na SAA).

Kwa hiyo, kutokana na maelezo yako, unataka kuniambia saa ya JF ilikosea pia kunukuu muda wa post 2 alizotuma msanii Suzan Minja? (16:52 na 16:53)
 
YOTE YANAWEZEKANA

INAWEZEKANA HATA PRINCES SUZ ALIKOSEA

KWANI VIPI HAIWEZEKANI Au??
 
Kumbe mnafahamiana ktk kupigiana debe!

Mimi swali langu nalirudisha kwenye Intellijensia ya Mkuu Mwana Mtoka Pabaya (ambaye mmemfanyia fitina kapigwa BAN, Mungu amlaze mahali pepa peponi). Imewezekanaje Suzan Minja afanye yooote yale ndani ya dkk moja kama si usanii wako na hawa vibaraka wako wa kuwa na ID nyingi na kujifanyisha amehudumiwa?

16:52 anauliza kazi gani mnazo na utaratibu wenu ukoje
16:53 ameshapiga simu kapata maelezo na appointment na tayari ameshatuma post JF kushukuru. Hivi nyinyi mnadhani watu hapa ni malimbukeni na wakurupukaji kama nyie wenyewe au?

Mwana Mtoka Pabaya, RIP chalii yangu, MODS wakikuachia tuendelee kukamua

PRINCES SUZ ANAWEZA KUFANYA YOTE HATA KWA SEKUNDE NA WEWE KAMA UNATAKA NIMWAMBIE AJE AKUFANYIE KWA SEKUNDE,SWALA HILO NI MAINA SANA KWA WENYE AKILI ,ACHA KUGARAGAZA MASABURI YAKO KWENYE MAKAA YA MAWE TUMIA bONGO JO''
 
8 Reactions
Reply
Back
Top Bottom