Kampuni bora za kutengeneza website Tanzania

Super Tuesday

JF-Expert Member
Apr 5, 2016
636
723
wadau ninataka kudesign website yangu, sasa naomba kuuliza ni kampuni gani ni nzuri sana kwa utengenezaji wa websites hapa nchini. nitashukuru kwa majibu yenu.
 
wadau ninataka kudesign website yangu, sasa naomba kuuliza ni kampuni gani ni nzuri sana kwa utengenezaji wa websites hapa nchini. nitashukuru kwa majibu yenu.
mambo vipi ? karibu tukufanyie kazi yako. sisi kampuni ya rainbows lines tunapatikana sinza kamanyora tunatoa huduma za webdesign, Graphic design, content management system pamoja na branding.
baadhi ya kazi za website tulizofanya ni kama:
www.cableoutreach.org
www.patmogsl.co.tz
www.fikisha.co.tz
www.hypnosisltd.com
pitia izo baadhi ya kazi tulizofanya ili kujilizisha na ubora na huduma zetu.
tuwasiliane kwa number
+255 654 380 695 whatsapp au call au email matthewkapela@gmail.com
karibu mkuu tufanye kazi.
 
wadau ninataka kudesign website yangu, sasa naomba kuuliza ni kampuni gani ni nzuri sana kwa utengenezaji wa websites hapa nchini. nitashukuru kwa majibu yenu.
Waone hawa jamaa, www.index.co.tz wanatisha saana, sample ya kazi zao ziko hapo hapo kwenye website yao wana fanya hosting na design wenyewe, waaminifu na wana kupa support hata kama walisha kukabidhi site yako, namba zao ni 0715812160 au 0764452424
 
Back
Top Bottom