Kampuni Binafsi za Ulinzi zichunguzwe!

Kaitaba

JF-Expert Member
Jun 30, 2009
916
52
Tukio la kusikitisha limetokea usiku wa kuamkia leo huko songea ni la kusikitisha,

Walinzi wawili wa kampuni binfsi ya ulinzi wamevamiwa na majambazi wakiwa wamelala na kupiga na nondo kichwani na kufariki hapo hapo,

Majambazi hayo baada ya kufanya unyama huo yaliingia kwenye ofisi za posta na kuiba sh, 12,000/= tu.

Meneja wa posta leo asubuhi amewakuta wakiwa wamefariki hao walinzi na pembeni mwao pakiwa na virungu vyao.

Swali ni hili, inakuwaje wanalinda jengo kubwa hili wakiwa na virungu? na wakati huo wanazuia majambazi?
 
Goooooosh....!

Hasara kwa Familia zao...not any other person!

Mungu saidia watu hawa!
 
Pia kuna habari kwamba, mkoani Songea kama unataka kukodisha hawa walinzi, unaulizwa, unataka askari mwenye bunduki, au mwenye kirungu, jibu unalolitoa ndilo linatoa gharama zako,

Hapa wa kulaumiwa ni wenye makampuni, iweje akubali kupokea pesa za kulinda kwa kirungu wakati mlinzi wake anakwenda kulinda usiku?
 
Back
Top Bottom