Kampuni 3 Zamtaka Mtoto wa Wema

Ndiyo maana nikauita upumbavu.

Huyo mtoto mwenyewe hata bado hajazaliwa lakini watu tayari washampigia mahesabu ya namna gani wanaweza kunufaika kibiashara!

How low can they go?

Eti mtoto atakuwa kivutio!

Kivutio gani?
C&P na kupenda Mashindano.
 
Subilini kuongopewa siwanawajua MTU huwezi pita njia usio jua inatokea wapi Bali unapita njia ukijua unatokea unapo pafahamu ...but ya mungu mengi.... Na lisemwalo lipo ....then at the end of day tutapeana kashifa ya uchawi.....
Ni mtazamo tu....
 
"kwani wanaamini mtoto huyo atakuwa kivutio kikubwa."

Upumbavu to the nth degree!

Eti mtoto atakuwa kivutio kikubwa! Sababu?

Atakuwa na mapembe huyo mtoto? Atakuwa na mkia labda?

Kama atakuwa kivutio kikubwa si wampeleke kwenye zoo huko watu wawe wanalipia hela kwenda kumwona.

Haya wale wenye kutokwa povu kwenye matundu yote mliyonayo nakaribisha matusi yenu:D.

Kama una ubavu ni quote twende toe to toe ila kama huna unaweza ukanitukana bila kuninukuu na kusepa.
ahaha nyani ngabu kiboko, wampeleke wapi?? ahaja
 
Hahahahha tupo wengi... Sasa kwanini analishikashika tumbo kama vile la miezi Sita???
Si bora hata alishike yeye hadi wengine wanapewa kulishika sijui huku mtaani kwetu zamu yetu kulishika ni lini
Screenshot_2016-02-05-12-47-57.png
Screenshot_2016-02-05-12-45-57.png
 
Ah wapi...siwezi kukwaruzana na lightweights.

Haitakuwa fair kabisa. Vijitu vyenyewe vinaniogopa. Teh teh teh.

Ndo maana nasubiri tu hayo matusi nione kama kutakuwa na jipya.

Subiri sasa uone watakavyofura....they are so predictable.
We msukuma acha ukorofi
 
ahaha nyani ngabu kiboko, wampeleke wapi?? ahaja

Hilo suala la mtoto kuwa kivutio limeniboa.

Mtoto atakuwaje kivutio? Tena kitoto kichanga [kama ni kweli huyo Wema ana mimba au la], watu bila simile wanakaa na kuanza kupiga mahesabu yao ya kuvuta mtonyo?

Hiyo ni akili au matope? Ndo maana nikasema kama atakuwa kivutio basi na wampeleke zoo huko ili TRA nao wachukue chao wasaidie katika pato la taifa.

Ila wazo zima tu la mtoto kuwa kivutio linatia kinyaa bana.
 
Back
Top Bottom