Kampeni zimepamba moto uzini CCM na Chadema vikichanja mbuga

Usiwadanganye watu huo ni uongo chadema huku z'bar hakuna wanachama na hasa vijijini na hao wanao kwenda mikutanoni kutoka huko tanganyika uctafute sababu kusema kaibiwa kura kuhusu z'bar mzidi kujipanga bado sana na sifikirii
 
Kazeni buti chadema one day tutaiteka zanzibar pi ,tutakushangaza tuko uzini kushinda na sio kushiriki.
 
Mpaka kufikia 2014 cuf itakuwa imebakiwa na madiwani na wabunge pekee,haitakuwa na wanachama wa kawaida,sasa sijui 2015 hao waheshimiwa watatetea vipi nafasi zao tena
 
Zanzibar ina wenyewe na wote wanalijua hilo.

Uzini ni kwa wana Uzini na si vinginevyo.

Chadema jueni hilo. Kuna Tetetesi kuwa amebaki Padre pekee wengine wote wametimka. Heche na wenzake wako Moro, KUB anaelekea DC kunywa chai ya maombi.

Padre kaza buti. Na lini helkopta itaanza kazi huko.
 
Usiwadanganye watu huo ni uongo chadema huku z'bar hakuna wanachama na hasa vijijini na hao wanao kwenda mikutanoni kutoka huko tanganyika uctafute sababu kusema kaibiwa kura kuhusu z'bar mzidi kujipanga bado sana na sifikirii

Tusubiri majibu tu ndio watajua Znz ina wenyewe.
Chadema mwisho Chumbe.

Nilikuwa nawauliza helkopta inakwenda lini Uzini.
 
kuna watu inawashangaza sana kwa nguvu ya CUF kupungua ZNZ lakini ndio ukweli wenyewe na mwelekeo wa kampeni unavyoenda jamii itashangazwa na matokeo ya huko.

kila ukipita kwenye kampeni za CUF mambo mengi wanayozungumza wanachama wake ni seif sharifu ameua chama cha CUF.

Daima muda ni hakimu mzuri ...siku ya kupiga kura na matokeo inaelekea
 
Barubaru ndiye mwanachama mwamin4f
 
Barubaru ndiye mwanachama mwaminifu wa CUF amebaki.Kwake yeye ije mvua liwake jua ni CUF
 
Usiwadanganye watu huo ni uongo chadema huku z'bar hakuna wanachama na hasa vijijini na hao wanao kwenda mikutanoni kutoka huko tanganyika uctafute sababu kusema kaibiwa kura kuhusu z'bar mzidi kujipanga bado sana na sifikirii

Imekuuma sana!hauna jinsi mk8 zaidi ya kuumeza ukweli japo ni mchungu sana!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom