Kampeni za TLP Arumeru zinatutia kichefuchefu

Chipaka (mgombea wa TLP) kwa maneno yake mwenyewe alisema anagombea ubunge ili akuze CV yake ingawa anajua atashindwa.
2010 aligombea udiwani kwa Moromboo akashindwa.

Mkuu nikusahishe kidogo, aligombea udiwani kata ya 'Terat' akawa wa tatu akipa chini ya 100.
 
Kwa uhakika niliona CHIPAKA ana elimu ya drs la saba, anajua kusoma kwa tabu sana, kuandika hapo ndo tatizo hata form ya udiwani 2010 alisaidiwa kujaza. Katupiga changa la macho, eti ana shahada ya uchumi. Kumbe anamiliki bar na gest, ana mando kijani ndo kafungia spika kutumbuiza sokon maeneo ya kwa murombo
 
Wana JF wengine huwa mnakurupuka kutoa maoni kabla hamjaelewa mada. Mtoa mada anamaanisha kwamba TLP wanachezea fedha kwa kupiga miziki ya Mr Nice kutwa badala ya kufanya kampeni.
Au kwa lugha nyingine wanatafuta sababu ya matumizi. Ili mahesabu yasome walitumia ktk kampeni.
Mmeelewa sasa, hasa wewe Majasho, mgumu kuelewa kama ID yako.
 
Yplus,i m just observer on whats going on in East Arumeru and i m not belong to any Political Party.
Tunaona vituko vingi huku,Tunachotaka ni kuona Kampeni zenye kuleta tija,Miziki ya Mr Nice inayopigwa na Gari la TLP lina waacha wananchi waaone kama wanafanya Komedy...
Nyimbo za Mr Nice kama Kuku kapanda Baiskeli,Kikulacho zinahusiana nini na Mgombea wao Ubunge?
Shame on that...
 
Sijui nikuite kaka au dada maana jina lako halina jinsia, kwanini isifike wakati tukajaribu kuwa wastaarabu? hivi unadhani kwa tabia kama hizi zitatufikisha kokote? najua wewe ni mwanachama wa cdm nakushauri utakapotumia lugha nzuri na laini utaweza kuwashawishi hata wale wasio wanachama wakawa wanachama lakini ukatumia maneno ya kishenzi wale ambao bado wana mashaka na chama utawakimbiza.

We unadhani mleta mada ni kada wa CCM? kama angekuwa ni waccm sidhani angeleta mada hiyo hapa jamvini sometimes read between the lines bro na ujifunze ustaarabu kwani ustaarabu sio kuvaa vizuri na kuchana nywele (kuwa smart) ni zaidi ya hapo.
Hapo kwenye RED panaonyesha prejudice ya waziwazi.
Ushauri ni mzuri ila prejudice tu ndo tatizo la wengi humu.
 
WanaJF, Msihangaishe vichwa vyenu na hawa MAGAMBA, wao kila lizungumzalo uhalisia na ukweli hutuhumu kama ni VURUGU za CHADEMA, mambo mengine hayahitaj seminar wala pesa za kigeni kuyaelewa ila MAGAMBA wamekuwa wavivu hata kufikiri, CASE STUDY ni HAWA pale Ubungo, kapeleka kesi mahakaman bila kujua kwa nini anafanya hivyo. Shame to them
 
Nadhani unapaswa kujibu hoja na sio kuleta viroja.......ni wapi katika muanzisha thread hii alipojitambulisha kwamba yeye ni CHADEMA? au na wewe ni CHADEMAPHOBIAN?.......Huu ni upumbavu wa kifikra.[/QUOT

mkuu kusoma hujui hata picha huwezi kuelewa? mbona mtoa mada amejidhihilisha wazi kuwa yeye ni CDM? maana imeandikwa utawajua tu kwa matendo yao!yaani hata kuandika tu utawajua! unadhani mawazo kama hayo yanaweza kutoka ccm au washirika wao? ni mwana CDM tu anayeweza kukerwa na mambo hayo wanayoyafanya TLP.Ni mwanacdm tu anayeweza kutoa maoni yenye upeo na uzalendo kiasi hicho.
 
wee said, hapa ndo napoona chadema ni wapuuzi na wabinafsi....yani saizi siasa wanataka wao na ccm tu.... mbona zanzibar mnapeleka wagombea.... democrasia ni ya wote you stupid ****** ata kama wakipata kura moja...

haya moderater futa comment yangu and ban me since i am not pro chadema on this,,,,

Wewe kama si Mlevi basi unavuta unga! unaanza kumshambulia mtoa mada na tena unasema CDM wapuuzi!! kwa lipi? mtoa mada amedeclare interest kuwa yeye ni cdm? wewe ndo mpuuzi tena unafikiri kwa kutmia pombe siyo akili. Peleka ujinga wako huko na tene ukomeeee. stupid!
 
Mbona nyinyi mlikwenda UZINI wakati mkijua for SURE kwamba UZINI hakuna CDM?
Hiyo ndiyo ghrana ya democrasy buddy!
Kwani Fahmu Dovutwa alikuwa na matumaini yeyote ya kushinda kiti cha urais JMT 2010?. Mbon aligombea tena akapewa ulinzi na serikali for 24 hours tangu siku ile tume ilipomuidhinisha kugombea kiti cha U-rais wa JMT.
bab mbona unawashwa sana na CDM. ni wapi kwenye hiyo post kasema Cdm wasema Kampeni za TLP zinatia kichefuchefu,acha maua yachanue kama mungu anavyotaka, najua unaota ndoto mbaya za kukutisha kuhusu CDM
 
Hata CCM wanatia kichefuchefu tena zaidi ya TLP, mgombea wao ni kama bubu, sijui kakaririshwa madesa, hajiachii na kujimwayamwaya kama kamanda Nassari,wanapoteza kodi zetu
 
Yplus,i m just observer on whats going on in East Arumeru and i m not belong to any Political Party.
Tunaona vituko vingi huku,Tunachotaka ni kuona Kampeni zenye kuleta tija,Miziki ya Mr Nice inayopigwa na Gari la TLP lina waacha wananchi waaone kama wanafanya Komedy...
Nyimbo za Mr Nice kama Kuku kapanda Baiskeli,Kikulacho zinahusiana nini na Mgombea wao Ubunge?
Shame on that...

Kwani hao wagombea wengine wanapiga nyimbo gani, mbona CCM kwenye kampeni wanawatumia zee comedi kuhamasisha watu, au makundi ya taarabu, ishu ni kuhamasisha watu wakusanyike uwape neno, kikulacho tafsiri yake ni watu kama Padre Slaa wanakula na kupuuliza, evil in the making
 
Wewe kama si Mlevi basi unavuta unga! unaanza kumshambulia mtoa mada na tena unasema CDM wapuuzi!! kwa lipi? mtoa mada amedeclare interest kuwa yeye ni cdm? wewe ndo mpuuzi tena unafikiri kwa kutmia pombe siyo akili. Peleka ujinga wako huko na tene ukomeeee. stupid!

we sina hata ya kukujibu, umejiunga hapa 2012, kakojoe ulale, kama imekutach rudisha kadi ya chadema tukupe ya ccj
 
wee said, hapa ndo napoona chadema ni wapuuzi na wabinafsi....yani saizi siasa wanataka wao na ccm tu.... mbona zanzibar mnapeleka wagombea.... democrasia ni ya wote you stupid ****** ata kama wakipata kura moja...

haya moderater futa comment yangu and ban me since i am not pro chadema on this,,,,

unafikiri Mod anamuda wa kufuta ***** ulioandika bila ya sisi kuusoma. Siyo lazima uchangie, au umelipwa kwa uliloandika.....mpuu.......zi....sana ....aliyekutuma.....
 
wee said, hapa ndo napoona chadema ni wapuuzi na wabinafsi....yani saizi siasa wanataka wao na ccm tu.... mbona zanzibar mnapeleka wagombea.... democrasia ni ya wote you stupid ****** ata kama wakipata kura moja...

haya moderater futa comment yangu and ban me since i am not pro chadema on this,,,,

Wapi mtoa mada aliposema yeye CHADEMA mbona uanataka kupotosha watu, maoni ya mtu binafsi unabatiza kuwa ya chama au mtoa mada ni kiongozi wa chadema? FIKIRIA kabla haujaandika kumbuka kalamu ni hatari zaidi ya risasi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom