M mpangwa1 JF-Expert Member Jul 19, 2009 278 8 Oct 17, 2010 #63 nyani said: View attachment 15394 Click to expand... halafu akipata mimba anambiwa ni kihelehele chako,
nyani said: View attachment 15394 Click to expand... halafu akipata mimba anambiwa ni kihelehele chako,
M Mwafrika JF-Expert Member Nov 20, 2006 5,490 226 Oct 18, 2010 Thread starter #64 mpangwa1 said: halafu akipata mimba anambiwa ni kihelehele chako, Click to expand... Na akizaa mtoto anazuiwa kurudi shule kwa vile maziwa yatakuwa yanachuruzika na kuchafua shati la shule..... You gotta love Kikwete kwa ukilaza
mpangwa1 said: halafu akipata mimba anambiwa ni kihelehele chako, Click to expand... Na akizaa mtoto anazuiwa kurudi shule kwa vile maziwa yatakuwa yanachuruzika na kuchafua shati la shule..... You gotta love Kikwete kwa ukilaza
K kukubata Member Oct 9, 2010 69 0 Oct 18, 2010 #65 jamani mabadiliko muhimu bila hivo tutalia sana na ccm