Elections 2010 Kampeni za Kikwete na watoto wa shule - picha

kweli waforum wenzangu elimu ya kwetu Tanzania itapanda kwa hali hii?obviously wanafunzi wanashinikizwa kwenda na haya hasa yanatokea mikoani.
 
4637382.jpg

Masikini watoto wa shule, sijui anawadanganya nini Mungu wangu!!!

Duh!!
 
Ajira za watoto kwenye siasa kama zilivyo kwenye nyanja nyingine ni udhalilishaji wa watoto na ni unyonyaji wa hali ya juu. Jk na CCM yake ni vyema wakafikishwa mahakamani kujibu tuhuma za kudhalilisha watoto kwa manufaa yao binafsi.
 
Watoto hawakosi mikutano yeyote ya kampeni na wanahaki ya kujua hatima yao acheni waudhurie mikutano ili waweze kupima vizuri wakifikia umri wa kupiga kura. Huku bush ndio outing zenyewe hizo ijapokuwa nyie wa town ndio mnavyopima kukubalika kwenu kwa apiga kura, kampeni ndio fiesta zetu na ni bure na shamla shamla zinaanza masaa hata matano kabla ya mgombea kufika na uendelea hata wakiondoka.

Hoja dhaifu mnazoanzisha ndio zinazompa chati Kikwete, Mwafrika and et al.
 
Dk. Mohamed Gharib Bilal akivua kofia yake na kumvisha Kijana, James Charles wakati akifurahia ngoma ya asili ya Kikundi cha Vijana cha Chomamoto wakati alipowasili Kijiji cha Mndemu Wilaya ya Bahi Mkoa wa Dodoma leo kufanya mkutano wa kampeni na kumnadi mgombea ubunge wa Jimbo hilo la Bahi, Omar Baduwel.Picha na Muhidin Sufiani
 
Watoto hawakosi mikutano yeyote ya kampeni na wanahaki ya kujua hatima yao acheni waudhurie mikutano ili waweze kupima vizuri wakifikia umri wa kupiga kura. Huku bush ndio outing zenyewe hizo ijapokuwa nyie wa town ndio mnavyopima kukubalika kwenu kwa apiga kura, kampeni ndio fiesta zetu na ni bure na shamla shamla zinaanza masaa hata matano kabla ya mgombea kufika na uendelea hata wakiondoka.

Hoja dhaifu mnazoanzisha ndio zinazompa chati Kikwete, Mwafrika and et al.

Udhaifu wa hii hoja ni upi mkuu?
Kuongelea suala la watoto wa shule kukatizwa masomo ili waende kwenye kampeni za JK ni jambo dhaifu?
 
Unajua ni kwa nn CCM wanafanya hivi? Watu wazma wamewachoka na hata kaMA WAKIHUDHURIA ccm hawana jipya wataishiwa kuzomewa ndo maana wanaishia kuokota watoto wa shule japo wa feel uwepo wa watu kwenye kampeni zao coz watoto ni rahisi kurubuniwa na bahati mbaya hamna aliefikia umri wa kupiga kura!!!!!!!!!!
 
hapa ndio tunanyanyua kiwango cha elima mazee... hata kumuona rais na mwanae ni kuinua elimu, the kids will have memories when they grow up:mmph::dance::dance::dance::whistle::whistle::whistle:
 
Mkuu unaweza kuja na version ya Kampeni za Kikwete na Wanawake - picha! Nitachangia kwa hilo

wako mtiifu

Azadirachta indica

7e683a6de4032360_shoot_245_preview.jpg
Huyo kushoto kwa mkulu mbona alikuwa anisogeza pochi yake jirani na baiolojia ya vasco? vitu vidogo kama hivi huwa vinakosti sana maana kama angekuwa trained assassin angeweza hata kumpaka dawa kwenye koti lake au kumdidimiza kitu chenye ncha kali.
ila jamaa ukiangalia sura yake hapo kati ya vidosho amezeeka kuliko nilivyomwona last month.
 
Kweli maji yamefika shingoni,,,, watoto washule walipashwa kuwa shuleni na wanaendelea na masomo, ila wataendeleaje wakati walimu wao hali zao kimaisha siyo nzuri? Mishahara mdogo na pia haifiki kwa wakati ufaao.. elimu ya waalimu ndogo hata wengine kingereza shida....

Watoto wamepewa kanga na wamefurahi sana ila hawajui kesho itakuwaje....

Sisi tuchague Chadema ahafu hawa watoto watawaonyesha tofauti ya CCM na Slaa ni nini...
 
Back
Top Bottom