Elections 2010 Kampeni za jk manyoni

Hana tofauti na Marando, wote malaya wa siasa.
very right, na ungekua unafuatilia sana humu ile thread ya Rev Kishoka ungeona kuwa nilisema the same, wote ni pros.... so tell me something i dont know
 
Mkutano wa JK hata siku moja hauwezi kuhudhuriwa na watu chini ya 1000. Hata kama hakuna wapenzi wa CCM, bado watu watajaa kwenda kushangaa shangaa tu.

Tuletee picha ya hao watu 100.
kuwatazama orijino komedi, na wasani wa bongo fleva
 
Back
Top Bottom