Elections 2010 Kampeni za jk manyoni

Lori namba zake ni t 307 afl,limeshaondoka hope kwenda kuwaleta wengine
 
Hivi wakuu si polisi walishatangaza kuwa lori haliruhusiwi kubeba au kutumika kama gari la abiria?au kipindi hiki cha uchaguzi sheria zinapindishwa?
 
naam ndo staili ya ccm hiyo. Basi ukiona hivyo dc keshachota fungu toka kwenye mfuko wa maendeleo akodishe magari ya kuleta watu. Basi nalo litaingia punde tu. Hope na siku ya kura watatuma malori yabebe watu wakapige kura! Raha tupu!

umesema dc kachota fungu toka mfuko wa maendeleo????? Sina hakika na hilo, ninachojua dc kwenye wilaya na halmashauri ni mtu ambaye yupoyupo tu, hana mafungu ya maendeleo ila ded ndiye mwenye pesa za local goverment development grant(lgcdg)
ila sio ajabu kuwa pesa hizo zilizochukuliwa ni za serikali kwani sie wengine tumeshuhudia mengi ila .............................. Ndo tanzania hii
 
Leta habari mkuu, vipi Chiligati anagombea na nani hapo Manyoni kwa wajanja?
 
Anapaswa kuanza saa 6 na nusu bado hakuna watu,kuna wachache sana walio ktk fulana za kijani na njano,

Helkopta inazunguka juu ila bado uwanja hakuna watu

Vikundi vya ngoma vya wakina mama ndani ya khanga za ccm vinaingia hapa,hadi huruma guyz,kazi ipo

Wana ccm wanacheza ngoma hapa

Lori la kwanza linaingia hapa likiwa limeshona watu

nipo hapa uwanja wa jumbe manyoni watu wanamsubiria jk anayetarajia kuhutubia hapa muda si mrefu,watu ni wachache sana hawazidi mia moja,labda tusubilie watakavyobebwa na malori kuja kwenye huu mkutano,hapa vijana wanawatukana wenzao kwa kukubali kuvaa fulana za bure na kugeuka mabango ya matangazo,nitawajulisha zaidi

Namba za hilo lori ni t307 afl

Lori namba zake ni t 307 afl,limeshaondoka hope kwenda kuwaleta wengine

Watu wanagombania fulana hapa,polisi wamwaga sasa

picha!
 
sasa ulitaka waje kwa miguu!! CCM ni chama kina jali wapiga kura wake!! watu wanakusanyika katika matawai na kuchukuliwa na malori kwenda eneo la tukio!
sasa kama kinajali na kuwabeba kwenye malori na kuwalundika sehemu moja kwahutubia wawape kura wakati wanajua hizo kura wanazo, kuna mantiki ya kampeni kweli??

naona dhana ya kampeni tanzania ina walakini
 
Kweli atachelewa na kwa sasa nimepata taarifa anamalizia hotuba ikungu jimbo la singida magharibi kwa tundu lisu ndio aje hapa,hakuna watu hapa bado na msisimko ni mdogo sana,huko kwa lisu kuna upinzani mkubwa sana

Urasa,
Hapo ni Ikungi kaka. Kwa mbunge mtarajiwa ndugu Antipas Tundu Lissu, mtoto wa kijiji cha Mahambe. Praying for Lissu......
 
naskia kuna mtu anaitwa khambaku (najua ni member wa JF) amesimulia jinsi alivyoijua chadema na wasivyo na sera baada ya kukaa siku 29!!!! hivi kweli kuna uwezekano wa kujua chama na fitna zote za ndani in just 29 days??

Na kabla ya hapo alikua wapi?? hii si ndiyo politcal prostitutuion tunayosema??
 
Huyo jamaa alikuwa CCM akakosa kura za maoni akaja CHADEMA na baada ya siku hizo 29 akarudi CCM. All I can say, he's just a loon!
 
Huyo jamaa alikuwa CCM akakosa kura za maoni akaja CHADEMA na baada ya siku hizo 29 akarudi CCM. All I can say, he's just a loon!
ni malaya wa siasa... thats it!!!! ccm kakosa, akaishia, chadema akakosa akaishia... hana pa kula karudi kwa bwana wa kwanza.... kweli muuza ni muuza tu
 
ni malaya wa siasa... thats it!!!! ccm kakosa, akaishia, chadema akakosa akaishia... hana pa kula karudi kwa bwana wa kwanza.... kweli muuza ni muuza tu

Hana tofauti na Marando, wote malaya wa siasa.
 
naskia kuna mtu anaitwa khambaku (najua ni member wa JF) amesimulia jinsi alivyoijua chadema na wasivyo na sera baada ya kukaa siku 29!!!! hivi kweli kuna uwezekano wa kujua chama na fitna zote za ndani in just 29 days??

Na kabla ya hapo alikua wapi?? hii si ndiyo politcal prostitutuion tunayosema??

He's just a slut
 
Back
Top Bottom