Kampeni za CHADEMA Arumeru - Updates

yegella

JF-Expert Member
Nov 18, 2010
3,113
1,102
mkutano wa mwisho leo uko hapa akeli karibu kabisa na nyumbani kwa sumari, watu ni wengi sana huwezi kuamini kama ni nyumbani kwa sumari..)yuko dr slaa nasari, lema, na madiwani

Picture 044.jpg Picture 055.jpg Picture 062.jpg Picture 063.jpg Picture 020.jpg
 
lema anasema, vijana wa meru mkiwaona ccm wanagawa pesa wawanani..
 
Ebu tujikumbushe kidogo katika haya ili kuondoa ama kupunguza pressure huko Arumeru hapo 1st April 2012 (Foolish Day)

quote_icon.png
By Dr.W.Slaa (Katibu Mkuu Chadema)

WanaJF,
Niko uzini leo siku ya Tatu. Naomba niwahakikishie wanachadema na wapenzi wenu kuwa tutafanya mpaka kieleweke. Uzini wananchi ni waelewa sana. Wanapenda hoja na si porojo. Wanaopiga porojo kwenye jamvi hili au hawajui kinachoendelea on the ground au wanasukumwa na ushabiki tu kama walivyozoea. Uzini na Zanzibar iko tayari kwa mabadiliko makubwa. Uzini tofauti na watu wanavyofikiri Chadema ina matawi sasa kila Shehia katika Shehia (sawa na vijiji au mitaa bara). Jana nimezindua ofisi, matawi,maskani 7 katika majimbo mbalimbali nje ya Uzini mathalan Mfenesini,Magogoni, Bububu na kadhalika. Kwa hakika moto utakaowaka kutokea Bambi(Uzini) tunakozindulia Kampeni yetu kwa hakika utaunguza Zanzibar yote. Kwa bahati mbaya ndani ya Uzini hakuna network isipokuwa Zantel na hata hivyo hakuna mtandao (internet hadi uende mjinZanzibar. Ndio maana hakuna taarifa. Tunaomba radhi. Lakini kuanzia leo waandishi wa habari watakuwepo ambapo jioni wanaweza kuleta habari wakirejea mjini.
Narudia tena wananchi ni wakarimu sana. Kwa kuwa hakuna guesti kabisa wananchi wamewapokea timu yetu ya Kampein kwenye nyumba zao. Hii ni dalili njema. Tunawashukuru sana.


quote_icon.png
By Ng'wana Sweke (Kamanda)

Habari ndiyo hiyo,CHADEMA inaongoza shehia kibao.Stay tuned nitawamwagia full data muda si mrefu.


quote_icon.png
By Tumaini Makene (Afisa Habari Chadema)
Updates;

Ngoma sasa iko kwa Msimamizi wa Uchaguzi Jimbo la Uzini. Matokeo yanaendelea kukusanywa na kufanyiwa majumuisho kwenye kompyuta. Mechanism yetu pia inaendelea kukusanya matokeo yote ya kura zote na taarifa za mchakato mzima wa leo. Uchaguzi umetawaliwa na vitisho na ubabe mwingi. Mpaka sasa zipo taarifa juu ya CCM kuweka ofisi ndogo katika kila kituo cha kupigia kura. Wakiwakamata wapiga kura na kuwashikisha vitambulisho vya kupigia kura. Wakitoka kupiga kura anakuwepo mtu maalum anawapatia pesa.


quote_icon.png
By Tumaini Makene (Afisa Habari Chadema)
Msimamizi kamtangaza Mohamedraza Hassanal Mohamedali wa CCM kuwa mshindi kwa kura 5,377 (91.1%) akifuatiwa na Maalim Ali Mbarouk Mshimba wa CHADEMA, kwa kura 281 (4.8 %), wa CUF anafuatia akiwa na kura 223 (3.8), kisha TADEA kwa kura 14 (0.2%)na AFP kura 8. Jumla ya kura halali zilizopigwa ni 5,903 na zilizoharibika ni 28.
 
dr anawaambia wana arumeru kuwa wakati wa uhuru walimchangia urio ili wapate aridhi lkn tangu hapo hawajapata mtetezi sasa anawaomba wampe nafsi akawatete
 
hii kali, yaani wanapiga ndani ya ngome ya gamba. Nawaaminia hao makamanda. Peoplez . . . . . . !
 
Makamanda tupo pamoja ktk mapambano haya,wapo wachache wanaotukatisha tamaa kwa sababu wao wananufaika na wizi wa CCM,ila vita lazima tutashinda.
 
nasari anasema ni miaka 50 hakuna barabara, wamama wanajifungulia chini, hakuna maji..anasema arumeru kila mwezi inapata mil 40 kwenye mfuko wa jimbo lkn miladi haionekani....anatoa takwimu za mfumuko wa bei
 
6 Reactions
Reply
Back
Top Bottom