Kampeni za CCM Arumeru east updates....!

L.a Makisi

Member
Mar 29, 2011
44
4
CCM wamefunika mbaya katika kijiji cha patandi/tengeru.....habari ndio hiyo!

DSCN2477.JPG

DSCN2474.JPG
 
Attachments

  • DSCN2470.JPG
    DSCN2470.JPG
    523.2 KB · Views: 82
  • DSCN2473.JPG
    DSCN2473.JPG
    580.7 KB · Views: 86
  • DSCN2476.JPG
    DSCN2476.JPG
    507.9 KB · Views: 329
Wanasubiri wanaume wameenda kuchangisha fedha ya ukombozi ndio wanajifanya kufunika?? Au ndio ule usemi wa paka akiondoka panya hutawala.
 
Si tufanye mikutano ya kampeni kama tunavyoshindanisha ngoma za Kisukuma? Yaani mikutano yote ifanyikie hapo Patandi tuone nani zaidi! Nani atamfunika mwenzake?
 
CCM wana ma strategist wa nguvu sana, wao wanashambulia ardhini ambapo ndipo watu huishi, sasa cdm mnaenda angani mnafuata ndege (wanyama) au nini?
 
Miaka 50 sera ni zilezile watu wamechoka wanahitaji fikra mpya kwa sasa amani amani amani kwani ndo wenye amani mkasirishen mungu muone asipoiondoa hakuna wakujisifu kwa hili la amani mungu peke yake asifiwe asante mungu kwa hii amani yetu tanzania glory to gooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooood
 
CCM wana ma strategist wa nguvu sana, wao wanashambulia ardhini ambapo ndipo watu huishi, sasa cdm mnaenda angani mnafuata ndege (wanyama) au nini?

GeniusBrain with no brain? Akili zako sawa sawa na Kibajaji
 
CCM wana ma strategist wa nguvu sana, wao wanashambulia ardhini ambapo ndipo watu huishi, sasa cdm mnaenda angani mnafuata ndege (wanyama) au nini?

yaani wewe una akili .... huna tofauti na wakuu wako kufikiri kimagamba yaani hio helkopta uliambiwa haitui ardhini?
 
Si tufanye mikutano ya kampeni kama tunavyoshindanisha ngoma za Kisukuma? Yaani mikutano yote ifanyikie hapo Patandi tuone nani zaidi! Nani atamfunika mwenzake?

CCM wamekataa hata Mdhahalo, sasa hiyo ya kampeni ndani ya uwanja moja wataikubalije.
CCM wanataka wahubiri umbea weeeee, hawataki waulizwe maswali na wananchi
 
CCM wana ma strategist wa nguvu sana, wao wanashambulia ardhini ambapo ndipo watu huishi, sasa cdm mnaenda angani mnafuata ndege (wanyama) au nini?
D

CDM wanatumia 2,500 USD for fuel ya chopper per day, hizo pesa c watumia kwa maendeleo ya wananchi kwenye jimbo la Arumeru au majimbo mengine.
 
Back
Top Bottom