Kampeni ya uzinduzi wa zoezi la SENSA live Mnazi Mmoja, DSM.

thatha

JF-Expert Member
Apr 29, 2011
15,340
1,566
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda anategemea kuzindua zoezi la sensa katika viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es salaam. Sherehe za uzinduzi huu zinaendelea na zinaoneshwa moja kwa moja kupitia TBC1
 
ni jambo jema sana kwani ni muhimu kujua tupo wangapi hapa tanzania
 
mh mizengo pinda atumie fursa hiyo kuwaomba waislam wakubali kuhesabiwa
 
Tayari mkuu wa mkoa ameshatuasa waislamu tushiriki kikamilifu ktk sensa na tuwapuuze wale masheikh wachache wanaotaka zoezi lisifanikiwe.. Nawa
my take:
waislamu wenzangu tujitokeze, tuachane na uhuni wa ponda
mh mizengo pinda atumie fursa hiyo kuwaomba waislam wakubali kuhesabiwa
 
Sasa anaezungumza ni makamu wa pili wa rais zanzibar nae amewaasa watanzania kuwapuuza kina sheikh ponda
 
Hii thread itakosa mvuto kutokana na mambo 2:
I. Mleta mada
2. Maudhui.
3. Waongeaji wakuu wa jumuiko hilo, akiwemo MKPP!
 
Aiseee baba yangu nimepita mnazi mmoja nimesikia sauti ya liwalo liwe akiongea huku bendera za c c m zikipepea hakuna watu kabisa watoto ndio wengi ngoja nitwange picha

ngoja nipite nisije nikakamatawa bure nikabambiziwa kesi
 
Back
Top Bottom