Kampeni ya Ubunge Arusha Mjini - Batilda Burian Vs Lema

KATI YA BATILDA NA LEMA YUPI ATIBUKA KIDEDEA?


  • Total voters
    52
Mkutano wa Dada yetu ulianza saa kumi na moja kasorobo na hivi sasa unaendelea na hotuba za ufunguzi.

tatizo lake ni kuwa hatujui atamaliza saa ngapi maana sasa hivi amebakiza muda mfupi sana. Yaani dakika 42.

Kamera ninayo lakini hawa mjema nisngependa kuwakasilisha zaidiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
 
Mkuu usisahau picha, maana sisi wafurukutwa wa huku mbali tutapata picha halisi. big up mkuu, tunakusubiri!!!

Angalia sana mkuu maana Dr. Slaa insemekana wamemwaga jamaa wa UwT nchi nziwa kudhibiti harakati!!! Hao watafanya kazi kwa sifa mkuu, tunakuhitaji jamvini pia mkuu.
 
Mkutano wa Dr. batilda umo kwenye hatua za mwishomwisho miziki ya hapa na palepale yaingizwa katikati. Kwa kukadiria wapo watu arobaini hivi na ushee kidogo. Yaelekea hata muziki na hiyo burudani watu hawakuvutwa nayo sijui ni kwanini. Hali ni mbaya mno hata wapambe wanaosema CCM hoyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee hawana mori hata kidogo na majibu ya watu kiduchu ni ushahidi tosha sijui watafanyaje labda huo mkakati wa NEC wa kufukuza wapigakura wasibaki vituoni ndiyo utamwokoa lakini hali hii haitii matumaini hata kidogo. Yaani angelijua angelimwachia Felix Mrema alipe wizi wakura wa 2005. Sasa mama wa watu amebebeshwa zigo la watu wengine....................Mpeni poleeeeeeeeeeee.

Zimebakia dakika mbili lakini mkutano bado unaendelea. Kwa kasi hii sheria ya uchaguzi mama huyu ataivunjaaaaaaaaaaa na hakuna wakumthibiti.

NEC wapo wapiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
 
Mkutano w daktari huyu bado unaendelea na baadhi ya watu wameanza kuondoka na giza limekwisha kuingiaaaaaaaaaaa

Naona watu labda thelethini wamebaki na wengi wao siyo wa kata hii ya Elerai

Hivi sasa ni saa moja kasoro dakika 33. Sheria ya uchaguzi imevunjwa kabisaaaaaaaaaa si polisi wala NEC ambao wanamdhibiti Mheshimiwa huyu lakini sioni tija yoyote ile hapa. Kama watu hawapo ni vyema angeliishia zake nyumbaniiiiiiiiiiiiii

Hii jamani ni aibu nitawajulisha ni saa ngapi amebanduka hapa na ninaanza kusikia baridi sijui kwanini hamalizi ili nami niishieeeee
 
Mkutano bado unaendelea kwa maoni yangu huu sasa ni ujuhaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa.

Sasa hivi ni moja kasoro dakika 17

Hivi hao NEC na polisi wako wapi mbona mikutano ya upinzani huwa waidhibiti lakini hii ya CCM wanaufyataaaaaaaaaaaaaa
 
Jamani amini usiamini mkutano bado unaendelea ninawapa dakika kumi kama hawajamaliza mimi ninaishiaaaaaaaaa. Hii baridi ni kiboko na wala sina hata swetaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa

Sikujua kama kuna upuuziiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii wa namna hii wa kubeza sheria za nchi hiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
 
Mkutano sasa waelekea ukingoni na mheshimiwa huyu kweli atafanya lolote liwezekanavyo kuibuka kidedea naona kuna giza tupu kila mahali hata hii laptop yangu sasa sioni vizuri. Hii ni saa moja usiku kasoro dakika mbili hivi. Sioni vizuri hakuna mwangaaaaaaaaaaaaaaaa

Ninaishiaaaaaaaaaaaa ila sheria ya uchaguzi imevunjwaaaaaaaaaaa kwa silimia mia moja

Hii ni dalili tosha ya kuwa NEC na polisi wako wapiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii Na hakuna wakuwajibikaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
 
JOHO LA WANAMTANDAO NI SHUBIRI KWA DR. BATILDA

Sifa ya wanamtandao ziliwapa baadhi ya wanasiasa kwenye kambi ya JK ulaji serikalini mwaka 2005 lakini sasa sifa hizo ni mzigo wa kisiasa.

Dr. Batilda naye ahusishwa na mtandao huo ndani ya CCM ambao wananchi wengi wanakiona ni KIJIKUNDI cha mafisadi. Vinara wa wanamtandao wengi wao walikuja kutajwa kwenye kashfa nzitonzito kama Richmond, Dowans na nyinginezo na hivyo kukiweka chama tawala njia panda KWENYE CHAGUZI HII PIA KUTOKANA NA UDHAIFU WA KIUTAWALA AMBAO JK AMEUONYESHA.

Moja ya sababu kubwa ambazo ndizo zinawafanya wapigakura wengi wa Arusha kumpigia kura nyingi za ndiyo mgombea wa Chadema Bw. Godbless Lema ni kupunguza makali ya wanamtandao ambao yasemekana wapo njiani kuandaa mgombea wao wa uraisi mwaka 2015 ili wakamate utamu tena.

Dr. Batilda endapo ataanguka hapa Arusha basi litakuwa ni pigo jingine zito kwa wanamtandao na azma yao ya kuikamata Ikulu.

Lakini siyo hayo tu. Dr. Batilda amekuwepo Bungeni kwa miaka 10 sasa pamoja na yeye kudai kwenye mikutano yake ya kampeni kuwa ule ulikuwa ni uwakilishi maalumu lakini wapigakura wanasema yeye ni sehemu ya tatizo la ufisadi hapa Nchini kwani hata siku moja hajawahi Bungeni kuonyesha anakerwa zaidi ya kuombeleza na watuhumiwa wakubwa wa dhambi hizo.

Jingine yapo masuala ya utata wa yeye ni mkazi wa Arusha au visiwani huko alikoolewa. Lipo suala la kuhamisha mapato kutoka Arusha na kuyapeleka Unguja isivyo halali na kinyume cha sheria. Wasiomtakia mema wadai akipata hiki kiti basi ataachia ngazi ya huko Zanzibar hususani mwenziwe yasemekana amechukua jiko dogodogo. Hayo ni ya mitaani….

Uchumi wa Arusha upo bin taabani kutokana na kuanguka kwa soko la utalii, madini, kilimo na kushamiri kwa maradhi ya ukimwi. Kama uchumi ungelikuwa unaenda vizuri pengine angelikuwa na nafasi lakini vijana wenye kati ya miaka 18 hadi 40 ambao wengi wao hawana ajira na ni asilimia sitini hivi ya wapiga kura hao ndiyo watamsambaratisha bila huruma hata kidogo.

Ameingia gharama nyingi za kusambaza picha. Mabango n.k lakini wapiga kura wa safari hawaoni uhusiano wa kero walizonazo na matumizi hayo sanasana yanawakefua kwa kuwakumbusha ya kuwa kumbe mwenzetu anacho na anataka aongezewe na sisi tupo mikono mitupu.

Labda huu mkakakati wa kuchakachua kura umwokoe kama alivyookolewa Bw, Felix Mrema vinginevyo baada ya kujulishwa jinsi alivyogaragazwa itamchukua miezi takribani miwili hivi kutoka ndani kwa aibu atakayo kuwa nayo maana kila atakapopita hapa Arusha atakuta picha zake zilizozagaa mitaani zikimkumbusha shubiri ya kuwa mwanamtandao ambao wahusishwa na dhuluma nyingi kwa taifa hili.

Villevile, atajilaumu hiyo miaka kumi ya ubunge wa viti maalumu kwa kukamilisha namba Bungeni tu bila ya kuwa na michango yoyote ile ya maana katika tija ya taifa hili masikini kwelikweli.

Kuwa waziri wakati serikali iliyopo madarakani ndiyo inalaumiwa kwa shida zote tulizonazo basi ni shubiri nyingine kwa vile wapiga kura wanamwona ni sehemu ya tatizo na wala siyo jibu la tatizo na haswa ukizingatia wapiga kura safari hii wamekamia kuchagua “CHANGE THEY CAN BELIEVE IN……….AND THIS CHANGE IS OUTSIDE CCM”

 
joho la wanamtandao ni shubiri kwa dr. batilda

sifa ya wanamtandao ziliwapa baadhi ya wanasiasa kwenye kambi ya jk ulaji serikalini mwaka 2005 lakini sasa sifa hizo ni mzigo wa kisiasa.

dr. Batilda naye ahusishwa na mtandao huo ndani ya ccm ambao wananchi wengi wanakiona ni kijikundi cha mafisadi. Vinara wa wanamtandao wengi wao walikuja kutajwa kwenye kashfa nzitonzito kama richmond, dowans na nyinginezo na hivyo kukiweka chama tawala njia panda kwenye chaguzi hii pia kutokana na udhaifu wa kiutawala ambao jk ameuonyesha.

moja ya sababu kubwa ambazo ndizo zinawafanya wapigakura wengi wa arusha kumpigia kura nyingi za ndiyo mgombea wa chadema bw. Godbless lema ni kupunguza makali ya wanamtandao ambao yasemekana wapo njiani kuandaa mgombea wao wa uraisi mwaka 2015 ili wakamate utamu tena.

dr. Batilda endapo ataanguka hapa arusha basi litakuwa ni pigo jingine zito kwa wanamtandao na azma yao ya kuikamata ikulu.

lakini siyo hayo tu. Dr. Batilda amekuwepo bungeni kwa miaka 10 sasa pamoja na yeye kudai kwenye mikutano yake ya kampeni kuwa ule ulikuwa ni uwakilishi maalumu lakini wapigakura wanasema yeye ni sehemu ya tatizo la ufisadi hapa nchini kwani hata siku moja hajawahi bungeni kuonyesha anakerwa zaidi ya kuombeleza na watuhumiwa wakubwa wa dhambi hizo.

jingine yapo masuala ya utata wa yeye ni mkazi wa arusha au visiwani huko alikoolewa. Lipo suala la kuhamisha mapato kutoka arusha na kuyapeleka unguja isivyo halali na kinyume cha sheria. Wasiomtakia mema wadai akipata hiki kiti basi ataachia ngazi ya huko zanzibar hususani mwenziwe yasemekana amechukua jiko dogodogo. Hayo ni ya mitaani….

uchumi wa arusha upo bin taabani kutokana na kuanguka kwa soko la utalii, madini, kilimo na kushamiri kwa maradhi ya ukimwi. Kama uchumi ungelikuwa unaenda vizuri pengine angelikuwa na nafasi lakini vijana wenye kati ya miaka 18 hadi 40 ambao wengi wao hawana ajira na ni asilimia sitini hivi ya wapiga kura hao ndiyo watamsambaratisha bila huruma hata kidogo.

ameingia gharama nyingi za kusambaza picha. Mabango n.k lakini wapiga kura wa safari hawaoni uhusiano wa kero walizonazo na matumizi hayo sanasana yanawakefua kwa kuwakumbusha ya kuwa kumbe mwenzetu anacho na anataka aongezewe na sisi tupo mikono mitupu.

labda huu mkakakati wa kuchakachua kura umwokoe kama alivyookolewa bw, felix mrema vinginevyo baada ya kujulishwa jinsi alivyogaragazwa itamchukua miezi takribani miwili hivi kutoka ndani kwa aibu atakayo kuwa nayo maana kila atakapopita hapa arusha atakuta picha zake zilizozagaa mitaani zikimkumbusha shubiri ya kuwa mwanamtandao ambao wahusishwa na dhuluma nyingi kwa taifa hili.

villevile, atajilaumu hiyo miaka kumi ya ubunge wa viti maalumu kwa kukamilisha namba bungeni tu bila ya kuwa na michango yoyote ile ya maana katika tija ya taifa hili masikini kwelikweli.

kuwa waziri wakati serikali iliyopo madarakani ndiyo inalaumiwa kwa shida zote tulizonazo basi ni shubiri nyingine kwa vile wapiga kura wanamwona ni sehemu ya tatizo na wala siyo jibu la tatizo na haswa ukizingatia wapiga kura safari hii wamekamia kuchagua "change they can believe in……….and this change is outside ccm"


lazima mhakikishe dr buriana anaanguka kwa kuwa ndiye alihusika kwa kiwango kikubwa kufungiwa kwa mhe zitto kabwe kwa miezi minne kutokana na kuibua kashafa ya mgodi wa buzwagi.
 
Kama tume ya uchaguzi watakuwa fair na CCM kutofanya umafia, mwaka huu ni mwaka wao wa kujua kuwa watanzania sasa wameamka kutoka usingizini. Ni mwaka wa CCM kuwa chama cha upinzani. Wabunge wao wengi pamoja na JK wanaanguka vibaya.
 
lazima mhakikishe dr buriana anaanguka kwa kuwa ndiye alihusika kwa kiwango kikubwa kufungiwa kwa mhe zitto kabwe kwa miezi minne kutokana na kuibua kashafa ya mgodi wa buzwagi.
siwezi kusahau jinsi nilivyoumia siku ile batilda, dada ambaye nilimpa heshima sana kikazi na kisiasa alivyosaliti vijana wapiganaji

Mtoto mtembezi, atakula miguu yake and batilda deserves kuchapa lapa
 
A question of a carpetbagger has almost wiped out Dr. Batilda’s chances of snapping the Arusha Municipal constituency. Eligible voters are questioning her residential status following being married to a Zanzibari DPP: Voters oppugn whether she is an Arusha or an Ungujan? Though she admits that she is married to a Zanzibari but she vows her Arusha roots remain irreproachable and she quips that since her husband has added a second wife, she will divorce him, if she sails through and bags this populous constituency. Whether it was a campaign ploy to garner votes, time will tell how successful she was in swaying public opinion with this banter.

To her detractors, they would have none of that as they circulate information belittling her: She is a cold calculating material girl who will do anything to secure her parochial delusions.

One woman, I accosted to, gloated that Dr. Batilda will lose this election big time because women of Arusha will not permit her to jettison her marriage for a political career. She pleaded that “Marriage is a lifetime commitment not to be taken lightly as Dr. Batilda was trying to do.” She also blurted that “political career is temporary venture which should not be parlayed to demean an institution of marriage.” Others feel that being in an Islamic marriage Dr. Batilda ought to have contemplated that a polygynous marriage and her concomitant cry for rescue were totally misplaced. Some of those who will not vote for her consider themselves doing her a huge favour of shielding her marriage from being irreparably broken by her insatiable political ambitions!

But those who support Dr. Batilda candidacy review the same election dilemmas and reach a conclusion that she loves her constituency so much that she is willing to abandon a blossoming marriage in order to re-dedicate herself to her people!

Another issue that has morphed to be a hot button campaign issue is her employment excursion with KKKT. After successfully completing her undergraduate studies at University of Dar-Es-Salaam in 1988, Dr. Batilda joined KKKT where after a short stint she was privileged to secure a missionary scholarship to pursue further studies leading to a doctorate. After obtaining her doctorate, she returned to KKKT but left in a huff for a greener pasture to an international NGO in Dar. Right there, her critics believe that her mien sums up a composure of someone who uses and dumps others to sate her myopic escapades! This damaging brickbat of a ruthless, calculating materialistic girl appears to have stubbornly stuck with her despite her former boss at KKKT Bishop Laizer stepping forward to her defense. According to Bishop Laizer, KKKT parted ways with Dr. Batilda on mutual consent following her new flamboyant qualifications jostling for a significant much higher pay than the Diocese could afford. But even there, a whiff of opportunism is conspicuously undisguised: Having been trained by KKKT, at least she could have worked for the Arusha Diocese for five years to repay their compassion rather than assailing corporate obligations in order to advance a burning personal ambition.

In one of her “meet the voters” familiarization tours, one male voter wanted to know whether Arusha men were not “man enough” for her foisting her to hurtle all the way to Unguja to pick someone who was materially well off, say to speak. Her riposte has left many unanswered questions, though. Dr. Batilda retorted that she had always fancied for an Arusha “hunk of a man” but after decades of patiently stalling for that ‘marital calling’ she came to a bitter realization no one here in Arusha seemed interested in her. Whether that is a campaign ploy or a true revelation of her predicament only voters can decide.

As days tick off to D-Day, time has been unkind to Dr. Batilda and if she loses this election it will be her first time to test political defeat. For someone who has been junketing in the House for a decade with nothing to show off it may be “poetic justice” to Arusha residents reminding all leaders that public service demands diligently serving the people but not succumbing to “wanamtandao” machinations who are positioning themselves to triumph CCM succession politics of 2015.

Many fancy an election loss to Dr. Batilda will be too devastating to her locking her permanently out of ministerial sinecures in the cabinet….Well, who said politics is not a dirt game?
 
Back
Top Bottom