Kampeni ya magazeti mapya ya Karamagi & Co. Dhidi ya JK

Wanaoleta Hoja za Sangoma wameishiwa na Hoja...na wanaharibu credibility yao ya mudamrefu hapa Jamvini...Kama Sangoma unawakubali na wewe kawatafute wako wamshinde wa Mpinzani wako...otherwise stop hoja MFU...
 
Duh yani zama hizi tunazoishi bado kuna watu wanaamini sangoma?Halafu wengine ni wasomi wazuri tu na walishakaa nje wana exposure nzuri lakini bado wanakwenda kuongopewa na waganga wa kienyeji.
Wakuu acheni fikra finyu wakuu.Hakuna mganga wa kienyeji atakayefanikisha mambo yako.
 
Jana kwenye ITV nimemsikia Mzee Mengi analaani kuibuka kwa vijigazeti peperushi mtaani ambavyo vinatumiwa na wanasiasa au mafisadi, je anamaanisha pamoja na CHECHE? Nijuavyo mie gazeti peperushi CHECHE mtaani kinapendwa sana hasa na vijana na wazee wakereketwa na nchi yao leo iweje Mengi akiponde kijarida mwanana? au kuna vijarida vingine mitaani ambavyo sie wengine hatuvijui? Nawasilisha nipate elimishwa!
 
Mkuu!
Ulimsikiliza vizuri kweli? Mbona mimi sikusikia neno Vijarida?

Au ndo kunogesha Gumzo la Mengi V/S Anything which goes?

Kazi kweli kweli!
 
Jana kwenye ITV nimemsikia Mzee Mengi analaani kuibuka kwa vijigazeti peperushi mtaani ambavyo vinatumiwa na wanasiasa au mafisadi, je anamaanisha pamoja na CHECHE? Nijuavyo mie gazeti peperushi CHECHE mtaani kinapendwa sana hasa na vijana na wazee wakereketwa na nchi yao leo iweje Mengi akiponde kijarida mwanana? au kuna vijarida vingine mitaani ambavyo sie wengine hatuvijui? Nawasilisha nipate elimishwa!

Bahati mbaya sana hukusikiliza kwa makini, lakini kwa kuwa nilikuwapo katika uzinduzi wa kijitabu cha "Uhuru Gerezani, Siku 90 za kufungiwa mwanahalisi", kwanza kabisa Mengi alinukuu Jamiiforums kwa kusema "katika mtandao wa jamiiforums kuna vijarida kama vipeperushi ambavyo ninatumiwa na mafisadi" naamini alinukuu hii hapa

https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...a-ya-karamagi-co-dhidi-ya-jakaya-kikwete.html

Kwa hiyo naona ume-miss point hapa kuhusisha Cheche kwani Cheche haijawahi kutuhumiwa na jamiiforums na halijawahi kuwatetea mafisadi na kuwashambuliwa wengine
 
jana kwenye itv nimemsikia mzee mengi analaani kuibuka kwa vijigazeti peperushi mtaani ambavyo vinatumiwa na wanasiasa au mafisadi, je anamaanisha pamoja na cheche? Nijuavyo mie gazeti peperushi cheche mtaani kinapendwa sana hasa na vijana na wazee wakereketwa na nchi yao leo iweje mengi akiponde kijarida mwanana? Au kuna vijarida vingine mitaani ambavyo sie wengine hatuvijui? Nawasilisha nipate elimishwa!

naogopa kucomment.
 
kampeni ya kummaliza kisiasa jk, spika na wabunge kadhaa "wakorofi", imeanzishwa rasmi na karamagi & co. (lowassa na rostam) kupitia magazeti yao maalum ya ahsubuhi njema, tazama, nyundo, taifa na umma. Nia ni kuhakikisha jk anakuwa rais kwa muhula moja tu na spika samuel sitta na wabunge "wakorofi" hawarudi bungeni mwaka 2010.

spika sitta, naibu spika anne makinda na wabunge "wakorofi" wa ccm akina anne kilango, mwakyembe, selelii, manyanya, ole sendeka, kimaro, zambi, nkumba, mpendazoe, shellukindo (bw. & bi.), mpesya, ruth msafiri na nyalandu, ni wapinzani wa serikali ya awamu ya nne.
magazeti haya yanahaririwa na waandishi walewale mamluki: Deodatus balile, manyerere jackton, charles charles, muhingo rweyemamu, prince bagenda na gama wa gazeti la hoja. Baadhi ya makala huchangiwa na salva rweyemamu na premy kibanga wa ikulu na mbunge wa kigoma peter serukamba ambaye alibubujikwa machozi na kuugua baada ya lowassa kujiuzulu. Yalianzishwa kwa mtaji wa sh. Milioni 300 alizotoa karamagi kwa niaba ya lowassa na rostam, mara baada ya lowassa kujiuzulu.

taarifa ndani ya chama tawala zinasema magazeti haya yana baraka zote za makamba. Ndiyo maana baadhi yake yanahaririwa kwenye ofisi za uvccm na kwa kutumia kompyuta za jumuiya hiyo.
kwa mujibu wa kikao cha kalokiro kilichokaa morogoro hivi karibuni, magazeti hayo yatasaidiwa baadaye (karibu na uchaguzi mkuu) na magazeti ya rai, mtanzania na the african. Mwakani, mtandao huo wa mafisadi unaanzisha kituo cha redio na televisheni. lengo kuu ni kuwamaliza wote hao kisiasa na kumwinua lowassa agombee urais mwaka 2010.
. Ngoma imeanza, makubwa zaidi yaja!

beyond imagination.
 
Jana kwenye ITV nimemsikia Mzee Mengi analaani kuibuka kwa vijigazeti peperushi mtaani ambavyo vinatumiwa na wanasiasa au mafisadi, je anamaanisha pamoja na CHECHE? Nijuavyo mie gazeti peperushi CHECHE mtaani kinapendwa sana hasa na vijana na wazee wakereketwa na nchi yao leo iweje Mengi akiponde kijarida mwanana? au kuna vijarida vingine mitaani ambavyo sie wengine hatuvijui? Nawasilisha nipate elimishwa!

Hii nikweli hata mimi nilimsikia, nikahisi anazungumzia cheche
 
ubovu wa JK ni upeo, jaribu kuangalia kwa muda mfupi tu ameshapangua baraza zaidi ya mara moja, tatizo aliowachagua wote walikuwa si wake na yeye hakuwa na upeo wa kujua nani ni nani sasa atavuna alichopanda
 
Jana kwenye ITV nimemsikia Mzee Mengi analaani kuibuka kwa vijigazeti peperushi mtaani ambavyo vinatumiwa na wanasiasa au mafisadi, je anamaanisha pamoja na CHECHE? Nijuavyo mie gazeti peperushi CHECHE mtaani kinapendwa sana hasa na vijana na wazee wakereketwa na nchi yao leo iweje Mengi akiponde kijarida mwanana? au kuna vijarida vingine mitaani ambavyo sie wengine hatuvijui? Nawasilisha nipate elimishwa!

Siamini kama Mengi alikuwa na wazo au lengo la kukiponda kijarida chetu tukufu cha Cheche. Kama kweli Mengi ameshakisoma ataona kuwa kijarida cha CHECHE kiko mstari wa mbele kupinga ufisadi. Sijawahi kuona mahali popote issue ya kijarida cha Cheche tangu nikifahamu na kuanza kukisoma kuwa kinasifia au kubariki ufisadi. Kama kuna mtu anayo makala ya Cheche iliyosifia ufisadi anipatie ili nisije nikawa nje ya mstari.
 
ubovu wa JK ni upeo, jaribu kuangalia kwa muda mfupi tu ameshapangua baraza zaidi ya mara moja, tatizo aliowachagua wote walikuwa si wake na yeye hakuwa na upeo wa kujua nani ni nani sasa atavuna alichopanda
Bado anadunda
 
Kama ni kweli. Politics is really a dirty game.
Pia nakiri kuelekea uchaguzi ndio kipindi cha kuvuna kwa waandishi wa habari sio siri waandishi wanateseka sana kwa kusota juani kwa malipo duni huku wanataaluma wengine kama wanasheria wanapeta sana kwa malipo manono tena kivulini.
2010 ni mwaka wa neema kwa wana habari.
Vipi ulineemeka
 
Kampeni ya kummaliza kisiasa JK, Spika na wabunge kadhaa "wakorofi", imeanzishwa rasmi na Karamagi & Co. (Lowassa na Rostam) kupitia magazeti yao maalum ya AHSUBUHI NJEMA, TAZAMA, NYUNDO, TAIFA NA UMMA. Nia ni kuhakikisha JK anakuwa Rais kwa muhula moja tu na Spika Samuel Sitta na wabunge "wakorofi" hawarudi Bungeni mwaka 2010.

Magazeti hayo ambayo huchapishwa kila siku ya kazi kwa mpangilio, toka Jumatatu hadi Ijumaa, yanabeba ujumbe mahsusi wa ushawishi kwa umma kwamba: JK hana shukrani, kawatosa rafiki zake na kuwakumbatia "maadui"; Membe ni msaliti na anampotosha JK; Lowassa ni kiongozi safi na bora ambaye alionewa tu na Kamati ya Dk. Mwakyembe; bila Lowassa, Rostam, Karamagi, Makamba, Kingunge na wanamtandao wengine, JK hashindi uchaguzi wa 2010; Spika Sitta, Naibu Spika Anne Makinda na wabunge "wakorofi" wa CCM akina Anne Kilango, Mwakyembe, Selelii, Manyanya, Ole Sendeka, Kimaro, Zambi, Nkumba, Mpendazoe, Shellukindo (Bw. & Bi.), Mpesya, Ruth Msafiri na Nyalandu, ni wapinzani wa Serikali ya Awamu ya Nne.

Magazeti haya yanahaririwa na waandishi walewale mamluki: Deodatus Balile, Manyerere Jackton, Charles Charles, Muhingo Rweyemamu, Prince Bagenda na Gama wa gazeti la HOJA. Baadhi ya makala huchangiwa na Salva Rweyemamu na Premy Kibanga wa Ikulu na Mbunge wa Kigoma Peter Serukamba ambaye alibubujikwa machozi na kuugua baada ya Lowassa kujiuzulu. Yalianzishwa kwa mtaji wa sh. milioni 300 alizotoa Karamagi kwa niaba ya Lowassa na Rostam, mara baada ya Lowassa kujiuzulu.

Taarifa ndani ya Chama Tawala zinasema magazeti haya yana baraka zote za Makamba. Ndiyo maana baadhi yake yanahaririwa kwenye ofisi za UVCCM na kwa kutumia kompyuta za jumuiya hiyo.

Kwa mujibu wa kikao cha KALOKIRO kilichokaa Morogoro hivi karibuni, magazeti hayo yatasaidiwa baadaye (karibu na uchaguzi mkuu) na magazeti ya RAI, MTANZANIA na THE AFRICAN. Mwakani, mtandao huo wa mafisadi unaanzisha kituo cha redio na televisheni. Lengo kuu ni kuwamaliza wote hao kisiasa na kumwinua Lowassa agombee Urais mwaka 2010.

Matoleo ya wiki mbili zilizopita za magazeti hayo yote yalikuwa na makala za kumsafisha Lowassa na kudai kuwa Sitta anamhujumu JK, Sitta ana lengo la kuhamia CHADEMA, Kimaro kapora shamba la chuo, Mwakyembe ni mkabila, Membe ni mfuasi wa Malecela, JK hana fadhila mfano wa dereva aliyesaidiwa kwa kusukumwa kutoka kwenye matope lakini akakataa kuwabeba waliomsaidia ili wasichafue gari lake n.k. NGOMA IMEANZA, MAKUBWA ZAIDI YAJA!
Magazeti hayo ambayo huchapishwa kila siku ya kazi kwa mpangilio, toka Jumatatu hadi Ijumaa, yanabeba ujumbe mahsusi wa ushawishi kwa umma kwamba: JK hana shukrani, kawatosa rafiki zake na kuwakumbatia "maadui"; Membe ni msaliti na anampotosha JK; Lowassa ni kiongozi safi na bora ambaye alionewa tu na Kamati ya Dk. Mwakyembe; bila Lowassa, Rostam, Karamagi, Makamba, Kingunge na wanamtandao wengine, JK hashindi uchaguzi wa 2010; Spika Sitta, Naibu Spika Anne Makinda na wabunge "wakorofi" wa CCM akina Anne Kilango, Mwakyembe, Selelii, Manyanya, Ole Sendeka, Kimaro, Zambi, Nkumba, Mpendazoe, Shellukindo (Bw. & Bi.), Mpesya, Ruth Msafiri na Nyalandu, ni wapinzani wa Serikali ya Awamu ya Nne.
 
Taarifa ndani ya Chama Tawala zinasema magazeti haya yana baraka zote za Makamba. Ndiyo maana baadhi yake yanahaririwa kwenye ofisi za UVCCM na kwa kutumia kompyuta za jumuiya hiyo.
 
Kwa mujibu wa kikao cha KALOKIRO kilichokaa Morogoro hivi karibuni, magazeti hayo yatasaidiwa baadaye (karibu na uchaguzi mkuu) na magazeti ya RAI, MTANZANIA na THE AFRICAN. Mwakani, mtandao huo wa mafisadi unaanzisha kituo cha redio na televisheni. Lengo kuu ni kuwamaliza wote hao kisiasa na kumwinua Lowassa agombee Urais mwaka 2010.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom