Mzee Mwanakijiji
Platinum Member
- Mar 10, 2006
- 33,475
- 39,991
- Thread starter
- #21
Rafiki yangu mmoja kaandika hivi kuelezea hali ya usafiri wa umma huko Afrika ya Kusini:
Nimefurahikiwa na mada yako ulioianzasha juu ya kutaka watanzania tupigani ili UDA irudi mikononi mwa wananchi. Mimi Nipo South Africa na Safari zangu nyingi zinategemea Mabasi ya Jiji hebu pitia hapa uangalie kila Jiji hapa South Africa lina mradi wake wa mabasi Tunaanzia Johannesburg Rea Vaya Tunakuja Pretoria http://www.tshwane.gov.za/SERVICES/T...s/default.aspx
Cape Town: http://www.capetown.gov.za/en/MyCiti/Pages/default.aspx
Durban : eThekwini Online - Bus Timetables Home Page
Karibu kila Jimbo manispaa ina mabasi yake sasa tanzania tushindwe vipi? Hilo Ndio swali ninalojiuliza na hivi karibuni wamejenga Rali ya treni inayokwenda kwa spidi kama za huko Ulaya kwa muda mfupi wa na ukishuka kwenye kituo cha treni kuna mabasi yanayosubiria abiria na kuwapeleka mjini tena kwa bei ile ile uliyokatia tiketi ya treni hulipi pesa kwenye basi ukinunua tiketi ya treni na bus unapanda bure Gautrain - For People on the Move soma na project mwaka ulioanzia Gautrain - Wikipedia, the free encyclopedia sijui Tanzania tunashindw anini? Inatia uchungu