Elections 2010 Kampeni ya CUF live on TBC1 Taarab kwa sana

Huyu jamaa atakuwa ni mwana JF tu!... maana anazungumzia bei ya sukari na vituu vingine mkupanda kama iilivyo kwenye kwenye figure za post moja ya hapa JF
 
anzazungumzia ahadi za CCM na kuonyesha kitabu cha ahadi za CCM kama ilivyo kwenye kitabu cha ahadi kilivyoainishwa na ofisi ya waziri mkuu
baadi ya ahdi hewa:
Machimbo ya mawe mchuchuma,
barabara za kigoma
benki ya mikopo ya nyumba
kumaliza tatizo za umeme kigoma/kasulu

Du!! CCM weanakazi kubwa sana j'mosi ya kupangua hizi hoja
 
anamchana JK sasa na ahadi zake....Tabora kaoa hadi ya maji hajatekeleza na kaenda kaairudia tena!!
Du!!! Lipumba anashusha data za kutosha, anainisha matatizo ya CCM na ni kwanini wasichague CCM
 
anatangaza sera zaao sasa baada ya kueleza udhaifu wa CCM.
1. watakuza kilimo
 
CCm ni mabingwa wa kubadilisha misamiati ya kilimo
anafananisha sera za CCM na Gongo!!!
 
Lipumba anamwaga data, watu wanashangilia japo binafsi nasikitika kura yangu hataipata, maana nilishafanya maamuzi ya kumpa yule kiboko wa ufisadi
 
lipumba- CCm wametumia 7% kwenye kilimo badala ya 10% waliyokubaliana kwenye nchi za africa
 
ha!ha!ha1hja!ha!ha1ha!.........eti wazaramo wanakula ugali na pilipili........big joke!!
 
kwenye hoja za uchumi Lipumba is smart>> anaeleza jinsi tunavyoweza kutumia kilim,o na kuuza nafaka china sbb ni wahitaji wakubwa
 
watz hatufanikiwi kwenye michezo sbb ya lishe bora...
Anazungumzia viwanda sasa na ajira sasa........
 
Professa ndiyo amemnyima JK Ikulu na hakuna mtu mwingine kwa kumnyang'anya kura zile maalumu...............
 
watz tuna uranium zaidi ya US.. hili wanaojua watuhabarisha ukweli wake....matumizi ya Uranium ni umeme.. anawagusia Iran kutengeneza nuclea bombs!.... wakimsikia hawa jamaa!!!
 
Back
Top Bottom