Elections 2010 Kampeni ya CCM imebaki kuwa ya BMW

Mkaa Mweupe

JF-Expert Member
Jun 29, 2007
654
183
Jamani kwa hali ilipofikia sasa baada ya JK kukimbia mdahalo na kumwachia Kinana ambaye amezidi kukidhoofisha chama, mi naona ni heri Kinana na Makamba wakasepa na kumwacha JK akiendeleza kampeni ya Baba Mama na Watoto (BMW)
 
Back
Top Bottom