Azadirachta
Senior Member
- Oct 9, 2010
- 171
- 11
hapo inaonekana alimwambia baadae tuonane nna zawadi yako!!!!:tonguez:
haha mwafrika nimekushndwa.....:tonguez:
kweli ccm oyeeeeMkuu yaani Kikwete ana material kibao ambayo yanaweza kuvunja servers za JF kama yakiwekwa yote hapa. Kwa sasa furahia hii kwa hisani ya rafiki yetu Azadirachta:
chadema wamefanya na wanafanya haya kila siku mkuu guta
kweli wanaendelea kufanya na wake za watu! Hivi kashinda kesi au?
kweli wanaendelea kufanya na wake za watu! Hivi kashinda kesi au?