Eric Cartman
JF-Expert Member
- May 21, 2009
- 11,967
- 11,212
Wenzenu waingereza wapo kwenye mchakato wa kutunga new foreign policy ambapo kuanzia sasa misaada mingi ambayo ina aim for development policies hiwe inakuwa invested directly kwenye makampuni yao kwa madai ya kuwa at least wao wanauwezo wa kuweza ongoza, zalisha na kuongeza local economic benefit (true, what about Barrick?), hila faida ujue inarudi kwao tena kwa ndege. Hawa wazungu kweli wanatuona sisi bado na kuwa kunyonywa ni sawa tu kutokana na akili zetu (wakati sisi tuemshindwa kuzalisha umeme, sasa tumempa mzungu biashara yenye faida kesho tutaanza ohoo hawa wazungu mbona hawalipi hiki na kile wakati ni ujinga wetu wenyewe kwa kuanzia).
Ina maana badala ya kuuendeleza ule wimbo wa katiba hili kuweka mambo sawa tunataka msaada wa 'John Bull' (ama kweli wa afrika tuna priority issues and we are very impatient people) , mtu huyo huyo alietuingiza mkenge in the first place leo tena atusaidie; akili zetu saa zingine.
Kwa wale mliopata hii issue juu juu ni hivi, BAE na serikali yao ikiongozwa na 'tony blair' walisha babuliwa awali kuhusu hii issue ya rada kwenye bunge lao, na wakawatetea BAE, wakiongozwa na PM wa wakati huo walisema the sell was justifiable and there is nothing wrong, huyo ndio mzungu.
Unataka kusema hawa jamaa hawakujua hili rada ni bovu in the first place au kwao ilikuwa hili mradi litoke tu. Baada ya hapo ndio moto ukafuka, tena sio kwa sababu ya sisi kupewa rada bovu au huruma ya mzungu, hili lilishakuwa changa la macho tayari kwetu.
Tatizo lilianza baada ya wamerakani kukasirika BAE kuingilia kati deal yao na UAE worth '60 Billion pounds' on military fleets and weapons. Its alot of money for a single company. Ndipo wamarekani kuanza upelelezi kwa sababu walijua kuna foul play imetendeka kwenye ulaji wao iwaje hawa waarabu wabadilishe akili zao ghafla.
kwenye upelelezi wao ndio wakakuta shutuma za uongoji na foul play za hela uchwara (to their standards) kwenye deal la rada. kwenye kufungua mashtaka yao wamarekani ndipo walipo involve all the shoddy dealings za BAE na jinsi walivyo washenzi, leo tena tunawaomba wasilipe serikali (im not suprised they are picking up phone calls and comprising that evidence to give to their government not to pay directly something they would have loved to do in the first place).
Inabidi tujue kupambana wenyewe kwa wenyewe na kuziba mianya yetu mibovu lakini kamwe narudia tena kamwe uongozi wa juu nchi ya mzungu auwezi kuwa upande wa mwafrika at heart, ni wao waliokuwa na nia ya kutuibiaa hii hela leo tena tunaomba watusaidie kwani hawajui matatizo yetu.