Kampeni chafu zaanza UVCCM

Kwani Jeetu alichanga kiasi gani wakati wa kampeni za CCM/JK 2005? Sasa hivi yuko wapi? JK ni zaidi ya tunavyomfahamu!

Dont tell me you trust that crap ya kuwapeleka mahakamani?
Thats too naive and anything that comes out of it is pure gibberish!
 
This is an embarrasment kwa kweli.CCM inaongozwa na genge la wahuni maana huu ni uhuni wa kupindukia.Yaani mtu anachangia CCM 400M leo tukisikia kafanya ufisadi kweli atakamatwa huyu?

Thank you Kevo. Ni aibu tupu lakini wengine wanataka kuhalalisha matajiri kupitia ufisadi kutoa michango mikubwa namna hii kwa CCM. Halafu tukisema CCM ni chama cha mafisadi wanakuja juu. Huyo Somaiya alikuwa ni mmoja wa watu wa karibu katika mkataba wa kununua rada ambayo baadaye mkataba huo ulionekana umejaa rushwa tupu na uchunguzi wake bado unaendelea.
 
Tanzania hatuna sheria inayo-guide misaada ya wananchi kwa vyama vyetu vya siasa, sasa sina uhakika kama ni vyema kuanza kushambulia CCM au chama chochote cha siasa nchini kikipokea msaada, maana ninajua kuna wakati Mrema, alipokea msaada flani wa kusaidia umeme kutoka nje mpaka leo sielewi aliishia wapi, na vyama vyetu vingi vya siasa vimekua vikipata misaada toka nje na ndani, ingawa sio wakati wote hizo habari husemwa to the public kama CCM,

Sasa ninafahamu kuwa ni kawaida ya siasa kwamba the incumbent hupata misaada mingi zaidi kuliko the challenger, unless you are Obama, sasa in the absence of sheria ya kuzuia wananchi kusaidia vyama vyetu vya siasa, tunalaumu huu msaada kwa mantiki ipi hasa?

Wakati serikali na CCM vimegubikwa na habari za ufisadi wa hali ya juu kupitia EPA, Richmond, ununuzi wa Rada, ununuzi wa ndege ya Rais, magari ya jeshi na helicopters za jeshi na jengo la UVCCM itakuwa ni utaahira kulifumbia macho hili la tajiri anayehusika kwa karibu na tuhuma dhidi ya rushwa katika ununuzi wa rada kutoa pesa nyingi kiasi hicho kwa chama ambacho kuna ushahidi wa kutosha kwamba viongozi wake wa juu wanahusika na ufisadi.

Huu msaada umetolewa na mtuhumiwa katika ununuzi wa rada na kupewa CCM ambayo kuna ushahidi wa kutosha kwamba ilihusika na wizi wa mabilioni ya BOT kupitia Tangold, Meremeta, Deepgreen na ili kuficha ushahidi dhidi ya wizi huo wanathubutu kusema kwamba hilo linahusu usalama wa Taifa!!!! Hili la kupokea pesa hizo linathibitisha kwa mara nyingine tena kwamba CCM ni chama cha mafisadi.
 
Chama Cha Mafisadi kinatetewa na mafisadi wao hapa JF! Hata wengine sikutarajia!
 
[SIZE="4[B]"].......Sasa unasema kwamba biashara za Mwenyekiti wa sasa wa
Chadema zinanyooka wka sababu anawapigia magoti viongozi wa CCM, au? Mbunge wa Chadema Ndesamburo, naye anawapigia magoti CCM au?[/B]......[/SIZE]

Hawa mbona ni asilimia ndogo sana ya kundi kubwa la wafanyabiashara ambao wengi wao wana-support CCM si kwa kupenda bali inabidi. Kwenye kadamnasi ya watu watakuwepo wachache wanaothubutu ndio Mbowe na Ndesamburo wengi wao wanabaki kulia tu kimya kimya kama jadi ya watanzania wengi.
 
Inauma sana kuona fisadi anaenda mbele ya mkuu wa nchi na kutoa kinacho itwa mchango wake, naommba tujadili maswali haya kwa kina na kutoa hitimisho la hawa jamaa.
1.Je kuendelea kulalamika itaweza kutusaidia kuondokana na hii tabia iliyojiotea mizizi katika taifa letu?
2.Tunaweza kupata tiba sahihi na kutokomeza hii hali ya watu kujifanya miungu watu?
3. Je kinachotokea ni tatizo la watanzania wenyewe au ni viongozi wao ndio wanye matatizo?
4. Wajibu wa watanzania katika kuchanguwa viongozi bora wanaujuwa?
5. Nini kifanyike, lini na wapi?????
 
Huu mchango wa Tanil, nadhani unaweza kutufumbua macho kwa kuanza kutafakari michango ya nyuma ya Kina Jeetu Patel, Rajabu Maranda, Johnson Lukaza na wengineo ambao sasa tumeshuhudia wakipandishwa kizimbani.

Kabla sheria haijatungwa na kupitishwa na Bunge na hatimaye kusainiwa na Rais, michango kwa vyama vya siasa kwa saa inakwenda kiholela na hakuna mtu wa kubanwa. Na nimetaja majina ya watu hapo juu waliofikishwa mahakamani kwa kuhusishwa na wizi wa fedha za EPA kujenga hoja yangu ya mchango wa Tanil Somaiya kwani inawezakana kusiwe na ubaya kupokea michango. Nitaeleza.

Viongozi wetu wanapaswa kujifunza kwa hili kwani kuna watu hata humu JF ambao wamekula fedha chafu zikiwamo za EPA bila ya kuwa walijua kwamba zilikuwa ni fedha chafu kwa kuwa wahusika walikuwa ni watu wanaoheshimika na walionekana kufanya biashara halali.

Kwa msingi huo kuna mambo ya kuangalia hapa, na kujiuliza kama CCM kama taasisi ilihusika katika mchakato wa wizi? nani walihusika? Walipitia vikao halali ama ulikuwa uamuzi wa viongozi/watendaji wachache waliotaka kujinufaisha?

Nasema hivyo kwa sababu, taasisi, jumuiya, kikundi, familia na kadhalika zinakuwa na taratibu zake za kufanya maamuzi na kwa kuanzia na mfano wa suala la EPA na kuhitimisha na michango ya TANIL kwa UVCCM na hata kwa Jeshi la Polisi (aliwapa pikipiki) utaona polisi hawapaswi kuangalia misaada yake inapotokea kwamba mhusika anakuwa amevunja sheria na tumeona kwa kina Jeetu Patel, Maranda, Lukaza na wengine ambao walichangia kiasi kikubwa kampeni za CCM na Jeetu alichangia hata kabla ya 2005.

Tunachotaka kuona ni kwamba CCM kama chama chenye wafuasi wengi tu waadilifu lazima ijipembue kutoka katika fedha chafu kwa kuhakikisha inajijenge misingi imara ya kiuchumi, jambo ambalo ni gumu kwa kuwa matajiri fisadi wanaifisadi miradi mingi ya chama hicho ili kiendelee kuwa chama omba omba.

Tunakumbuka mradi wa Bahati Nasibu, ambao marehemu Salome Mbatia alikufa akiulilia kwa kuwa aliposhirikiana na wenzake kuuanzisha waliamini kwamba CCM ingejitegemea kwa asilimia 100 na ingepata ziada ya kuweza kutoa misaada (kama anayotoa Manji/Tanil/Rostam) ikiwa ni pamoja na mpango wa kujenga hospitali kubwa ya moyo nchini kwa fedha za chama.

Tunataka uongozi madhubuti utakaochukua hatua za makusudi kuhakikisha kwamba unafumba macho na kuwachukulia hatua wale wote wanaohusishwa na jinai bila kujali nyadhifa zao katika jamii ama michango yao.

MUNGU IBARIKI TANZANIA,
MUNGU WALAANI MAFIDADI,
MUNGU WAANGAMIZE MAFISADI,
KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZI,
MUNGU WAANGAMIZE VIONGOZI WALAFI,
MUNGU UWALINDE VIONGOZI WAADILIFU.

N.B. Inaruhusiwa kunukuliwa na yeyote popote pale, mradi tu aseme imetoka JF
 

Attachments

  • Political Parties Act_1992.pdf
    342.4 KB · Views: 63
Last edited:
Watanzania wenzangu mnataka Viongozi wetu waendeshe nchi kufuata utawaa wa Sheria; au wafuate tetesi za tuhuma? Hizi so zama zile za mtu kuwekwa ndani kwa sababu ametamka "kuiweka serikali mfukoni". Hizi ni zama za utawala wa sheria, maana yake ni kwamba hata kama umeiba au hata kuua Sheria isipokutia hatiani wewe ni mtu huru kama raia wengine.

Iwapo tunataka kujenga jamii ya watu wanaona aibu kutuhumiwa kwa wizi, rushwa au kukwepa kodi basi tuanzie "majumbani kwetu". Huko majumbani tuka kina kaka, baba, mjomba n.k tunaowajua wanajenga nyumba, kununua magari, kusomesha watoto n.k kwa hela na wizi/ rushwa na ujangili mwingine. Tukianzia majumbani kwetu, ustaarabu na uzalendo huo utaenea nchi nzima. Hapo ndipo viongozi wa kisiasa watakuwa wanawaogopa kama ukoma wakina Sumaiya na wenzake.
 
However, despite reportedly severing all his business ties with Vithlani, Somaiya was business a partner with the wanted fugitive at the time the radar deal was concluded. It remains uncertain whether or not authorities consider him a formal suspect in the ongoing radar investigation.

Alaa kwani wanavyosema ameshiriki kwenye suala la RADAR anasingiziwa ama?kwani wamemfanya nini so far?Si bado they are entertaining him coz anawapa fedha!

Nafikiri maneno ya quote ya gazeti hapo juu yanajibu hilo swali lako mkuu.
 
Thank you Kevo. Ni aibu tupu lakini wengine wanataka kuhalalisha matajiri kupitia ufisadi kutoa michango mikubwa namna hii kwa CCM. Halafu tukisema CCM ni chama cha mafisadi wanakuja juu. Huyo Somaiya alikuwa ni mmoja wa watu wa karibu katika mkataba wa kununua rada ambayo baadaye mkataba huo ulionekana umejaa rushwa tupu na uchunguzi wake bado unaendelea.


Mkuu Bubu nafikiri ni jana tu umepewa darasa zito sana na mkulu Zitto, kuhusu hizi satetment za generalization, ni kwamba kama CCM kama chama ni cha mafisadi, basi wananchi tunaowapa utawala for the last 45 years, ndio tumeoza kwa ufisadi.

Huyu Somaiya sio a suspect kwenye hilo deal la Radar na article yenye hiyo habari umeileta wewe mwenyewe, na kipande kipo hapo juu, hakuna anyejaribu kuhalialisha anyhting hapa lakini pia hatuko hapa kukurupuka bila ukweli wala hoja za msingi, sheria inayowabana wananchi kusaidia vyama vya siasa haipo sasa unajaribu kuwahumu wananchi kwa kuwa matajiri au kwa kuwa ni wahindi?

Una maana kuwa tajiri Mhindi ukachangia chama cha siasa basi ni kosa au the ishu ni nini hapa? Mapungufu ya CCM hayana anything to na mchango wa mwananchi kwa CCM, ni haki yangu kuuliza ukweli au hoja ya any ishu na ni haki yako kuleta hoja na ukweli, so far siuoni kwenye hii ishu.
 
Chama Cha Mafisadi kinatetewa na mafisadi wao hapa JF! Hata wengine sikutarajia!

Haya ni maneno ya kawaida sana hapa JF, tunapozidiwa na hoja na kwa kawaida huleta support kubwa sana hapa JF, lakini in the real life huwa hayawasaidii kabisa wanaoendesha vyama vya upinzani na wananchi.

UFisadi inaweza kuwa na kutojua unachokisema, maana chama cha mafisadi kinapopewa uongozi kwa miaka 45 ina maana moja tu na sisi wananchi ni mafisadi wa kutupwa kuliko CCM yenyewe, au?
 
BAE's secret $12m payout in African dealMiddleman reveals covert cash for 'unnecessary' Tanzanian radar sale

David Leigh in Dar es Salaam and Rob Evans
guardian.co.uk, Monday January 15 2007 19.49 GMT
The Guardian, Monday January 15 2007

BAE Systems HQ. Photograph: Guardian

The UK's biggest arms supplier secretly paid a $12m commission into a Swiss account in a deal which led to Tanzania, one of the world's poorest countries, buying a controversial military radar system.

A Tanzanian middleman, who has a long-standing relationship with military and government figures, has admitted that the sum was covertly moved to a Swiss account by BAE Systems, which is under investigation by the Serious Fraud Office.

The back-door payment represented 30% of the contract value. The east African state had to borrow to finance the deal, which critics said was unnecessary and overpriced.

Tony Blair supported the 2002 sale but former cabinet minister Clare Short says she and the chancellor, Gordon Brown, opposed it.

The SFO, which was recently forced to abandon its investigation into commissions paid on a massive arms contract with Saudi Arabia, is now focusing its attention on Tanzania.

Yesterday's admissions by the Tanzanian middleman, Sailesh Vithlani, led Ms Short to call for BAE's prosecution if the allegations were proved. She said the prime minister had been personally responsible for forcing the licence for the Tanzania deal through the cabinet.

"No 10 insisted on letting this go ahead, when it stank," she said. "It was always obvious that this useless project was corrupt."

In Dar es Salaam, Mr Vithlani's business partner, Tanil Somaiya, told the Guardian that British police had already flown out to trace and interview both men as potential witnesses.

He said BAE had made two parallel arrangements with the middlemen. In the first, a conventional agency agreement was signed. Under this, 1% commission was to be paid if the $40m radar deal went through, to a Tanzania-registered firm, Merlin International Ltd.

Mr Vithlani was the majority shareholder in Merlin, Mr Somaiya said, while he had a small token interest himself. BAE paid $400,000 down this route in stage payments, Mr Somaiya said, as the radar equipment was delivered.

But under a second, more unusual agreement, BAE's secretly owned offshore company Red Diamond deposited another $12m, representing 30% of the contract price, in Switzerland. That money was under the personal control of Mr Vithlani, Mr Somaiya said, and this had been admitted to UK police.

When asked about the BAE money, Mr Vithlani told the Guardian he had made no disbursements from the Swiss cash to public officials "in Tanzania". Asked if he had disbursed any of the $12m to third parties outside of Tanzania, he declined to comment. "When the UK police travelled to Tanzania, we met them at their request and answered all their questions," he said.

Mr Vithlani acted as agent not only on the radar deal but also in the 2002 purchase from the US of a top-of-the-range Gulfstream official jet for the then Tanzanian president, Benjamin Mkapa, at a cost of more than $40m.

When asked if he would allow British police to inspect all the transactions on his Swiss account, he declined to comment.

In the secretive world of international arms deals, a commission of 1% to local agents would generally be regarded as legitimate. The government's export credit agency, the Export Credits Guarantee Department, has guidelines under which a "commission" of more than 5-10% is automatically regarded as questionable.

BAE System's payment of as much as 30%, coupled with the use of a Swiss bank account and apparent double sets of agency agreements, would normally arouse suspicions of possible bribery, investigators say.

Police sources in Tanzania said the agreement to use Mr Vithlani as an agent had been signed off by the then chairman of BAE, Sir Dick Evans.

Sir Dick, who has been at the centre of many of the arms deals under investigation, has already been interviewed by the Serious Fraud Office during their two-year inquiry.

BAE Systems were yesterday asked why they had made a 30% payment to Mr Vithlani's Swiss account. The company refused to answer, saying: "We will not be commenting on any point of substance. This cannot of course be taken as any kind of admission."

The SFO also refused to discuss their investigation. The president of Tanzania, Jakaya Kikwete, is due in London today to speak at a meeting with Hilary Benn, the international development secretary, on efforts to overcome corruption in Tanzania.

Later this week, the UK is expected to have to defend its actions over BAE at a meeting of the anti-bribery group of the OECD in Paris.

Norman Lamb, a Liberal Democrat frontbencher and critic of the deal, said: "It was obvious at the time that this deal did not stack up, but Blair still forced it through, against the better judgment of his colleagues. It was not as if he was not warned at the time."
 
Quote: Bubu Ataka Kusema

Ex-partner of radar fugitive donates 400m/- to CCM

THIS DAY

TANIL Somaiya, a former business partner of radar fugitive Shailesh Vithlani, has donated more than 400m/- towards the upcoming national election of the Chama Cha Mapinduzi’s youth wing (CCM-VIJANA). Somaiya presented various election materials to be used in the VIJANA national leadership polls worth hundreds of millions of shillings.

The election materials, worth an estimated 400m/-, were handed over to CCM in Dodoma yesterday, where the ruling party held its national executive committee (NEC) meeting. According to reports from Dodoma, the businessman presented his donation at the CCM headquarters in the designated capital.

The Tanzania Revenue Authority (TRA) has been investigating a customs bonded warehouse owned by one of the companies under the Shivacom Group in Dar es Salaam on allegations of tax fraud. The company linked to Somaiya, Incar (Tanzania) Limited, was among a total of 22 bonded warehouses recently shut down indefinitely by TRA.

Incar (T) Ltd, the local agent of the Italian-made IVECO vehicles, had previously won a hugely controversial tender to supply hundreds of military trucks and buses to the Tanzania People’s Defence Forces (TPDF).
Somaiya and Vithlani have both been questioned under oath at the Kisutu Resident Magistrate’s Court in Dar es Salaam over their alleged connections with the radar corruption scandal.

Both businessmen admitted that they had power of attorney - a legal instrument used to delegate legal authority to them - to act on behalf of Envers Trading Corporation, a company alleged to have received illegal kickbacks for the radar transaction. According to investigators, Envers Trading Corp. was paid $12m (approx. 15bn/-) by Red Diamond Trading, another shadowy company set up in the British Virgin Islands in 1998 by a firm linked to Britain’s BAE Systems, manufacturers of the overpriced air traffic control system sold to former President Benjamin Mkapa’s government in 2002.

When subjected to questioning by British detectives, Somaiya admitted that he was given power of attorney over Envers Trading Corp. for a period of 11 months. But he insisted that he had no other involvement with the company, and was not even aware of the company’s official location.

Official documents from the Kisutu resident magistrate’s court in Dar es Salaam show that the courtroom grilling of both Vithlani and Somaiya was conducted in 2006 by assistant detective sergeant Steve Rosenthal of Britain’s Ministry of Defence Police and another investigator from the UK’s Serious Fraud Office (SFO), Carl Brown.

The two were interrogated under oath before Kisutu Resident Magistrate Katarina Revocati on two separate occasions - July 25 and July 28, 2006.

At the time of the interrogation, Somaiya admitted he was a co-owner of the city-based Merlin International company with Vithlani, whom he described as his ’’very good friend.’’

’’Shailesh Vithlani is a very good friend of mine. He is also a director of Merlin International. I don’t know if he is the owner of Envers Trading ... I transferred to him the power of attorney. I don’t know whether he is the owner,’’ the court documents quote Somaiya as saying during questioning.
On his part, Vithlani told the court in his sworn testimony that he was running Merlin International as a consultancy firm with ’’other owners ... one (of them) is Tanil Somaiya.’’

Vithlani has since been charged at the Kisutu court with committing perjury and making false statements to an investigating officer, with prosecutors alleging that he lied about not being the owner of Envers Trading and about receiving a $390,000 commission for the radar deal while he was actually paid $12m. The fugitive businessman was charged in absentia and remains at large, despite an international arrest warrant issued for him.

According to THISDAY investigations, Somaiya informed the Prevention and Combating of Corruption Bureau (PCCB) through his lawyers that he ceased being a shareholder and director of Merlin International on January 8, 2007.

However, despite reportedly severing all his business ties with Vithlani, Somaiya was business a partner with the wanted fugitive at the time the radar deal was concluded. It remains uncertain whether or not authorities consider him a formal suspect in the ongoing radar investigation.
 
Alaa kwani wanavyosema ameshiriki kwenye suala la RADAR anasingiziwa ama?kwani wamemfanya nini so far?Si bado they are entertaining him coz anawapa fedha!

Kevo huo ndiyo undumilakuwili wa CCM wa kujifanya wanapambana na mafisadi lakini hapo hapo wanakuwa wepesi mno kupokea pesa za mafisadi bila hata kutafakari kitendo hicho kitaonekana vipi machoni mwa Watanzania hasa wakati huu ambapo serikali na CCM vimegubikwa na habari za kifisadi.
 
Mkuu Bubu nafikiri ni jana tu umepewa darasa zito sana na mkulu Zitto, kuhusu hizi satetment za generalization, ni kwamba kama CCM kama chama ni cha mafisadi, basi wananchi tunaowapa utawala for the last 45 years, ndio tumeoza kwa ufisadi.

Huyu Somaiya sio a suspect kwenye hilo deal la Radar na article yenye hiyo habari umeileta wewe mwenyewe, na kipande kipo hapo juu, hakuna anyejaribu kuhalialisha anyhting hapa lakini pia hatuko hapa kukurupuka bila ukweli wala hoja za msingi, sheria inayowabana wananchi kusaidia vyama vya siasa haipo sasa unajaribu kuwahumu wananchi kwa kuwa matajiri au kwa kuwa ni wahindi?

Una maana kuwa tajiri Mhindi ukachangia chama cha siasa basi ni kosa au the ishu ni nini hapa? Mapungufu ya CCM hayana anything to na mchango wa mwananchi kwa CCM, ni haki yangu kuuliza ukweli au hoja ya any ishu na ni haki yako kuleta hoja na ukweli, so far siuoni kwenye hii ishu.

So are you imagining kwamba huyu mchangiaji wa 400M is as innocent as you would like us to believe?
Coz I believe no one does such a thing not expecting anything in return?
 
So are you imagining kwamba huyu mchangiaji wa 400M is as innocent as you would like us to believe? Coz I believe no one does such a thing not expecting anything in return?

Sasa unasema kwamba mwananchi yoyote anayetoa msadaa ni mhalifu au? Na kwa sababu wewe unaamini hivyo basi ni lazima wote hapa JF tuamini hivyo bila kuuliza?
 
Sasa unasema kwamba mwananchi yoyote anayetoa msadaa ni mhalifu au? Na kwa sababu wewe unaamini hivyo basi ni lazima wote hapa JF tuamini hivyo bila kuuliza?

Never tell people how to do or reason about things. Tell them what to do and help them with reasoning and they will surprise you with their ingenuity.
Unavyosema wote are you speaking for everyone or you are trying to air out your opinions regarding this issue?
 
Back
Top Bottom