mashikolomageni
JF-Expert Member
- Jan 5, 2010
- 1,570
- 187
Hivi Musiba alikuwa haibi artwork? I have a feeling kwamba alikuwa ana "tafsiri" novel za kizungu na kuziuza nyumbani kama kazi yake. Ebu niambie story zote za CIA, KGB, et la...na mambo ya uninja kwenye novel zake alikuwa haziibi kwenye novel za kizungu? Yaani novel zake zilikuwa kama movie vile...
By the way, yuko wapi huyu mtu siku hizi?
Musiba is no more alikuwa TCCIA.(RIP)
Nadhani hakuiba kazi ya mtu alikuwa mtunzi mahiri nimesoma vitabu vyake vyote vilikuwa na mazingira ya kitanzania, na afrika he was agreat writer