Kamlete - akibisha...

Hivi Musiba alikuwa haibi artwork? I have a feeling kwamba alikuwa ana "tafsiri" novel za kizungu na kuziuza nyumbani kama kazi yake. Ebu niambie story zote za CIA, KGB, et la...na mambo ya uninja kwenye novel zake alikuwa haziibi kwenye novel za kizungu? Yaani novel zake zilikuwa kama movie vile...

By the way, yuko wapi huyu mtu siku hizi?

nasikia visa vyake vingi vilikuwa vinatokana na James Hadley Chase..
 
Musiba was in the espionage/ spy master league, not a James hadley Chase type.

Kwani Forsyth na Ludlum walim plagiarize Ian Fleming?

Mbona wote waliandika spymater thrillers zinazofanana katika theme? Jason Bourne au the original Jackal wamemuiga James Bond?

Au kwa sababu ni Musiba tu?
 
Hivi Musiba alikuwa haibi artwork? I have a feeling kwamba alikuwa ana "tafsiri" novel za kizungu na kuziuza nyumbani kama kazi yake. Ebu niambie story zote za CIA, KGB, et la...na mambo ya uninja kwenye novel zake alikuwa haziibi kwenye novel za kizungu? Yaani novel zake zilikuwa kama movie vile...

Ha haaa LOL!

Hey, sitaki kuzua mada nyingine ndugu, lakini Mkuu Baba wa Nchi yetu nae tulimpa kasifa ka kutafsiri Shakespeare na mpaka leo mawazo ambayo aliyaazima kwingine yanakuwa attributed kwake!

Mfano: Wakati Butiku alipokemea tabia ya Mkapa ya kukaribia karibia rushwa hata kama hakutenda rushwa, alisema hivi, "Nyerere alisema kwamba Mke wa Kaisari hakutakiwa hata kutiliwa shaka, ndio maana aliachika."

Lakini hii ni principle ya Kaisari, sio ya Nyerere. Ilibidi Butiku amnukuu Kaisari moja kwa moja, sio Nyerere! Au aseme kwamba "hata Nyerere alikubaliana na Principle ya Kaisari inayosema kwamba...

Vinginevyo itabidi na mimi nikitaka kutumia hii hoja ya Butiku dhidi ya tabia ya Mkapa ninukuu kwa kusema: Butiku alisema kwamba Nyerere alisema kwamba Kaisari alisema kwamba Mke wa Kaisari hatakiwi kutiliwa shaka!

Hai make sense, ndio maana tunaenda moja kwa moja kwenye chanzo.
 
Sifa ya kutafsiri Shakespeare Nyerere anayo kwa kutafsiri "Merchants of Venice" into "Mabepari wa Venisi"

Huko kwingine mchemko wa Butiku na wengine kama yeye.
 
Ha haaa LOL!

Hey, sitaki kuzua mada nyingine ndugu, lakini Mkuu Baba wa Nchi yetu nae tulimpa kasifa ka kutafsiri Shakespeare na mpaka leo mawazo ambayo aliyaazima kwingine yanakuwa attributed kwake!

Mfano: Wakati Butiku alipokemea tabia ya Mkapa ya kukaribia karibia rushwa hata kama hakutenda rushwa, alisema hivi, "Nyerere alisema kwamba Mke wa Kaisari hakutakiwa hata kutiliwa shaka, ndio maana aliachika."

Lakini hii ni principle ya Kaisari, sio ya Nyerere. Ilibidi Butiku amnukuu Kaisari moja kwa moja, sio Nyerere! Au aseme kwamba "hata Nyerere alikubaliana na Principle ya Kaisari inayosema kwamba...

Vinginevyo itabidi na mimi nikitaka kutumia hii hoja ya Butiku dhidi ya tabia ya Mkapa ninukuu kwa kusema: Butiku alisema kwamba Nyerere alisema kwamba Kaisari alisema kwamba Mke wa Kaisari hatakiwi kutiliwa shaka!

Hai make sense, ndio maana tunaenda moja kwa moja kwenye chanzo.

Sasa wewe unataka kuzua mambo juu ya mambo kwa kuanza kumzungumzia Nyerere.....oohoooo...shauri yako.....nimekuonya....
 
Sijaona mtu kuweka a specific and detailed case kwamba kitabu fulani cha Musiba kimeiga kitabu kingine cha Marekani/ Ulaya.

Tanzania hakuna "specific and detailed case" ya ku double check na ku micro analyze vitu kama hivyo. Tungekuwa tuko Marekani ndio ungesema kitabu fulani kingekuwa kimeibiwa basi watu wangesha sema.

Concept yenyewe ya Plagiarism ni ngeni ngeni. Plagiarism ni nini kwa Kiswahili?
 
Agoro Anduru umenikumbusha nadhani ndiyo alikuwa na ile "Rosa Mystica" siyo?

Rosa Mystica iliandikwa na E. Kezilahabi, miongoni mwa vitabu vingine vya huyu bwana ni Dunia uwanja wa Fujo, Nagona, Mzingile na Gamba la Nyoka( nilichochukulia jina). kwa kweli huyu jamaa naye ana kipaji bab kubwa
 
Tanzania hakuna "specific and detailed case" ya ku double check na ku micro analyze vitu kama hivyo. Tungekuwa tuko Marekani ndio ungesema kitabu fulani kingekuwa kimeibiwa basi watu wangesha sema.

Concept yenyewe ya Plagiarism ni ngeni ngeni. Plagiarism ni nini kwa Kiswahili?

Huwezi kum accuse mtu bila kuwa na details.Plagiarism ni kugezea / kutohoa.

Vitabu si vimeandikwa, sasa hamna specific detailed case kwa sababu gani? Weka vitabu viwili vichambuliwe parallels zake hapa tuone kama ni plagiarism au thematic resemblance tu.
 
I thought we dared talk openly, au ndiyo maana Mzee anarudisha topic mstarini?

Mwnkjj nadhani anajuta kuanzisha ka mada ka vitabu ndani ya hii mada ya Vithlani. Naona anajaribu kuturudisha kwenye topic lakini duuh, mizimu ya Vithlani inakataa kukubali.

Tulikemee pepo lake.

Shetani la Vithlani, ushindwe na ulegee!
 
Naona tunakumbushana mbali.. na kwa watu wanaopenda vitabu tunaweza kujikuta tunaanza kufanya uchambuzi wa kazi hizo za fasihi...
 
..jamani mmenikumbusha mbali sana. miaka hiyo tulikuwa tukiangua maembe, mikwaju,zambarau, mapera etc etc.

..pia watoto tulikuwa na ujasirimali wa kutega ndege na njiwa, na baadaye kuwauza.

..watoto wengine "mafisadi" walikuwa na tabia ya kuiba mbwa.

..wengine wangeweza kushitakiwa kwa animals cruelty kwasababu ya kupiganisha mbwa, majogoo, mbuzi-beberu, punda etc etc.

..miaka yetu hata mtoto akiwa obese unakuta yuko very fast, flexible, and versatile.

..binafsi i was crazy about James Hardley Chase, baadaye nikahamia kwa Robert Ludlum, na Wilbur Smith.

..vitabu hivi vilikuwa havipatikani kwenye bookstores, you had to know the right ppl.

..bado hatujahamia kwenye michezo ya redio. i tended to like the historical ones--ile ya mtemi mkwawa, na isike. bila kusahau mahoka, na pwagu na pwaguzi.

NB:

pundit,

..umenikumbusha mbali kuhusu kesi ya uhaini. nilimpenda zaidi wakili murtaza lakha.

..upande wa serikali walikuwepo William Sekule, Kulwa Masaba, na huyu Johnson Mwanyika.

..nafikiri closing arguments za William Sekule ndiyo ziliwamaliza wakina Hatty McGhee na wenzake.
 
aaaaah....wewe ndo umenikumbusha mbali kichizi yaani...enzi za kuangua mabibo na kukaanga korosho...maeneo ya mikocheni nyuma ya kiwanda cha baiskeli.....nani aliwinda ndege hapa? mnakumbuka majina ya ndege nyie....mi vyangu vilikuwa visota tu......
 
tubadilishe tu jina la mada halafu ufungue mada nyengine kuhusu vithlani ila usitie vitabu
 
Back
Top Bottom