Dr Lizzy
Platinum Member
- May 25, 2009
- 30,813
- 59,314
wewe michelle badala ya kumshaur kwenzio ajitahid amlazimishe aolewe na jamaa wewe unataka kumpooza co hvyo bana mwambie aolewe wiki 2uu ucwe hvyo
Heeee!Kwani nimeambiwa hamna kesho?
wewe michelle badala ya kumshaur kwenzio ajitahid amlazimishe aolewe na jamaa wewe unataka kumpooza co hvyo bana mwambie aolewe wiki 2uu ucwe hvyo
Weel saidHakuna fomular kwenye mapenzi! Waweza muona mtu for the 1st time na ukajua she/he is the one! Ikitokea wote mnafeel the same why wait?
Kukaa uchumba kwa muda mrefu sio gurantee ya kudumu katika ndoa. Jua kipindi hicho kina pretence nyingi toka pande zote; hivyo swala la kujuana tabia ni kwa kiwango kidogo tu!
On the other hand kuoana mapema ni sawa na kumkubali mwenzako jinsi alivyo, without caring in the world where s/he is from, what s/he has been doing or anything; just loving the person s/he is now.