Kamjua wiki kamuoa inawezana jaman

watu watakulaje mji? au dubai ni chakula?

mi sioni shida wao kuoana hata kama wangefanya hivyo masaa baada ya kukutana.....waende tu ANGAZA then waoane....maisha hayana formula....wangapi wamekaa seven years or more na hawakuoana wala hata kujuana inavyotakiwa.....waachwe na maisha yao...:director:

upo wange kwanza kabisa kula dubai ni kula bia alafu kingne cjakataa ila ninaweza kusema ndo mnanifungua macho mana nimezoea kuona m2 anakaa na mpenz wake miez sita au mwaka ndo wanatangaza ndoa co kama hvyo wiki na kuoa hv jaman 2kirud kimaadil inawezekana kwel m2 akafanya hvyo mana ninahs utaonekana mwehu wiki au masaa uoe au uolewe du?
 
okay ckatai ila kitanzania kwel umjue m2 wik na akuoe au uolewe kwel inawezekana hyo au ndo ilakuwa kama wanavyofanya wasanii we2 wa muzik na filamu mana hawa huyu kamchukuwa huyu na huyu kamchukuwa yule mwsho wa cku wanatangaza ndoa hewa kaz kwel kwel ila cjui yan wiki umeoa au kuolewa duh?
Kitanzania ndo inakuaje kwani?Kuna sheria??Sema wewe huwezi ila si Kitanzania haiwezekani.
 
upo wange kwanza kabisa kula dubai ni kula bia alafu kingne cjakataa ila ninaweza kusema ndo mnanifungua macho mana nimezoea kuona m2 anakaa na mpenz wake miez sita au mwaka ndo wanatangaza ndoa co kama hvyo wiki na kuoa hv jaman 2kirud kimaadil inawezekana kwel m2 akafanya hvyo mana ninahs utaonekana mwehu wiki au masaa uoe au uolewe du?

Maadili yapi yanalazimisha watu wajuane miaka?
 
Kitanzania ndo inakuaje kwani?Kuna sheria??Sema wewe huwezi ila si Kitanzania haiwezekani.

ckatai ninamaana asilimia kubwa ya jamii au makabila ya kitanzania huwa wanafuata utamadun may be cjui ila nimeshazoe ndoa ya wk na masaa ni yamkeka au ni ya fumaniz au hujanisoma na hapo hebu jalibu kufanya utafit utaona ni asilimia ngap waliooana wk kama hujakuta ni fumaniz au kasusiwa mimba na ndo hvyo nilipojarbu kuwauliza wale nilifikir hvyo imetokea kumbe co
 
Acha kila mtu abebe msalaba wake!Ili mradi wanachofanya sio dhambi wala kufuru na hawaumizi wengine hamna tatizo kwenye wanachokifanya!
 
Inawezekana Murefu, kwa sababu hakuna kisichowezekana chini ya jua hili.
 
Back
Top Bottom