Kamisheni ya Haki za Binadamu na Utawala Bora inafanya nini wananchi wanapouawa mikononi mwa Polisi?

Yeyote anaevamia Ikulu au Ofisi za Mkuu wa Mkoa bila taarifa na kuizingira ni mhalifu, tena ni gaidi. Sheria za Ugaidi si Mkapa alizipitisha mbiombio bungeni, au huzijui?

kwa hiyo polisi wanatafsiri sheria!hivi inteligensia ilishindwa kutambua kama kuna kundi la magaidi wanavamia ikulu ya songea wakasubiri mpaka wavamie?acha mbwembwe mkuu.
 
kwa hiyo polisi wanatafsiri sheria!hivi inteligensia ilishindwa kutambua kama kuna kundi la magaidi wanavamia ikulu ya songea wakasubiri mpaka wavamie?acha mbwembwe mkuu.

Hapo hakuna kutafsiri sheria hapo kuna kutanika kwanza kuuliza baadae, Hata wewe, likuvamie kundi la watu nyumbani kwako, utangoja kwanza uende mahakamani> habu fikiri kidogo, sio kila kitu kushabikia tu.

Sheria zote zinawaruhusu, ya ugaidi, ya tresspassing, yakufanya maandamano haramu. Hakuna ujanja hapo, kwanza unatandikwa maelezo baadae. Huo ndio ukweli. Usicheze na Ikulu kwa kuisikia inaitwa ikulu ndogo au usicheze na ofisi ya Mkuu wa Mkoa kwa kuwa unakutana nae sokoni. Huwezi vamia hizo ofisi askari anaelinda akuwache.
 
nimekuuliza kuhusu taarifa za kiintelijensia hazikuwepo mpaka magaidi yanazurura kutoka kwa mkuu wa wilaya-mkuu wa mkoa-ikulu?!!kama haya mgaidi ya songea ni pasua kichwa hivi jee hao alshabab mnaojidai mtawashtaki mtawaweza?
 
Zomba unanichefua sana na ujinga wako wa kuwatetea mafisadi,hivi wanakulipa shilingi ngapi?maana kila swala linaloihusu serikali wewe unakinga kifua,huna huruma hata chembe mimi binafsi nakuombea kwa Mungu yaje yakukute,ili upate radha yake.
 
Te te the inamaana hujui kama hiyo tume ni tume huru? Huu uchunguzi si ni wa wauaji wenyewe... Hivi kweli mkubwa atoe amri kwa askari mdogo ua , fyatulia hao risasi za moto vifuani hadi wafe..halafu mkubwa mwingine afanye uchunguzi unategemea majiu gani katika nchi ya kulindana? Polisi wetu ni wauaji na siwapendi kabisa
Mpaka uwasikie wewe ndio ujuwe kuwa wanafanya kazi? Unashindwa kufahamu kuwa hata huu uchunguzi uliotangazwa ni kazi ya Kamisheni?
 
Wewe unavamiwa na kundi la watu, utaanza kuwaambia haya mnaotoka hospitali kaeni pembeni?

Mnaambiwa tawanyika! kama hamjatawanyika mnalambwa risasi. Huwezi kuvamia Ofisi ya Rais na ya Mkuu wa Mkoa uwachiwe, nani wewe?

wee mwehu umekalia ofisi ya raisi oohh ofisi ya mkuu wa mkoa as if huyo rais na mkuu wa mkoa ni miungu au sijui ni nini kumbe ni ushuzi tuu...usiwe mziito kuchanganua mambo..mambo mengi ya maandamano yanatokea baada ya watu kuwa wamechoka..kama mfumo uko vizuri na watu wanapata haki yao ya kusikilizwa na serikali yao na kutatuliwa matatizo yao you will neva see maandamano and the like..kule watu wanauawa kwa imani ya kishirikina..ni zaidi ya watu 9 wamekufa kwa muda mfupi tuu..na wa kuwalinda ni polisi na hao polisi wenyewe hawajachukua hatua yeyote pamoja na kulipwa kwa kazi hiyo..sasa ulitaka raia wafanyeje...au unadhani polisi kazi yao ni kumlinda raisi na mkuu wa moa tuu maake ulivoshobokea as if hao ni malaika fulani basi wakajenge hizo ofisi zao mbinguni..wao ni binadamu kama sisi na haiwafanyi kuwa malaika eti tuu kwa dhamana ambazo wamepewa na sisi wenyewe..viongozi wako kwa ajili ya watu ..maake inaonekana hujui hata maana ya kuwa raisi au mkuu wa mkoa...kiasi unaona ofisi zao zina maana sana kuliko uhai wa raia wasio na hatia...kifupi lazima utakuwa mwehu wewe..the way you argue....or chizi...lazima kuna nati fulani kichwani kwako haijakaa sawa...
 
Hatukatai kwamba waliondamana wanamakosa pia, hoja ya msingi hapa ni nguvu iliyotumika kudhibiti maandamano hayo ya watu wenye mabango tu hata fimbo hawana nafikiri polisi nchini inahitaji kujipanga sawa sawa hii ua ua imekuwa kama kawaidi tu sasa.
 
Unajua mwitikio wa polisi wakiona maandamano ni "hawa wataifanya CCM ionekane vibaya". Hata hivyo najiuliza "viongozi vijana" wako wapi wakati kama huu?
 
Mkuu Mzee Mwanakijiji uzi wako ni mzuri sana. kama ingekuwa angalau hapo Kenya tu ungeona majibu ya kuridhisha ya tume hii. Kwa kuwa uko mbali na TZ huwezi pata picha halisi ya huku. TZ imeshauzwa kwa wauaji na mafisadi. Tokea enzi za Mkuu Mahita na Zombe na sasa kwa Mwema na Manumba. Polisi jamii ni kiini macho, huku kuna polisi hela tu. kama wewe ni kabwela safari yako ni ahera tu.
kama hiyo tume imeshindwa kuingilia sakata la wakina Jenerali Kombe, Dr. Mwakyembe, Kolimba na wengineo ambao walikuwa viongozi, itakuwaje kwa wananchi wa kawaida tena wa huko Songea wakati tume inakula posho ikiwa imekaa Dar??
Mkuu hii nchi inaudhi na mkuu wa kaya wala hana time yuko anasaidia kusuluhisha migogoro ya somalia wakati nyumbani kwake leo tu walitaka kumtandika makamu wake.
Hii ni nchi ya vioja, na mawazo ya kuijenga wala hayana nafasi kwa utawala uliopo madarakani.
Tushukuru kwa yote tu, tukishindwa tunatengeneza TAHRIR SQUARE yetu kama Egypt mpaka kieleweke
 
Unajua mwitikio wa polisi wakiona maandamano ni "hawa wataifanya CCM ionekane vibaya". Hata hivyo najiuliza "viongozi vijana" wako wapi wakati kama huu?

Kweli, wapi January Makamba, wapi Zitto Kabwe, wapi Hamisi Kigwangala, wapi Tundu Lissu, wapi UVCCM, wapi, wapi wapi??????
 
Hawa wanaingia mitaani wanazingira Ikulu na Ofisi za mkuu wa Mkoa bila taarifa wala ruksa ya kufanya maandamano, halafu waachiwe wanatazamwa macho? Tandika tu. Hawakuamua maandamano ya amani hawa, huo ni ugaidi, kuvamia ofisi ya Rais na Mkuu wa mkoa.

Zile ofisi zinalindwa na askari wenye silaha, unafikiri zile silaha huwa za show tu. Unaambiwa usisogee huku, wewe unakuja tu, unaambiwa tawanyika wewe unaleta ubishi. Tandika tu. Wale askari wako kazini pale na wamepewa majukumu ya kulinda zile ofisi. Mimi hata nyumbani kwako nikija namna hiyo utantandika na silaha yoyote uliokuwa nayo, hata meno utntafuna kama hauna silaha nyingine. Au utangoja ushahidi?

Hizi statements mbona kama zinafanana na za Chagonja?
 
Hiyo kamisheni ya haki za binadamu kama ni STK hakuna kitu hapo
 
Zomba my love, kumbe wewe ndio kinara wa kufundisha uchawi hapa J F?
Kwani wao sio citizens? Hebu wacheni porojo zenu za kujaza chuki kila siku. Kuweni kidogo na fikra poeitive. Nyie kila kitu negative tu. basi hata huo upinzani ndio unakuwa hivyo? upinzani ni majukumu tena ni makubwa sana kuliko Serikali ilikyoko madarakani.

Mnaweza mkaunda nyinyi tume yenu ya Haki za binaadam ya upinzani, mkafanya uchunguzi mkaelezea ukweli, sio mnakaa majungu tu saa zote. Nyie vipi? mna asili ya uchawi?
 
Te te the inamaana hujui kama hiyo tume ni tume huru? Huu uchunguzi si ni wa wauaji wenyewe... Hivi kweli mkubwa atoe amri kwa askari mdogo ua , fyatulia hao risasi za moto vifuani hadi wafe..halafu mkubwa mwingine afanye uchunguzi unategemea majiu gani katika nchi ya kulindana? Polisi wetu ni wauaji na siwapendi kabisa

seria umena mkuu. This is too much. Ifike mahali tuseme baasi kama kufa watuue wootee
 
wee mwehu umekalia ofisi ya raisi oohh ofisi ya mkuu wa mkoa as if huyo rais na mkuu wa mkoa ni miungu au sijui ni nini kumbe ni ushuzi tuu...usiwe mziito kuchanganua mambo..mambo mengi ya maandamano yanatokea baada ya watu kuwa wamechoka..kama mfumo uko vizuri na watu wanapata haki yao ya kusikilizwa na serikali yao na kutatuliwa matatizo yao you will neva see maandamano and the like..kule watu wanauawa kwa imani ya kishirikina..ni zaidi ya watu 9 wamekufa kwa muda mfupi tuu..na wa kuwalinda ni polisi na hao polisi wenyewe hawajachukua hatua yeyote pamoja na kulipwa kwa kazi hiyo..sasa ulitaka raia wafanyeje...au unadhani polisi kazi yao ni kumlinda raisi na mkuu wa moa tuu maake ulivoshobokea as if hao ni malaika fulani basi wakajenge hizo ofisi zao mbinguni..wao ni binadamu kama sisi na haiwafanyi kuwa malaika eti tuu kwa dhamana ambazo wamepewa na sisi wenyewe..viongozi wako kwa ajili ya watu ..maake inaonekana hujui hata maana ya kuwa raisi au mkuu wa mkoa...kiasi unaona ofisi zao zina maana sana kuliko uhai wa raia wasio na hatia...kifupi lazima utakuwa mwehu wewe..the way you argue....or chizi...lazima kuna nati fulani kichwani kwako haijakaa sawa...

Mkuu usimbuke nae huyu ni kibaraka wa mafisadi.
 
Kweli, wapi January Makamba, wapi Zitto Kabwe, wapi Hamisi Kigwangala, wapi Tundu Lissu, wapi UVCCM, wapi, wapi wapi??????
tundu lissu,godbless lema walipata kashkash kule mara kwa mambo kama haya.sina uhakika kama kesi ya lisu ilishakwisha.
 
Back
Top Bottom