Saint Ivuga
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 54,363
- 58,386
- Thread starter
- #21
Makaazi sasa ndio balaa....mbu na joto juu
hapa ni Tanzania?
Makaazi sasa ndio balaa....mbu na joto juu
Hiyo picha inanikumbusha moja nilipiag maeneo ya kariakoo 2008..yani kuna gorofa afu juu nyumba ya bati...!hapa ni Tanzania?
Is that really hapenning in Dar ama ni picha za zamani!??
Makaazi sasa ndio balaa....mbu na joto juu
Vipi kuishi Kimara na ile foleni.......???Duk kuishi Mbagala kwa kweli inahitaji ujasiri!!
Vipi kuishi Kimara na ile foleni.......???
hii mbaya sana