Kambi ya upinzani wafurahia waziri kuitosa serikali bungeni

Kila ufisadi unapoguswa utasikia kelele zinageukia kwa magazeti au vigazeti. Lakini Masha umesahau kwamba kelele za magazeti ndio zilitufanya tuwapeleke nyinyi ikulu? Salva anafahamu hili na DR Gideon anafahamu hili.
Hata hivo bado utatakiwa kujibu zaidi na serikali yako wapi Deep Green mlipoizika ili tuone kama tutakomboa visenti kidogo.
 
Kasheshe,

Hawa jamaa wameishiwa, nahisi ni opportunists au hawajui nini kinatakiwa kufanyika ili kuwa WIN wananchi.

Ukienda kijijini kwangu Mchamba wima hawaelewi hata kidogo ukiongelea DEEP green finance wamechota hela serikalini, hata ukiihusisha na madawati na madawa hospitalini, bado hawaelewi.

Inatakiwa wapinzani wajijenge kichama zaidi. Hili najua ni ngumu kwasababu wengi wao wapo after matumbo yao, najua wapo hodari; ila wamezungukwa na wenye tamaa na wasio na uwezo wa kujenga hoja!

Tutaendelea kuwatawala milele!

FairPlayer

..very biased and shortsighted.
 
Back
Top Bottom