Kambi ya upinzani na harakati za kujiendeleza kielimu

Waridi

JF-Expert Member
Mar 30, 2008
1,025
172
Tutarajie mema?
kama vile kuna wimbi la wapinzani kwenda shule,
Naibu Katibu Mkuu CHADEMA huyooo,ughaibuni
Mkiti wa NCCR, ati kahitimu Degree mwezi jana, ughaibuni
Katibu wa itikadi NCCR, huyoo kutafuta PhD ughaibuni

Kila la heri, je tutarajie tija?
 
Nafikiri kila mtu anatafuta njia ya "kutokea"

Mkuu Tumain
Kutoka huwa ni lengo la kila mwanadamu.Swali langu hapa ni kwamba kisomo wanachokitafuta chaweza kuwa chachu ya mabadiliko katika kambi ya upinzani, na hatimaye taifa kwa ujumla?

Utakumbuka siku chache zilizopita Mhe.Idd simba aliwalaumu wasomi kwa kuutelekeza uwanja wa siasa badala yake nafasi za kisiasa zimeshikiriwa na watu wenye shule ndogo. Ingawa Simaba akutoa data, alirejea enzi za Mwalimu, na jinsi ilivyokuwa kwamba mkoloni aliwazuia wasomi kujishughulisha na harakati za ukombozi, kwa hiyo mwalimu akasaidiana na wasiosoma sana, matokeo yake hao hao ndio wakakamata nafasi nyeti baada ya uhuru.Trend hii imeendelea, katika vyama vya siasa, nafasi za juu zimeshikiliwa na watu ambao elimu zao tunazijua, sasa hii development ya kwamba wameanza kutafuta shule, laweza neno jema kutoka hapo?
 
Back
Top Bottom