Kambi ya Lowassa yaibuka kidedea UVCCM Arusha

Arusha Leo

Senior Member
Mar 12, 2012
122
72
HATIMAYE Kambi mbili ,baina ya waziri Membe na Lowasa,zilizokuwa zikivutana katika kinyang'anyiro cha nani ataibuka mshindi mwenyekiti wa UVCCM mkoa wa Arusha , kambi ya Lowasa ndio imeibuka mshindi baada ya Robinson Meitinyiku kushinda kwa kura 247 dhidi ya Dr Harold Adamson aliyepata kura 188.
 
Huyo Dr Harold Adamson amesomea political science? Kwa nini asitumie elimu kubwa aliyonayo kujenga nchi kupitia fani yake badala ya kukimbilia kwenye majukwa ya siasa?
 
Huyo Dr Harold Adamson amesomea political science? Kwa nini asitumie elimu kubwa aliyonayo kujenga nchi kupitia fani yake badala ya kukimbilia kwenye majukwa ya siasa?

Tanzania wenye wito wa kazi ni wachache wengi tunaangalia maslahi......siasa inalipa zaidi!!
 
Naomba mchanganuo kuhusu makambi. Tuna makambi mangapi?
1. Kambi ya Lowasa
2-------
 
HATIMAYE Kambi
mbili ,baina ya waziri Membe na Lowasa,zilizokuwa zikivutana katika
kinyang'anyiro cha nani ataibuka mshindi mwenyekiti wa UVCCM mkoa wa
Arusha , kambi ya Lowasa ndio imeibuka mshindi baada ya Robinson
Meitinyiku kushinda kwa kura 247 dhidi ya Dr Harold Adamson aliyepata
kura 188.

Money talks mzee.
 
HATIMAYE Kambi mbili ,baina ya waziri Membe na Lowasa,zilizokuwa zikivutana katika kinyang'anyiro cha nani ataibuka mshindi mwenyekiti wa UVCCM mkoa wa Arusha , kambi ya Lowasa ndio imeibuka mshindi baada ya Robinson Meitinyiku kushinda kwa kura 247 dhidi ya Dr Harold Adamson aliyepata kura 188.

Na Mbeya, Moro na Iringa huyo Mzee ana wafwasi au ni huko kaskazini tu na kanisani?
 
Huyo Dr Harold Adamson amesomea political science? Kwa nini asitumie elimu kubwa aliyonayo kujenga nchi kupitia fani yake badala ya kukimbilia kwenye majukwa ya siasa?....

Ni Doctor of Medicine.
Ana historia nzuri sana ya kushindwa chaguzi. Alishagombea urais mara 2 mfululizo pale Muhimbili, mara zote akianguka.
 
hivi unawezaje kujua kuwa huyu mwana ccm ni kambi ya lowasa au membe au sitta au migiro au karume?
 
nadhani hii habari nzuri kwa Pro-EL JF Pasco na Ritz... wengine tunamsubiri akishapitishwa tu na magamba tunae...
 
Last edited by a moderator:
Naomba mchanganuo kuhusu makambi. Tuna makambi mangapi?
1. Kambi ya Lowasa
2-------
Kambi zipo nyingi lakini kwa sasa kambi kuu ni tatu tu, zingine ni sub-kambi ya hizi tatu (zipo Oppotunistic) na kadri siku zinavyokwenda zinanywea na kufungamana na hizi tatu. Kambi hizo kuu tatu ni;

1/UFISADI(Lowassa Group)
Hii ndio yenye nguvu zaidi na inaogopewa na kambi zingine zote.
Sifa yao kuu ni Rushwa.

2/USULTANI(Membe Group) Hii inaungwa mkono na mtawala, inapigiwa debe usiku na mchana na familia ya JK.
Sifa yao kuu ni Usanii.

3/ZILIPENDWA(Sitta Group)
Hii inajumuisha makada wengi waliowahi kuongoza au kupata umaarufu ndani ya CCM na serikalini lakini kwa sasa hawana nafasi kubwa. Sifa yao kuu ni Unafiki.

*NOTE (Majina ya hizo kambi siyo rasmi bali ni utunzi wangu katika kufanya uchambuzi, lakini yanashahabiana na mfumo wa sifa za kundi husika)
 
Back
Top Bottom