chiriku mpole
Member
- Jan 24, 2012
- 12
- 0
KKKT lina mpango 2015 RAIS awe MKKKT kwani tangu tupate UHURU hatujawahi kuwa na RAIS MKKKT. Wanamwandaa lowasa 2015,hivyo sishangai kauli zake.
Laizer hakutoa maoni bali amekazia hukumu. Amesema hakuwahi kuhudhuria mikutano ya Lema lakini "alisikia" kuwaLlema alisema... So hakusikia kwa masikio yake aliyopewa na Mungu kwamba Lema alisema, bali alisikia tu, umbea tuuuu. Katika hali hiyo yeye kama kiongozi wa dini hawezi kusema kuwa mahakama ilitoa haki What if Lema hakusema, na hata kama alisema katika context gani na huyo mtu aliyekuja kumuambia Laizer, ana elimu gani, kuweza kudhihirisha kuwa yupo competent kutoweza kudistort meaning ya kile anachotaka kukielezea. Mimi ningelikubali maneno ya Laizer kama yeye mwenyewe aliwahi kuhudhuria mikutano ya Lema na akamsikia kwa masikio yake mwenyewe, lakini kumbe alisikia, ina maana aliambiwa na third party. Kwa heshima ya uaskofu hakupashwa kukazia hukumu kwa maneno ya kusikia. Hii ni hatari sana kwa jamii kama watu kama Askofu watahukumu kwa maneno ya kusikia, sasa yeye ana tofauti gani na Pilato na makuhani waliomhukumu Yesu kwa kusikia-- tulisikia ulisema utabomoa hekalu kuu na kulijenga kwa siku tatu... tulisikia....niliwahi kusikia-- shame on you Laizer
Maralia Sugu umeibuka na ID hii mpya?Si vyema kumkebehi askofu kwa kuwa ana miono kutoka mbinguni, heshimuni viongozi wa dini tusije pata matatizo katika taifa letu.
Inategemeana ni Askofu wa dhehebu gani!
Kuna maaskofu ambao hawajamaliza hata LY, lakini pia wapo wa hadi Doctorate na Profs!
Huyu Pro-EL wa leo ni msomi mzuri tu!
Upeo wa Laiser humu hamtokaa muweze kuutafakari na hata kuujadili sababu kubwa ni kutokana na kutaka aseme yale ambayo sisi tunataka kuyasikia he isnt a politician so as to say he is supporting chama flani yeye ni Mtushi tena wa ngazi ya juu hivyo ni vyema aachwe atoe maoni yake kulingana na vile ambavyo yeye anaona inafaa....
Mbona kwenye swala la Umeya wa Arusha hamkumtuhumu namna hii??? Mbona kwenye zile vurugu za Arusha ambapo naye alihuduhruia mazishi hamkumtuhumu namna hii?? Mbona kwenye ile hotuba yake akiwa Moshi kwenye Jubilee ya Mbowe ambapo Serikali ilimwandama sana hamkumtuhumu namna hii?? Mbona kwenye ile hotuba yake pale Kimandolu juu ya matatizo Mkoani Arusha yatokanayo na Vyama hivi viwili CDM na CCM hamkumtuhumu namna hii??
Yote ni kwa sababu kipindi kile mlidhani he is one among you leo katoa maoni yake juu ya uhuru wa mahakama na vile ambavyo yeye amesikia juu ya kauli za Lema mmeanza kumshambulia under the umbrella of Great Thinkers.... Acheni hii mambo.....
Acha kumuongelea vibaya kiongozi wa dini. Hujui kuwa yeye ni Mungu wa duniani?
Si vyema kumkebehi askofu kwa kuwa ana miono kutoka mbinguni, heshimuni viongozi wa dini tusije pata matatizo katika taifa letu.
Acha kumuongelea vibaya kiongozi wa dini. Hujui kuwa yeye ni Mungu wa duniani?
hotuba ya Askofu inaonyesha kujikanganya mwenyewe hapo aliposema ni haki Lema kupewa ile hukumu huku akisema serikali na dola yake imekuwa ikiwanyanganya watu wake haki alipofananishi Bwana Yesu kupigwa makofi. Hii ni kauli na tabia ya mtu mwenye kula chakuna na mikono yote miwili, tena bila hata kunawa. Rushwa aliyoimwaga EL makanisani imewapofusha kabisa baadhi ya viongozi na sasa hawasikii hawaambiliki na wata hawajijui.
Uchaguzi uitishwe Arusha halafu raia tutamwonyesha Laizer jinsi maamuzi ya wengi yanavyopaswa kuheshimiwa na haki ya wachache hasa pale inapodhulumu haki ya wengi isivyopaswa kupewa kipaumbele.
.
Askofu naye ni binadamu anayeweza kurubuniwa na shetani. Pale shetani anapofanya kazi yake, hana budi kukemewa kwa nguvu, hata kama ni Pope. Kuna wengi wanalitaja jina la Mungu, bali wanafanya kazi za shetani!Si vyema kumkebehi askofu kwa kuwa ana miono kutoka mbinguni, heshimuni viongozi wa dini tusije pata matatizo katika taifa letu.