kambi ya JWTZ Kaboya hapatoshi

Status
Not open for further replies.

Mutabora

Member
Apr 29, 2010
45
4
Wanajeshi wa JWTZ kambi ya Kaboya wamevamia kijiji cha Mayondwe(jirani na kambi) na kufyeka mashamba ya mazao.Zoezi hilo wamelifanya jumatatu alfajili na jana asubuhi wakisombwa na magari yao na wameacha kilio kikubwa kwa wananchi .Sostenes Mushumbusi ni miongoni mwa waathirika.
 
Hivi hawa wanajeshi mbona machoni wanajitukuza kwa wema na kumbe wamejaa hira na roho za kutu kiasi hiki?kwanini wanaona kana kwamba wao wako juu ya katiba mama ambayo inazuia mtu ama kundi lolote kujichukulia sheria mikononi,si g/mboto,kunduchi,sasa kaboya,hivi ni kweli jeshi liko juu ya sheria? ama mbele ya jeshi wananchi hawana sauti?sasa hli jeshi la wananchi ama la kidikteita
 
WANAJESHI KAMA HAWAJACHOKOZWA NI WATU WEMA KULIKO....ni watu wa mfano wa kuigwa katika jamii...ni watii,wachapakazi na WASIOPENDA DHULMA...!
SEMENI KWELI MMEWAFANYAJE.....?
 
Acha masikhara mkuu!!
 
tatzo wajeda wetu wengi shule hawana ndio maana wanatumia nguvu ili waogopwe lakini kwa mtu mjanja hawana lolote zaidi ya ubabe kama wanaweza waende Libya wakazuie mashambulizi ya NATO
 
Ila wanakuwaga cyo wachokozi kbs,Mi nafikiri kuna kasheshe fupi,kama na kumbuka ile ya kambi ya sofa kule Arusha na wale raia wa Dukabovu si walichakaza kila ki2 na hata hawa wanakijj kuna kasumba fulani wamewafanyia.
 
Sielewi ni kwa nini serikali inashindwa kuwachukulia hatua. Naomba chadema waweke ajenda katika maandamano kupinga vitendo dhalimu vya wanajeshi wetu.
 
Habari haijakamilika tatizo nn unajua wajeda hawawez kufanya hivyo bila kuwa na tatizo...jipange upya mleta mada
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom