Kamati zaendelea kuwasulubu mawaziri na watendaji

EJM_

JF-Expert Member
Jul 8, 2011
3,836
2,091
Mh Lembeli (Mwenyekiti wa kamati ya Ardhi Maliasili na Mazingira ndio amemaliza kutoa taarifa yake inayowasulubu Waziri wa Maliasili na Utalii, Makatibu wakuu nk hasa kuhusiana na lile sakata la kusafirishwa kwa twiga wawili na tembo wanne kwenda Pakistan
 
Back
Top Bottom