Kamati ya uchunguzi wa Jairo hii hapa

Mbona hao woote kama walalaji Bungeni, kweli wanajua hata nini kinaendelea, maaana isijekua wamestushwa na wito wa spika , na kisha kusababisha wakaenda kumuuliza sasa tufanyaje

GENERAL
SalutationHonourableMember picture
1747.jpg
First Name:Eng. Ramo
Middle Name:Matala
Last Name:Makani
Member Type:Constituency Member
Constituent:Tunduru Kaskazini
Political Party:CCM
Office Location:P.O. Box 10646 Dar Es Salaam
Office Phone:+255 784 349994
Ext.:
Office Fax:
Office E-mail:
Member Status:
Date of Birth

EDUCATIONS
School Name/LocationCourse/Degree/AwardStart DateEnd DateLevel
Matika Primary School, TunduruPrimary Education19701976PRIMARY
Lindi Secondary SchoolO-Level Education19771980SECONDARY
Tosamaganga Secondary SchoolA-Levele Education19811983HIGH SCHOOL
University of Dar Es SalaamBSc.(Civil Engineering)19881993GRADUATE
University of Dar Es SalaamMSc. (Engineering)20072009MASTERS DEGREE
African Advanced Level Telecommunication Institute(AFRALTI) Nairobi,KenyaShort Course1998CERTIFICATE
Marcus Evans (Johannesburg, South Africa)Short Course2003CERTIFICATE
Marcus Evans (Johannesburg, South Africa) (KPMG)Short Course2007CERTIFICATE
Galillee College, IsraelShort Course2006CERTIFICATE

CERTIFICATIONS
Certification Name or TypeCertification No.IssuedExpires
No items on list

EMPLOYMENT HISTORY
Company NamePositionFrom DateTo Date
The Parliament of TanzaniaMember - Tunduru North Constituency20102015
Professional AssociationSecretary General20092010
Engineering Registration Board Of TanzaniaAssistant Registrar20042010
Tanzania Telecommunications Company Limited (TTCL)Environment & Safety Manager20002004
Tanzania Telecommunications Company Limited (TTCL)Enginner/Civil Manager19942000

POLITICAL EXPERIENCE
Ministry/Political Party/LocationPositionFromTo
Chama Cha Mapinduzi, CCMCCM Youth Union Commander2009

PUBLICATIONS
DescriptionPublished Date
No items on list

SPECIAL SKILLS
Skill Name or DescriptionYears ExperienceAcquired ThroughSkill Level
No items on list

RECOGNITIONS
Recognition TypeRecognition DateReasonAction TakenIssued by
No items on list

Source: Parliament of Tanzania

Natse mbunge karatu, khalifa cuf, walibaki ni ccm wote! Tusiwahukumu tungoje tuone hiyo ripoti yao na maamuzi yake.

itabidi ifike sehemu wananchi tuwe tunachangia au kuchagua wahusika kupitia mitandao sababu na mashaka na hawa wahusika nahisi hata sifa za utambuzi na uchunguzi hawana kabisa.... lakini nahisi watona hisia zetu watajituma.....

Tanzania bwana! Tunalalamikia wizi wa fedha za umma halafu tunachunguza kwa kutumia pesa za umma ilihali majibu tunayo! Kisha Bunge nalo

linaishia kuunda kamati ambayo pamoja na mambo mengine inamchunguza CAG! Kama watanzania hawataridhika labda na kikwete aunde yake

kuweka mambo sawa. Matatizo yetu yanakuwa source ya ulaji kwa wengine

Umeona ee? transactional leadership not transformative. tunazunguka pale pale, miaka 50 inakuja tunatumia pesa kibao kusherehekea. Mfumo ule ule

Mheshimiwa Spika kwa mamlaka aliyopewa na kanuni za Bunge amewateua wafuatao

. Eng. Makani

Goseberth Blandes

Israel Natse

Khalifa S. Khalifa

Martha Umbulla

mbona sio majina maarufu?

Hawa si ni ma CCM wote ? Maana kama ni hilo basi hakuna kitu hata kimoja .

tusipotoshe wakuu wabunge hawa wamegawanywa kwa uwiano sawa nayo ni kama ifuatavyo CCM=2,CHADEMA=1,CUF=1.ambapo chadema kitawakilishwa na mchungaji israel natse mbunge wa karatu.Cuf ni khalifa suleiman khalifa mbunge wa gando.ccm ni enginia makani na mama mmoja wa viti maalum.

Wasi wasi umeniangukia, ooh ni nani atanisaidia? Maswali kichwani mwangu yamekuwa mengi kuliko majibu.
Labda ni hofu yangu tu, mbona Daudi alipokuwa hana jina, alilipata kwa kumuua goliati?
KWELI MAJINA HAYA NI MADOGO KWA MAANA YA UGENI MASIKIONI MWETU, JE YAWEZA KUTULETEA HAKI YA TAIFA INAYOTAKA KUPORWA KWA NGUVU KUBWA MNO YA DOLA?
Roho ya Mungu na iwavishe ujasiri katika njia yenu, muende kazini na mkafanikiwe!

kamati!kamati!kamati!kamati!tumechoka sasa mwisho zitaundwa kamati za kuchunguza watu vyooni!!!!tunataka viongozi wanaofanya maamuzi ya kishujaa sio uboya!!!

Wasifu binafsi wa Eng.Matala Ramo Makani (Mbunge wa Tunduru Kaskazini CCM) miongoni mwa wajumbe wa kamati iliyoundwa;

EDUCATIONS
School Name/Location Course/Degree/Award
Start Date
End Date
Level
Matika Primary School, Tunduru
Primary Education
1970
1976
PRIMARY
Lindi Secondary School
O-Level Education
1977
1980
SECONDARY
Tosamaganga Secondary School
A-Levele Education
1981
1983
HIGH SCHOOL
University of Dar Es Salaam
BSc.(Civil Engineering)
1988
1993
GRADUATE
University of Dar Es Salaam
MSc. (Engineering)
2007
2009
MASTERS DEGREE
African Advanced Level Telecommunication Institute(AFRALTI) Nairobi,Kenya
Short Course
1998
CERTIFICATE
Marcus Evans (Johannesburg, South Africa)
Short Course
2003
CERTIFICATE
Marcus Evans (Johannesburg, South Africa) (KPMG)
Short Course
2007
CERTIFICATE
Galillee College, Israel
Short Course
2006
CERTIFICATE

EMPLOYMENT HISTORY
Company Name
Position
From Date
To Date
The Parliament of Tanzania Member - Tunduru North Constituency
2010
2015
Professional Association Secretary General
2009
2010
Engineering Registration Board Of Tanzania Assistant Registrar
2004
2010
Tanzania Telecommunications Company Limited (TTCL) Environment & Safety Manager
2000
2004
Tanzania Telecommunications Company Limited (TTCL) Enginner/Civil Manager
1994
2000

Umeona ee? transactional leadership not transformative. tunazunguka pale pale, miaka 50 inakuja tunatumia pesa kibao kusherehekea. Mfumo ule ule

Mwaka huu sijui watatuonesha nini! Pesa kibao tunapopoa tuu wakati watu wanakufa kwa umaskini uliokithiri

ʞontɹact Sniper;2411495 said:
Kamati ya teule ya Bunge itapitia Hadidu rejea zifuatazo.

Uhalali wa utaratibu huo kisheria na kikanuni.
Kupitia hesabu za Mkakuguzi mkuu wa serikali
Kuchunguza mfumo wa serikali kujibu hoja zitolewazo bungeni.

Kuangalia nafasi ya mamlaka ya nafasi ya makatibu wakuu anaowateua
Kuangalia mambo mengine yahusianayo

Wajumbe

Ramo matala makani - Mwenyekiti

Gosbert Gumisha
Israel Yohana
Halifa Suleiman hali
Lachi humbula

Muda wa uchunguzi

Kamti itahitajika Kufanya kazi kwa Kipindi cha wiki nane.

Kama hizo ndiyo hadidu za rejea basi hili bunge litakuwa ni la ajabu sana. Itabidi mwisho wa shughuli zote za uchunguzi tuelezwe ni kiasi gani cha pesa kimetumika kufanya uchunguzi wa CAG na huu wa hii kamati ya bunge la WAGAGAGIGIKOKO.

tusipotoshe wakuu wabunge hawa wamegawanywa kwa uwiano sawa nayo ni kama ifuatavyo CCM=2,CHADEMA=1,CUF=1.ambapo chadema kitawakilishwa na mchungaji israel natse mbunge wa karatu.Cuf ni khalifa suleiman khalifa mbunge wa gando.ccm ni enginia makani na mama mmoja wa viti maalum.

Thank you. Kwa hiyo una maana CCM(A)=2, CCM(B) aka CUF = 1, CHADEMA = 1. Just thinking aloud because this CUF guy comes from the other part of the Union in which CCM and CUF are running the goverment together.

Back
Top Bottom