Kamati ya Ngwilizi yawatia hatiani Prof. Muhongo na Eliakim Maswi, yawasafisha Zitto na wenzake!

Tuliwahi kuandika hapa jamvini kuwa mwishoni mwa siku ZITo ataibuka mshindi, someni nnipashe leo. sakata la wale wabunge wanaotuhumiwa kula rishwa sasa ni wazi limefikia mwisho, na badala yake PROFESA NA MWASWI ndo watuhumiwa wa kwanza kwa kupindisha taratibu za manunuzi.

Ni vema wananchi kuwaelewa viongozi wao, hasa wanapotaka kuugeuza ukweli kuwa uongo ili kushangiliwa. nani asiyejua kuwa nchi ipo kwenye mgao mkali wa umeme? lakini wafanyakazi waTanesco wameonywa kuwa endapo mtu atasema ukweli kuhusu mgao unaondelea atafukuzwa kazi.

Nchi ya waongo wanaoishi kwa kusema uongo, hata profesa anakuwa sehemu ya uongo!!!!

Sijaona uongo wa Prof Muhongo na Maswi. Alisema tangu June 2012 kwamba hakutakuwa na mgao,na kweli mpaka sasa sijaona mgao ingawa ni kiangazi. Mtoa hoja tuambie hapa huo mgao upo wapi?. Alisema bei ya kuunganishiwa umeme itashuka na kweli imeshuka-kwa sasa mtwara ukiwa na 96,000/= tu unaungiwa umeme. Alisema nguzo zetu zitokazo Mufindi zinapelewa kenya kisha tunauziwa kama imported kwa milioni moja kila nguzo ni kweli hayo tumeyaona. Sasa hapo mkweli ni nani? Aliyeondoa mgao na kupunguza gharama za umeme (whatever creativity he did) au waliokuwa wanatupa migao na hadithi kila kukicha!? Tunachopima ni shughuri zetu kutoathirika na migao na mlalahoi nae aweze kuunganishiwa umeme kwa gharama nafuu,kitu ambacho viongozi wa nyuma wa wizara na Tanesco walishindwa kufanya!
 
MAANDIKO KAMA HAYA WATU KAMA Mkandara inabidi wayasome . Inaelekea hapa baadhi ya watu wanataka kubadili mjadala na kuanza ushabiki wa Zitto v/s Prof Muhongo .
Nyeusi ni nyeusi tu,haiwezekani ikaitwa nyeupe coz kuwa kitu so called taratibu za manunuzi

Mkuu wangu unaonekana kwa maoni yako mtu kama Muhongo ni malaika fulani ambaye rekodi yake haina madoa yoyote. Unayo maoni gani kuhusu uuzwaji kinyemela wa Kiwira Coal Mine kwa BWM na Dan. Yona wakati huo waziri wako akiwa mwenyekiti wa bodi iliyokua inasimamia huo mgodi?
 
Profesa ni msomi hawezi sema uongo

Mmmmh kwa tz hii!!!!! na ccm hiii!!! nenda pale UDSM walipojaa maprof Mukandara na wenzake. Ile kesi ya kufukuza wanafunzi walisema wamewarudisha, kaulize kama wapo chuoni hao watu. Sitasahau nlipoponea kwenye tundu la sindana kurudia mwaka kisa nimechelewa kulipa ada!!!(sio kufeli masomo). Kweli naamini Tanganyika na wadanganyika wake
 
..... bahati mbaya kuna BAADHI ya watu humu JF wao wanatoa maoni katika mambo ya ngono na udaku tu ...
 
mgao upo kama kawaida,wilaya ya mpwapwa tunapata kila siku ta alhamisi,hata mbunge wetu teu hatuna hamu nae hakuna chochote alichotufanyia,udhaifu mtupu!!!!
 
Hakuna mgao wa umeme....huu unaokatika mara kwa mara ni matatizo kidogo tu ya mitambo...MY FOOT!
 
Profesa ni msomi hawezi sema uongo

Tatizo vyuoni.jpg

Haya bana wasomi ndo hawa!
 
Ukitaka kugundua watanzania ni wavivu wa kusoma na wanapenda umbeya ndo utajua sehemu kama hizi. Mmeambiwa chanzo ni Nipashe lakini hata kusumbua akili kusoma hiyo nipashe hakuna.

Kweli mkuu umewapata wengi japo siyo 01 April

Huyu jamaa kaleta habari ya uongo hapa. Kwenye nipashe hakuna hiyo habari. Mwongo huyu.
 
toziful.JPG

Zitto always comes with a big smile of hypocritical cloak to the CCM Chairperson (pic1) but with a scornful look with hidden tensions to his CHADEMA Chairperson (pic 2)

Zitto is not missed at State House and foreign government visits as compared to other government leaders let alone those from the opposition parties. If they real wanted a representative of the opposition to attend a funeral, Mbowe himself the leader or Ezekiah Wenje / Raya Ibrahim the shadow Cabinet Ministers on foreign Affairs would have attended. Further, what is the significance of the opposition party rep attending such a funeral of Meles Zenawi of Ethiopia (pic 3) of all the people and not the Tanzanian Journalist and others who were killed innocently while your party was conducting a political rally in the area? Isn't it ironically, for an opposition party leader to support such a person (dead or alive) who did cling on power for 21 years, failed to stop ethnic massacre of Anuaks and Highlanders and encouraged open discrimination and repression to the Oromo people by his government?

Zitto meets Verhagen- the Dutch Deputy Prime Minister, Minister of Economic Affairs, Agriculture and Innovation in the Netherlands (pic 4). With his friend MPs, they dreamt to get opportunities to discuss & learn for our future government policies on effective, transparent and profitable exploration of natural resources by learning from the Dutch experience. Why not Mnyika (Shadow Min- Energy & Minerals), why learn from the Netherlands on gas and oil exploration (with only 87 billion Cu M) or is it because Zitto studied there? Though NL is among the big known gas producers, the concerned people should have visited Vienna to meet the OPEC gurus, or the other (top) better in terms of oil production, export, proven gas reservoirs in billions of Cu M and national political stability such as Norway, Qatar and Canada. Why start discuss about our resources abroad without taking a responsibility to bring such open discussion to your people at home. We heard that the TCME and the Ministry calling for all stakeholders to discuss on the subject here at home while Zitto leads such discussion in a hotel in the Netherlands with her friend Sarah Msafiri while he is nobody in our government executive.

We facepalm on the indecorous ‘bromance' of this scallywag Zitto with the CCM Party, his identity disorder he suffers plus his snooty condescension, treachery and duplicity with his compradors such as Mkandara to such respected individuals like Dr. Muhongo.

Oxymoronic Zitto cannot serve two Masters; neither Mafisadi and Wananchi nor CHADEMA and CCM in sync. Leave Mnyika, Maswi, Massele, Simbachawene and Muhongo do what is assigned to them, we are starting seeing the difference. We want more of courageous leaders and not such pusillanimous politician.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom