Kamati ya Ngwilizi yawatia hatiani Prof. Muhongo na Eliakim Maswi, yawasafisha Zitto na wenzake!

Tanganyika ya wadanganyika, hizo nguzo zinazotolewa na kupelekwa Mombasa na kurudi nazo wamezingelea au wameishia kubwabwaja tu kuhusu kanuni na sheria za manunuzi? Tangu mwanzo tulijua kuwa walikiuka hizo kanuni za kifisadi lakini kwa maslahi mapana ya umma. Bei ya kulipia nguzo moja ya umeme ilikuwa shilingi ngapi kabla ya Maswi na Profesa kuingia wizarani na sasa ni shilingi ngapi?
Kamati ya Ngwilizi, huyu ambaye ana hekaru kule Lushoto pamoja na Ben? I will be the last to trust them.

Mkuu, kwani Ngwilizi mwenyeji wa mkoa gani? Kwani hiyo hekaru liko jointly OWNED na Ben!!
 
Mimi Binafsi, niliposikia Kamati hiyo inaongozwa na Ngwilizi, nilishakata tamaa na kujiaminisha kuwa ripoti itakayo toka lazima itatetea wabunge wa CCM na kuwageuka watendaji wa Serikali. Mimi nadhani hayo mambo ni rahisi sana, wawekwe hadharani akina Maswa na Prof, pamoja na Ngwilizi na Kamati yake, kila mmoja atoe details na information walizonazo na ushahidi wake na sisi wananchi tuamue nani ni msema kweli na nani ni mwongo. Ila kwa Ngwilizi, historia itakuhukumu muda si mrefu - Shauri yako.

mkuu,bado taarifa rasmi haijatolewa bungeni,lakini nadhani waziri na katibu mkuu wake wamehojiwa na kutoa vielelezo vyote kuhusu wabunge watuhumiwa. wewe unadhani ni kwanini akina Lukuvi wanahaha taarifa isisomwe bungeni?
 
Tangu Team Muhongo-Maswi washike usukani wa Wizara ya madini na nishati kuna nafuu sana kwenye upatikani wa umeme. Ndio, unakatika lakini sio kwa kiwango Ngeleja.

Hoja kwamba Maswi alikiuka taratibu za manunuzi si sahihi sana kama tutaangalia mambo kwa mapana yake. Tanesco wananunua mafuta toka kwa supplier B, lakini huyu supplier B ananunua mafuta toka kwa supplier A na kumuuzuia Tanesco kwa bei ya juu.

Ni kwanini Tanesco wasinunue hayo mafuta moja kwa moja toka kwa supplier A kwa bei nafuu? If it takes kuvunjilia mbali the so called taratibu/sheria za manunuzi ili kukwepa huu ULAJI wa wajanja so be it. Hawa wajanja wamejuwa lini taratibu za manunuzi? Sio ndio hawa hawa wamekuwa wanangalia invoice za 'capacity charges?
 
Kuna sheria ya utumishi na mahusiano kazini lazima ifuatwe na pia taratibu za kumtia mtu hatiani katika jinai. Usijifanye kipofu unafikiri namna ya kupelekwa mbele ya sheria ni just kumburuza mtuhumiwa kwa Hakimu mahakamani.....
Haya sasa yale yalee sasa imekuwa unanijua mimi vizuri sana kuniita kuhadi. wee zungmzia mada iliyopo hakuna mahala panasema Mkandara ni mbunge ama amewazuia..Watu kama nyie ndio hamfai kabisa kutoa ushahidi wowote maana hamjui hata kuuleta janvini kazi kulazimisha tu watu waamini mnachosema. Kwanza umeweka maelezo yangu ktk mabano halafu ndani yake unajibu kama vile maneno yanakutokea nyuma. hata anayekusoma hataku elewa ya Mkandara yapi na yako yapi..Kisha acha matusi kama huwezi mjadala jikate kiulainiii tutakuelewa.

Acheni ujinga wenu hakuna kutuletea hadithi hapa za nani kafanya nini wakati wewe mwenyewe upo wizarani mkitaka sisi wananchi tuamini madudu yenu. Huyo Mama Kilango anajua nini kuhusu maswala ya nishati na madini? au yeye ndiye mlimweka mkononi sasa yamewageuka mnaanza kutoka povu.

JK na Muhongo walikuwa huku Canada juzi tu na wameweka mkataba kuyalinda mashirika ya Canada sasa wewe unataka kutueleza kitu gani? Sasa anapitia hiyo mikataba ili iweje ikiwa tayari kisha anza kuyalinda kabla hata hajaipitia mikataba..Mnaongopa sana kiasi kwamba mnajisahau kuwa JF ni ukumbi wa watu waloenda shule na wanajua kupepeta pumba zinapojitokeza. katika hili nipo na Zitto na tunaona madudu yenu yanayojaribu kuyaficha maana sii mara ya kwanza ilitokea wakati wa Buzwagi Zitto akafukuzwa bungeni lakini ukweli ulikuja onekana wazi..
 
Wewe ni mnafiki na umetumwa na ninakuakikishia kuwa nia na lengo lako na wenzako halitafanikiwa.hata kama nchii iko kwenye mgao unaweza kuulinganisha na enzi zile kabla ya muhongo?sifa zake mpeni jamani.nyie ndio vibaraka wa zitto.go go go muhongo
 
Kwa hiyo wewe unamuamini ngwilizi sio?

إِعْلاَنُ يَسُوعَ الْمَسِيحِ، الَّذِي أَعْطَاهُ إِيَّاهُ اللهُ، لِيُرِيَ عَبِيدَهُ مَا لاَ بُدَّ أَنْ يَكُونَ عَنْ قَرِيبٍ، وَبَيَّنَهُ مُرْسِلاً بِيَدِ مَلاَكِهِ لِعَبْدِهِ يُوحَنَّا، الَّذِي شَهِدَ

Hizi ni habari za mambo ambayo yalifunuliwa na Yesu Kristo. Mungu alimpa Kristo ufunuo huu ili awaonyeshe watumishi wake mambo ambayo yanapaswa kutukia karibuni. Kristo alimtuma malaika wake amjulishe Yohane, mtumishi wake, mambo hayo, 2 naye Yohane, ameyasema yote aliyoyaona.

"Allah".
 
Wewe ni mnafiki na umetumwa na ninakuakikishia kuwa nia na lengo lako na wenzako halitafanikiwa.hata kama nchii iko kwenye mgao unaweza kuulinganisha na enzi zile kabla ya muhongo?sifa zake mpeni jamani.nyie ndio vibaraka wa zitto.go go go muhongo
mwambie sio mgao tu na pesa zetu zilikuwa zinaliwa kwa mgao feki ili wauze mafuta kwa bei ya juu na kuingiza generator ili wauze kwa bei kubwa kumbuka kama hakuna umeme demand ya gen ni high hebu nambie toka july leo ni october kuelekea nov ...umeme upo kumbuka maelezo ya awali eti kina cha maji ...nenda nguzo moja 1 million lakini ukitathiminiwa na serikali hio hio mti mmoja kwenye shamba lako unalipwa 10.000/=

Haya sasa yale yalee sasa imekuwa unanijua mimi vizuri sana kuniita kuhadi. wee zungmzia mada iliyopo hakuna mahala panasema Mkandara ni mbunge ama amewazuia..Watu kama nyie ndio hamfai kabisa kutoa ushahidi wowote maana hamjui hata kuuleta janvini kazi kulazimisha tu watu waamini mnachosema. Kwanza umeweka maelezo yangu ktk mabano halafu ndani yake unajibu kama vile maneno yanakutokea nyuma. hata anayekusoma hataku elewa ya Mkandara yapi na yako yapi..Kisha acha matusi kama huwezi mjadala jikate kiulainiii tutakuelewa.

Acheni ujinga wenu hakuna kutuletea hadithi hapa za nani kafanya nini wakati wewe mwenyewe upo wizarani mkitaka sisi wananchi tuamini madudu yenu. Huyo Mama Kilango anajua nini kuhusu maswala ya nishati na madini? au yeye ndiye mlimweka mkononi sasa yamewageuka mnaanza kutoka povu.

JK na Muhongo walikuwa huku Canada juzi tu na wameweka mkataba kuyalinda mashirika ya Canada sasa wewe unataka kutueleza kitu gani? Sasa anapitia hiyo mikataba ili iweje ikiwa tayari kisha anza kuyalinda kabla hata hajaipitia mikataba..Mnaongopa sana kiasi kwamba mnajisahau kuwa JF ni ukumbi wa watu waloenda shule na wanajua kupepeta pumba zinapojitokeza. katika hili nipo na Zitto na tunaona madudu yenu yanayojaribu kuyaficha maana sii mara ya kwanza ilitokea wakati wa Buzwagi Zitto akafukuzwa bungeni lakini ukweli ulikuja onekana wazi..

Mkuu, hivi una tatizo na Muhongo as a person au upendi mahamuzi yake!! Huyu aliyekujibu mbona anaeleweka tu - maelezo yako yamendikwa kwa text ya kawaida, majibu ya kwake in bold format - Sasa tatizo liko WAPI?
 
babykailama,
Mheshimiwa spika alivunja kamati ya mNishati na madini kwa sababu ya maelezo ya Mh.waziri ambaye yeye ndiye aliwatuhumu wabunge hao kuchukua rushwa.

Atakuwa Spika wa ajabu avunje kamati kwa sababu ya Waziri mmoja tu kutamka hivyo ebu kuwa ujue dunia hii na mifumo inavyofanya kazi. Yaani Waziri mmoja (mjumbe wa executive)atunge neno basi Muhimili mwingine (Bunge) litetemeke hadi kuvunja kamati? ....

Splendid indeed - what a brilliant analytical MIND, be blessed MKUU.

some people wanna be told what they want to hear...if u tell them to the contrary it becomes an issue...Duh...biasness in its fullest...
 
mwambie sio mgao tu na pesa zetu zilikuwa zinaliwa kwa mgao feki ili wauze mafuta kwa bei ya juu na kuingiza generator ili wauze kwa bei kubwa kumbuka kama hakuna umeme demand ya gen ni high hebu nambie toka july leo ni october kuelekea nov ...umeme upo kumbuka maelezo ya awali eti kina cha maji ...nenda nguzo moja 1 million lakini ukitathiminiwa na serikali hio hio mti mmoja kwenye shamba lako unalipwa 10.000/=

Well said mkuu, Watanzania wachache wasio kuwa na chembe ya uzalendo wanalifanya TAIFA letu shamba la BIBI na kutuchezea akili; kuna vituko chungu nzima vya kusikitisha zaidi ya nguzo za UMEME - we fikilia, JK fani yake ni uchumi, kuna wakati fulani JK alishauri TANESCO wa-modify majenereita ya IPTL yatumie Natural GAS badala ya mafuta mazito/machafu, kumbuka GAS inapatikana kwa wingi nchini, si hilo tu hata gharama za ku-modify Prime Movers hizo sio KUBWA - mtu ungetegemea wazo hilo lingetolewa na an Engineer(CEO) na sio mchumi(RAIS) lakini wapi bwana, mawazo yao yako kwenye michoro ya ulaji na kuhitisha endless press releases ku-justify dismal performance ya Shirika lenyewe, wanahishia kuilahumu SERIKALI kwa mapungufu YAO!

Sasa ni nini kilicho kuja tokea baada ya Rais kutoa pendekezo hilo, miaka ikawa inakatika tu bila ya kutekeleza agizo la JK; walijua fika wakitekeleza agizo lake ufujaji wa fedha zetu za kigeni utapungua kwa kiasi kikubwa, kikundi hiki kilivyo na roho ngumu kilipuuzia maagizo ya RAIS na kuendela kuhunguza hela zetu za kigeni, jamaa hawa wako well ORGANISED - tusije kujidanganya kwamba mbinu za kumkalia Prof.Muhongo kooni ni za BURE, kuna kitu wanajiamini. Mimi namshauri Waziri Mkuu na Rais watupilie mbali repoti ya Ngwilizi, let what comes MAY. Kwa nini tusi-emulate uongozi wa Kambarage, wakati wa enzi zake akisha make up his mind basi hakuna kugehuka nyuma iwe yeye au waziri wake mkuu, tukiendekeza mambo ya tume ambazo zinaonekana kujali interest za vikundi vya watu kuliko maslahi ya TAIFA nchi hii itafika mahali inajikuta inayumbishwa left right na katikati - CHUNGA SANA.
 
wakati maswi na muhongo wako bize na shughuli za kiserikali watuhumiwa walikuwa bize kuhakikisha ripoti inawasafisha!upuuzi mtupu,mnyika nae alipompongeza muhongo alikuwa anambeba nani?Wakiamua kuwasafisha watuhumiwa wao wawasafishe tu lakini actions speeks louder than.....na tumeona mgao wa umeme wa kipuuzi umeisha,bei ya kuunganisha umeme imeshuka,bei ya nguzo imeshuka!na kweli pesa zimeokolewa kwa kununua mafuta kwa bei nafuu!sio kwamba hatukujua kuna mgongano wa kimaslahi tulijua lakini tunachotaka huo mgongano ulete faida kwa watanzania!Ule mgongano na mvuragano wa utaratibu wenye maslahi ya umma tunaukubali kuwa ndio utaratibu muafaka!
 
he! sasa umeshaambiwa chanzo ni gazeti la nipashe, kanunue gazeti au azima then ndo ujue ukweli, sasa kuniita mkuda kwan i miye ndo nilikuwa mwanakamati? tatizo mnataka kuambiwa uongo,sasa ngwilizi kaupata ukweli hamuamini. siku mtakaposikia kuwa magufuli ni mla rushwa namba wani kupitia taasisi za umma kama SUMAJKT, TBA NDO HAMTAAMINI KABISAAAAA
punguza jazba kidogo ,humu kuna watu wa aina zote na mawazo yao ni tofati na matarajio yako
 
Haijalishi Prof Mhongo ni mzuri kiasi gani lakini katika hili nae aliingizwa chaka na wanasiasa uchwara akaleta hoja za rushwa ili kufurahisha baraza bajeti ipite wakati hajajipanga kwa vithibitisho!
 
mwambie sio mgao tu na pesa zetu zilikuwa zinaliwa kwa mgao feki ili wauze mafuta kwa bei ya juu na kuingiza generator ili wauze kwa bei kubwa kumbuka kama hakuna umeme demand ya gen ni high hebu nambie toka july leo ni october kuelekea nov ...umeme upo kumbuka maelezo ya awali eti kina cha maji ...nenda nguzo moja 1 million lakini ukitathiminiwa na serikali hio hio mti mmoja kwenye shamba lako unalipwa 10.000/=
MAANDIKO KAMA HAYA WATU KAMA Mkandara inabidi wayasome . Inaelekea hapa baadhi ya watu wanataka kubadili mjadala na kuanza ushabiki wa Zitto v/s Prof Muhongo .
Nyeusi ni nyeusi tu,haiwezekani ikaitwa nyeupe coz kuwa kitu so called taratibu za manunuzi
 
Similar Discussions

3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom