Kamati ya Ngwilizi bado!?

OSOKONI

JF-Expert Member
Oct 20, 2011
10,965
5,336
ile kamati ndogo ya bunge iliyondwa kuchunguza tuhuma za baadhi ya wabunge kupokea rushwa haijamaliza kazi? majina ya wabunge wala rushwa yawekwe hadharani ili taratibu za kisheria zifuate!!
 
sijui hii mijamaa inafanya nini huko maana hatusikii chochote. Usikute washatuzuga tayari. Mwenye habari jamani atujuze.
 
Bora hata isimalize kazi,kwani hata kamati zilizotangulia zilileta nini kwa taifa letu hili la walalahoi
 
Mafisadi hao kwa kofia nyingine!!

Ndugu yangu usiniite fisadi nachokuambia kina ukweli, anzia kamati ya akina Nyarari, njoo kamati ya akina judge Kipenka na mwenziwe, njoo kamati ya Dr Ulimboka, kamati ya David Jairo zote ni hewa.Hata kamati ya Richmond kwangu ilikua hewa tu maana ingekuwa ya ukweli tusingekuwa tunasumbuliwa na Dowan.Sio ni bora wakae watulie tujue kimoja
 
Back
Top Bottom