Kamati ya nchimbi batili,mwenye mamlak ni raisi-tls

nguluvisonzo

JF-Expert Member
Dec 27, 2010
515
71
Chama cha Tanganyika Law Society(TLS) - kamati hiyo iliyoundwa na NChimbi ni batili kulingana na sheria,misingi ya uundaji wa tume au kamati kuchunguza tuhuma za mauaji yaliyofanyika katika mazngira yasiyoeleweka,inapaswa kufanywa na rais siyo mamlaka nyingine. hii ni sharia ya 2000sheria hiyo imempa mamlaka waziri wa sheria katiba na sheria kuunda kamati yenye wajumbe kutoka mahakama za wilaya,kisha wajumbe hao ndiyo wenye dhamana ya kuchunguza malalamiko yote yanayohusiana na muaji,chombo hicho taarifa yake inaweza tumika ushahidi mahakamani baada ya kuwasilishwa kwa mwendesha mashitaka wa serikali.

Kwa taarifa hii viongozi wetu wanaamka toka vitandani mwao na kurukia mambo badala ya kuwasiliana na wahusika kwa ushauri wa kiufundi,nina imani haya yalimtoka tu Nchimbi kwa kuwa ni mbumbumbu wa sheria,Pia hata mwanasheria mkuu anaogopa kumshauri kwa kuwa atkuwa anamuumbua au na yeye hajui sheria.

Hongera Tundu Lisu kwa kuliona mapema na kufanya wenzako wa taaluma yako kukaa chini na kuipekua sheria husika.

Jaji Ihema unaonyesha ni namna gani unavyodhihilisha maneno ya Tundu Lishu juu ya ujaji wenu kuwa ni wa magumashi mtupu,kama sio hivyo tueleze taarifa yako inanguvu gani kisheria?

Ahsante sana Raisi wa TLS FRANCIS STOLA kwa taarifa yako kwa umma kwa kukazia malalamiko ya Tundu Lisu.

Rais JK hili ni somo la kuangamiza nguvu ya muhimili wa mahakama kwa kututeulia watu wasiokuwa na uwezo,jiulize ni kwanini Rufaa ya Lema kuna mabadiliko? mahakama imeogopa baada ya Lema kumuongeza Tundu Lisu jaji Mkuu kaingia ili kulinda maslai mtawala wake kwa kuwa anamaslai na kesi hiyo. hii ni aibu kubwa katika idara ya mahakama baada ya kuwa na baadhi ya majaji kuwa vihiyo.

Mungu isaidia Tanganyika yetu na balaa hili.
 
Safiiiii safi sanaaa!!
Haya ndio tunayataka, tutumie nafasi na usomi wetu kuwaumbua watawala wetu wabovu.

Tusikubali kupelekwapelekwa kama kuku, dawa ni kuhoji kila kitu chenye kutia mashaj
ka.
 
Back
Top Bottom