Kamati ya Mapinduzi ya Kamati ya Maandalizi Harusi ya Husninyo na Judgement

Kama vp ianze kufungwa ndoa theni ndo michango ifuate
Achana nao...kwanza nilishajitolea 80% ya bajeti yote so kumalizia 20% sishindwi na nikishindwa ntamwomba Ashadii yale madeni waliyorudisha aniazime then sherehe ifanyike...
 
Hahahaha, mi nataka niwe kamati zote mbili
Kumbukeni kunipa hela ya usafiri na vocha
maana kazi ninayo fanya sio ndogo...:wink2:


chagua kati ya black or white? Sie yetu ni white nadhani ya B52 ni black ila hiyo ya kuwa kote kote hapana na pleae be careful na ERickb52 anaweza akaku-pm habari zisizo nzuri... kaa naye mbali huyo!!
 
Kama vp ianze kufungwa ndoa theni ndo michango ifuate

labda itasaidia...Djay sijawahi kuona mwenyekiti kama huyu...anajichukulia madara mikononi...na kwa nn fedha akamate Amyner ambaye inasadikika Ericky anamtaka...
 
...Kipande nimekuja!Jg ni kaka angu sitaki watu wanunue viwanja kupitia harusi yake.!
 
Hahahaha, mi nataka niwe kamati zote mbili
Kumbukeni kunipa hela ya usafiri na vocha
maana kazi ninayo fanya sio ndogo...:wink2:

hahahaha!Mwali tunaomba uchague upande mmoja!hauwezi kuwatumikia MABWANA wawili!
 
mmeanza mizengwe, ngoja niandae kikosi changu tumteke bi harusi mtarajiwa!

dah please ukianza lugha hizo watakufananisha na al shabab...... kimya kimya style

Hata mi nashangaa eti mwenyekiti Erickb52 na mweka hazina Amyner! Sitoi sen'tano yangu!

kweli kabisa kwa hii kamati ya B52 kaa nayo mbali, ila karibu kwenye haraati za kuipindua kamati hii

Kaazi kwelikweli.....
Usijali hata misibani huwa wapo wanaipinga maiti isizikwe hadi wapewe kitu...eti huwa wanajiita watani...lol
Hata hawa ni watani wetu tu...tukiwapa jero wanalegea

Hapa hadanganyiki Mtu, swala ni wewe ukubali kuachia ngazi kwa manufaa ya Umma

Hii kamati usijiunge nao maana expire date yake imefika....

Mwali usikubali akurubuni .... angalia tu kwa makini utagundua nani mkweli na nani Hajatulia hapa

Wewe si uko kamati ya mapokezi ya wageni??
Sasa mbona na nawewe unataka kuleta kiwingu kwa bi harusi....

kuwa kwenye kamati sio shida hata serikali wamo wanamapinduzi!!

Siamini km hata wewe Kongosho unamsaliti JG na Husny na kuanzisha fitna na Majungu kiasi hiki tena na kamati zishaanza kuundwa....

Hapana, hajamsaliti ila Kongosho na Lizzy ni kati ya wanaharakati ninaowakubali hapa.... tena natanguliza shukrani za pekee kwa Kongosho ... al maarufu "Konnie" ... te teh teh teh mabinti mna kaaazi kweli kweli

mambo ya TRIAL MER... Hayo dai chako kongosho..

karibu Mwana mapinduzi

We dogo tatizo lako tamaa zinakusumbua...
Kwanza tamaa ya wake za watu(umeelewa)..
Pili tamaa ya pesa....
Tatu tamaa ya madaraka-kukosa uenyekiti na utunza fedha wa kamati....
Badilika dogo

Tatizo lako wewe mkubwa wangu ni kuwa hutaki kukubali kuwa hata wakubwa huwa wanakosea, step down achia tume huru ifanye kazi. halafu unapenda sana kutoka kwenye point ya msingi na kuhamia kwenye personal attacks. hiyo ni fallacy ad hominem... nilikuambia ama umesahau tuanze somo la fallacies?

Sekta ya vinywaji mnaeza mkaniweka mimi...

Invisible akikuruhusu wala sina shida

Hawezi kudai maana hata yeye kaharibu kwa mdogo wake Ashadii

sina ushahidi sitii neno namsubiri tu mwenyewe aseme!!

Mtally huku ni kamati ya majungu na fitina...karibu kwenye kamati halisi ya maandalizi upate kitengo


hii ni kamati ya kiharakati na kimapinduzi zaidi hayo ya kwako si kweli bali ya kwako inavunjwa na inakuja mpya, halafu kitu ambacho hujajua ni kuwa hii sio kamati ya harusi hii ni kamati ya Mapinduzi na harakati za kuweka kamati halali, huru na ya haki ya harusi hiyo
 
Kaazi kwelikweli.....
Usijali hata misibani huwa wapo wanaipinga maiti isizikwe hadi wapewe kitu...eti huwa wanajiita watani...lol
Hata hawa ni watani wetu tu...tukiwapa jero wanalegea

...haha!huna mtani hapa asee!...kiufupi unatakiwa uwe MC au mfungua SHAMPENI siku ya harusi...ova!
 
Hyo kamati sii amini. Ni ya kitapeli

yap yap yap!...karibu JEMBE halisi...linalima mpaka lami...
e bana huyu jamaa yuko tena huku!hivi tangu lini mtu maskini akawa mwenyekiti wa kamati?si ndio mwanzo wakuibiana hela za harusi!HATUMTAKI!
 
Back
Top Bottom