Kamati ya Mapinduzi ya Kamati ya Maandalizi Harusi ya Husninyo na Judgement

Lucas

JF-Expert Member
Dec 3, 2011
2,457
1,108
Habari wana jamvi,

Kufuatia kupata taarifa za kiintelijensia kwa kamati iliyoundwa na Ndugu Erickb52 kuwa haiko katika kufanikisha harusi hiyo ila tu ni kuitumia kwa faida zao binafsi yeye na amyner, mimi kwa kushirikiana BAGAH na wadau wengine tunaomba kuikataa kamati hiyo ambayo hatujuia hata ilichaguliwaje na tunaomba tume huru na yenye kutenda haki ya uchaguzi wa kamati hiyo ya harusi hiyo. na apatikane mwenyekiti mpya.


Naomba pia msaada kwa wanaharakati wengine katika kufanikisha hili, tena kwa kuanzia naomba michango yote ikusanywe kwenye account ya JF. na sio kwa account zao wenyewe!!

Naomba kuwasilisha, naomba sana ushirikiano wenu pia especially Mtei, Kongosho, Nitonye na wengine woooooooooote.

Sina IMANI KABISA NA b52
 
Dah....hii harusi itafanyika kweli? Mbona mikasa imeanza mapema hivi??

Harusi bora hata ifungwe ya kimya kimya tu bila ufisadi ndani yake hapo sawa kabisaaa....
 
Hahahaha, mi nataka niwe kamati zote mbili
Kumbukeni kunipa hela ya usafiri na vocha
maana kazi ninayo fanya sio ndogo...:wink2:
 
mmeanza mizengwe, ngoja niandae kikosi changu tumteke bi harusi mtarajiwa!
 
Dah....hii harusi itafanyika kweli? Mbona mikasa imeanza mapema hivi??
Kaazi kwelikweli.....
Usijali hata misibani huwa wapo wanaipinga maiti isizikwe hadi wapewe kitu...eti huwa wanajiita watani...lol
Hata hawa ni watani wetu tu...tukiwapa jero wanalegea
 
Hahahaha, mi nataka niwe kamati zote mbili
Kumbukeni kunipa hela ya usafiri na vocha
maana kazi ninayo fanya sio ndogo...:wink2:
Hii kamati usijiunge nao maana expire date yake imefika....
 
Harusi bora hata ifungwe ya kimya kimya tu bila ufisadi ndani yake hapo sawa kabisaaa....
We dogo tatizo lako tamaa zinakusumbua...
Kwanza tamaa ya wake za watu(umeelewa)..
Pili tamaa ya pesa....
Tatu tamaa ya madaraka-kukosa uenyekiti na utunza fedha wa kamati....
Badilika dogo
 
Back
Top Bottom