Kamati ya Maandalizi Harusi ya Husninyo na Judgement

Hahahahaaaa unashangaaaaaa!
Mambo ya kifamilia hayo....
Nilitoa sababu kwanini nimemteua Amyner kuwa muweka hazina wa kamati....
Ana uzoefu sana kwa haya mambo ya pesa wala usijali Kaby
Na ukiendeleza majungu yako naongea na Katavi uishie getini kama akina Mtei na Bagah
nishatoa sababu kwanini mimi siwezi kukosa kwanza husy ni mke mwenza na ni wifi yangu halafu hao kina bagah wamefanyaje teena?
 
Mtafute katibu wa kamati ya maombi Smile au msaidizi wake Kin'gasti, ukiwakosa basi jaribu kwa mwenyekiti kivuli wa kamati ndugu PJ, hat Bujibuji pia anaweza kuwa na idea nzuri tuu.... kwa sasa niko busy kidogo!
Teh sawa ngoja tuendelee kuwangoja watakuja muda si mrefu
 
MAKUBWA!!!! Sherehe gani bila Chakula?? Mimi ni Mlezi wa Husny bado anaishi kwangu.... Mimi ndio Mpishi Mkuu wa hapa Mji wa Jamvi.... Sipo, Sina taarifa na mwategemea sherehe itaitika?? :A S 13:
Afadhali umekija maana nilikuwa najiuliza bila wewe mambo yataendaje
Lol
Hebu chagua wapishi bora mtuandalie misosi ya nguvu
 
Kuna kamat ya ulinzi na usalama ma mali za bi harus? Namaanisha kukaanae karibu zaidi ya bwana arusi, kama ipo naomben nipangwe mimi kama mgen kwan nauzoefu na shughuli hiyo.
 
nishatoa sababu kwanini mimi siwezi kukosa kwanza husy ni mke mwenza na ni wifi yangu halafu hao kina bagah wamefanyaje teena?
Yan wale jamaa hawafai kabisa.....Ila sema nikiwatosa Nitty atakosa wajumbe wa kamati ya starehe....nitawasamehe tu
 
Kuna kamat ya ulinzi na usalama ma mali za bi harus? Namaanisha kukaanae karibu zaidi ya bwana arusi, kama ipo naomben nipangwe mimi kama mgen kwan nauzoefu na shughuli hiyo.
Kamati ndo tunazipanga hapa....
Hope hiyo hakuna hivyo ni yako
Na hakikisha bi harusi haibiwi vitu na yeye Kuibwa maana Uporoto hakawii kuleta fitina zake siunajua kuachwa kubaya
 
Subiri utajionea mwenyewe hivi ni vitu vidogo sana kwetu

kwa sector hiyo tu nawakubali saana! kule kwenu nimepishana na jeep ya namna hii, sijaziona sana hapa kwetu Tz. ila nimeoiona uhayani!
v1.png
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom