Kamati ya Maandalizi Harusi ya Husninyo na Judgement

Yan we badala ya kuchagua kitengo unaanza kuleta majungu yako tena!
Lol
Nakupangia kamati ya Majungu na Fitna na watani.....mumzuie ni harusi hadi mpewe Juice ya matango

kwani uongo?halafu eti amy kamati ya hela kama sio kufilisi shirika lol
 
B52 umeshaongea na Rev Fr Masanilo? au nani anafungisha hiyo ndoa?
 
Erick 52,
Muda huu ,
nadhani wakati una'create hii Sredi , Kongosho kanipigia cm ,
amenambia katika mchango wake, yeye atagharamia kuwaleta Baikoko kama utakua na ya ziada wasiliana nae .
 
Mapambo sweetlady amejitolea.
Katavi kuna watu nadhani km hawatajirekebisha ntaomba wasisogelee kabisa gate....
kwa kukudokeza ni hawa...Mtei One na Bagah
Kama patakuwa na wengine ntakujulisha
 
Napendekeza kamati maalum wawepo kimbweka , funza dume na bwana mdogo anayekuja juu rungu.
 
Hehehe! Jamani mwenzenu nipo matenite livu, si mnajua shem wenu JG hataki kuchelewesha mambo. naomba mpange kamati vizuri. Nitarudi kesho kuangalia mchakato unaendaje.
 
Erick 52,
Muda huu ,
nadhani wakati una'create hii Sredi , Kongosho kanipigia cm ,
amenambia katika mchango wake, yeye atagharamia kuwaleta Baikoko kama utakua na ya ziada wasiliana nae .
Sawa bwana Harusi wetu...
Ila Kongosho amekuja ni kama hauko na kumbukumbu vizuri...nimemkabidhi SweetLady ajaribu kuongea nae ajue nini tatizo maana hatumuelewi.
Otherwise maandalizi yako sawa naona vijana wamezikamata kamati vilivyo na wanaahidi kazi nzuri
 
Erick 52,
Muda huu ,
nadhani wakati una'create hii Sredi , Kongosho kanipigia cm ,
amenambia katika mchango wake, yeye atagharamia kuwaleta Baikoko kama utakua na ya ziada wasiliana nae .

Mkuu mimi nitajitolea hammer langu kama usafiri wenu
 
Hehehe! Jamani mwenzenu nipo matenite livu, si mnajua shem wenu JG hataki kuchelewesha mambo. naomba mpange kamati vizuri. Nitarudi kesho kuangalia mchakato unaendaje.

Umeamua kutoa tunda kabla dah basi JG ana bahati sana
 
Hehehe! Jamani mwenzenu nipo matenite livu, si mnajua shem wenu JG hataki kuchelewesha mambo. naomba mpange kamati vizuri. Nitarudi kesho kuangalia mchakato unaendaje.

Husny usijali kwa hilo maana wanakamati wangu wako juu vibaya....
Mambo yatanyooka sana....
Ila kuna wasiwasi kwa Kabakabana kutohidhuria kwa utovu wa nidhamu kwa Mwenyekiti wa kamati...ananipa maneno ya kashfa mbele ya wanakamati wangu!
Katavi atafanya kazi yake kwa kuanza na yeye(Kabakabana)
 
B52 umeshaongea na Rev Fr Masanilo? au nani anafungisha hiyo ndoa?
Sijaongea nae ila nataraji wachungaji wote Rev Msanilo hadi Rev Kaboka Mchizi watakaa kupanga ndoa itafungwaje na nani ataongoza yao...
Hebu saidia kuwatafuta wachungaji wote uje nao hapa
 
Hehehe! Jamani mwenzenu nipo matenite livu, si mnajua shem wenu JG hataki kuchelewesha mambo. naomba mpange kamati vizuri. Nitarudi kesho kuangalia mchakato unaendaje.

kwa hiyo unamaanisha JG anamuoa mke wake?
 
Husny usijali kwa hilo maana wanakamati wangu wako juu vibaya....
Mambo yatanyooka sana....
Ila kuna wasiwasi kwa Kabakabana kutohidhuria kwa utovu wa nidhamu kwa Mwenyekiti wa kamati...ananipa maneno ya kashfa mbele ya wanakamati wangu!
Katavi atafanya kazi yake kwa kuanza na yeye(Kabakabana)

mimi ndo berydancer nisipokuwepo harusi hamna
 
Sijaongea nae ila nataraji wachungaji wote Rev Msanilo hadi Rev Kaboka Mchizi watakaa kupanga ndoa itafungwaje na nani ataongoza yao...
Hebu saidia kuwatafuta wachungaji wote uje nao hapa

Mtafute katibu wa kamati ya maombi Smile au msaidizi wake Kin'gasti, ukiwakosa basi jaribu kwa mwenyekiti kivuli wa kamati ndugu PJ, hat Bujibuji pia anaweza kuwa na idea nzuri tuu.... kwa sasa niko busy kidogo!
 
MAKUBWA!!!! Sherehe gani bila Chakula?? Mimi ni Mlezi wa Husny bado anaishi kwangu.... Mimi ndio Mpishi Mkuu wa hapa Mji wa Jamvi.... Sipo, Sina taarifa na mwategemea sherehe itaitika?? :A S 13:
 
kwani uongo?halafu eti amy kamati ya hela kama sio kufilisi shirika lol
Hahahahaaaa unashangaaaaaa!
Mambo ya kifamilia hayo....
Nilitoa sababu kwanini nimemteua Amyner kuwa muweka hazina wa kamati....
Ana uzoefu sana kwa haya mambo ya pesa wala usijali Kaby
Na ukiendeleza majungu yako naongea na Katavi uishie getini kama akina Mtei na Bagah
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom