Kamati ya Maandalizi Harusi ya Husninyo na Judgement

Harusi ya Husninyo na Judgement
wapi mahari jamani aliyekula mbona hajulikani.
 
Nimekuwa nikifuatilia kila mchakato kwa umakini na umakinifu but silently, nimegundua bado kamati ya b52 ina nguvu na support kubwa ingawa wamepata upinzani mkubwa toka kwa kina ss na bagah, ingawa hawapaswi kubezwa! Mwenyekiti naomba mwongozo wa sherehe yenyewe itakuwaje baada ya nini kutakuwa nini?
 
mmmh,
Bishanga alijiita mjomba,
Kongosho akajiita shangazi,
sasa naleta pingamizi mimi mama,
japo baba yao aliniacha lakini bado mimi ni mama
kama vipi watume mahari hiyo kwangu kabla sijaanza.

@ Mamndenyi mahari walikula kongosho na Bishanga..
 
Nimekuwa nikifuatilia kila mchakato kwa umakini na umakinifu but silently, nimegundua bado kamati ya b52 ina nguvu na support kubwa ingawa wamepata upinzani mkubwa toka kwa kina ss na bagah, ingawa hawapaswi kubezwa! Mwenyekiti naomba mwongozo wa sherehe yenyewe itakuwaje baada ya nini kutakuwa nini?
Naomba nikuteue wewe bwana Salok utusaidie kwa hii kamati ya mipango na Ratiba ya sherehe....
 
Hee hee hee!
Mwanakwetu ndoa tamu atiiiii,ukichangia na hali ya hewa ya jana lol!

Ila ndio keshaniachia now mpaka badae nitenda kumpa cha mchana lol!
Mh nawewe hayo ni mambo ya ndani..nini kupeana hamu mchanamchana?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom