Kamati ya maadili ccm chenge ndani

PhD

JF-Expert Member
Jul 15, 2009
4,599
3,673
Nimepata taarifa kuwa kamati ya maadili ya ccm yenye wajumbe kama 11 hivi wakiwamo maraisi wastaafu inajumuisha pia lifisadi papa andrew chenge hivi huku si ni kuwachezea watz, chenge ana morality ipi ya kuwa kwenye kamati ya maadili naamini hafai hata kwa ngazi ya familia yake mwenyewe.
 
Nimepata taarifa kuwa kamati ya maadili ya ccm yenye wajumbe kama 11 hivi wakiwamo maraisi wastaafu inajumuisha pia lifisadi papa andrew chenge hivi huku si ni kuwachezea watz, chenge ana morality ipi ya kuwa kwenye kamati ya maadili naamini hafai hata kwa ngazi ya familia yake mwenyewe.


Mbona jambo la kawaida kwa CCM
Sasa ulitegemea nini,chma kimejaa mafisadi tupu,wewe unamjua huyo tu? wapo wengi,Nani kati ya hao 11 anaweza kumnyoshea kidole Chenge
 
Simply ... Ni kamati ya saratani ya Ufisadi.

What comes out of it....Ni kueneza gonjwa kwa taifa lote..

Sisi ? Sisi ? Wewe ngoja tu!!! ...tukaeeee tuuu na kujadili jadili hapa ..na CA inakamata kasi... matokeo yake utasikia mgonjwa imebidi akatwe mguu... Sasa ni hapo, Ok... kama ni Taifa ... Mguu wake ni upi?

Baada ya kipindi utasikia ili kumsaidia mgonjwa imebidi na mguuu wa pili uondolewee...Na Mguuu wa pili kwa taifa la tz ni upi...

The rest? you tell it!!!!

Leo kila mtu ni kiongozi wa Taifa, Madereva wa wa Ubungo wanagoma na kutuo matamshi na waraka wao, Waraka wa katoliki, utakuja wa waislam, waraka wa kuvunja muugano, utakuja wa vijana wa Msimbazi, utakuja wa madaktari na migomo yao, waraka wa EPA, waraka wa Richmond, waraka waraka... Utakuja wa wachezaji..Kila mtu sasa ni kiongozi...Sio saratani hii ni nini?

Leo kamati ya saratani imekaa...Tutegemee nini?

UONGOZI WA TAIFA UKO WAPI????
 
Wanatuzingua akili zetu mtu amekuwa implicated bado wanamkumbatia kwani ana nini special au ndio huko kulindana??
 
Wanatuzingua akili zetu mtu amekuwa implicated bado wanamkumbatia kwani ana nini special au ndio huko kulindana??

jamani CCM imekosa muelekeo ,wamekuwa vipofu wasioona wanakokwenda nyie hamuoni mtu anatoa kauli za kuwapinga wanaopinga ufisadi waziwazi anajua anamfurahisha member wa kamati ya maadili na hatafokewa wala kutazamwa kwa jicho la sauti. TUMEKWISHA:confused:
 
Na ndiyo huwa nasoma katika jamvi hili hili kuwa kuna baadhi ya wana CCM ni wasafi, wasafi wa mwili na roho, ila wanaishi kwenye dampo!

If we are real serious is hard to say Mwakyembe is clean!
 
Nyie ni kama mnakosa nyimbo vile. Mlitaka nani ahudhurie hicho kikao?

1. Kikwete, ndiye aliyeileta Richmond kushirikiana na maswahiba na shemeji zake, IPTL, na mfuko wa EPA aliufaidi yeye.
2. Mkapa ndiye aliye uza mashirika yote ya Tanzania na kufadhili wizi wote mkubwa ikiwa ni pamoja na kujimilikisha kiwira
3. Karume ndiye aliyeiba ushindi wa haki wa Bilal na Maalim (urais kupitia ccm)
4. Chenge, ndiye usiseme kwani ndiye aliyeshirikiana na mkapa kufanikisha yote (no.3)
5. Msekwa ndiye aliyekuwa rubber stamp ya mkapa kipindi chote cha miaka 10, na mwenye kushiba makombo yatokanayo na kuwa mjumbe wa bodi mbalimbali
6. Makamba ndiye huyo!


7--11

Sasa hao waliobaki sijui 4 au 5, wanauwezo gani kuwa wasafi! Hata wangekuwa wasafi, wanaweza basi kuitisha mkutano, usiokuwa na hao wenye pembe! Katika hao nani amfungulie mwenzie mlango ili atoke?

Mimi naona katika hao, Chenge ndiye angalao msafi!
 
Hakuna usafi wowote ndani ya CCM kumejaa mafisadi na majambazi ambao muda muafaka ukifika wataumbuka tu waache waone matokeo.Ushauri wangu kwao ni kuachia ngazi mapema ili wananchi wawaonee huruma vinginevyo hasira za wananchi zikiwaka hawatapata pa kukimbilia.
 
Na ndiyo huwa nasoma katika jamvi hili hili kuwa kuna baadhi ya wana CCM ni wasafi, wasafi wa mwili na roho, ila wanaishi kwenye dampo!

If we are real serious is hard to say Mwakyembe is clean!


Wabetoya I concur with you .Nilisha sema na kuhoji mara nyingi juu ya Mwakyembe kuwa hero hapa .Kwangu hana lolote .CCM bwana ndivyo walivyo .
 
utabiri wa baba wa taifa unakaribia kufika. Tutapata chama chama cha uhakika toka ccm
 
Back
Top Bottom